Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ok... bora wee ndo umesema...
so leo atimaye mme kubali kua huaga tunawachapanga kwenye kila takwimu, ila hii pekeyake.! ok. I

kanairo hebu ntoo upesi uskie hii
Tunasubiria takwimu za Parachichi.

image_0cb92aa8-ea27-4981-aa43-d11aee5bb68520220217_170656.jpg
image_b565bd99-885a-4f4d-8fc5-84f28c2ab22320220217_170653.jpg
 
We are not electrifying any time soon. Cargo trains are still overwhelmingly diesel around the world.
Our SGR is 98% cargo.

Nyinyi na ujuaji wa Magufuli, trying to outdo Kenya, built an unnecessary passenger SGR, ndio mujione na shiny trains.
There is no economic sense building a 'high speed' electric passenger train in a country where 90% are struggling for their next meal.
Hizo wachieni Europe.
Huku sisi tunakula 6 meals a day sasa sijui huko kwenu
 
Hata kualikwa hawakualikwa, kumbuka walikataa kuwaruhusu wakimbizi kutoka Afrika kusini na nchi zingine zilizokua zinapigania uhuru kuishi nchini Kenya kwa kuwaogopa wazungu.
Unajuwa siyo haki kuhukumu watu wote kwa makosa ya kiongozi ila viongozi wanauwezo mkubwa sana wa kuwajenga kifikra raia wao.

Wakenya wengi zile fikra zao za umimi, ujuwaji, unyama na kujipendekeza kwa wakoloni wao, zilitoka kwa Kenyatta. Na athari zake zipo mpaka leo.

Vivyo hivyo na sisi watanzania, wengi wetu tuna zile fikra za kujishusha, kujali wengine, kuwa na utu, kama vile alivyokuwa Mwalimu.
 
We are not electrifying any time soon. Cargo trains are still overwhelmingly diesel around the world.
Our SGR is 98% cargo.

Nyinyi na ujuaji wa Magufuli, trying to outdo Kenya, built an unnecessary passenger SGR, ndio mujione na shiny trains.
There is no economic sense building a 'high speed' electric passenger train in a country where 90% are struggling for their next meal.
Hizo wachieni Europe.

What a consolation phrase,
No one is building such outdated things in the universe by now,
Who else want old fashioned
 
We are not electrifying any time soon. Cargo trains are still overwhelmingly diesel around the world.
Our SGR is 98% cargo.

Nyinyi na ujuaji wa Magufuli, trying to outdo Kenya, built an unnecessary passenger SGR, ndio mujione na shiny trains.
There is no economic sense building a 'high speed' electric passenger train in a country where 90% are struggling for their next meal.
Hizo wachieni Europe.
evidence?
BTW do u know that electric SGR Tanzania will also accomodate diesel trains too though still at higher speed than SGR Kunyaland?
 
Diamond always showing us the best of Tanzania.
Here's another shot from a middle class estate in Dar.

View attachment 2122259
pole sana hata hiyo l9cation pia hauijui,akili yako inadhani kuwa hapo ni Tz,

ukitaka kujua eneo la uswazi tafuta nyimbo ya rat vany iliyomtambulisha inaitwa bado,hiyo ngoma ndiyo ime9ntesha mazingira mabovu ya Dar

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hii inchi bila kua na viongozi madhubuti, wenye uchungu na inchi na wenye kusimamia maslai ya inchi hakuna kitu...why transport Gold kwenda Dubai for refinery while tunazo refinery local...hii ni kinyume kabisa na malengo ya kuanzishwa kwa hizi refinery...kwann tunapenda sana biashara ya Umachinga?
Tunaenda mbele hatuna 5 tunarudi nyuma hatua 10.
MAWAZO KAMA HAYA NDIO HUFANYA TZ MKABAKI NYUMA KIMAENDELEO...MNATAKA SANA KILA KITU KIANZIE NA KUISHIA KWENU...HAKUNA NCHI INAWEZA KUPIGA HATUA KWA KUFUATA MISINGI KAMA HII...NI LAZIMA NCHI ZIWE NA UHUSIANO WA AINA TOFAUTI....INCLUDING SUCH WORKS AND EXCHANGE OF MAN POWER.
 
Back
Top Bottom