Ila wakuu kwenye kilimo mnafeli sana kupewa msaada toka China ilihali mna GDP kubwa ambayo ingeweza kuwa reflected kwenye production Capacity.
Siri ya Tanzania kua wa food surplus ni mchanganyiko wa wazalishaji,mfanyabiashara naye analima,mfanyakazi naye analima,mkulima naye analima,peasant naye analima tunakutana sokoni.
Kenya Arable land yote mliwapa wakoloni wanalimia maua,chai na kuchungia ng'ombe na hawewezi achia kwa ajili ya kuzalisha chakula.Fanyeni mchakato wa kuirutubisha ardhi inayotazamwa kama semi arid kua ardhi ya kilimo.it is possible.