Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

one by one[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20220218_121724.jpg
20220218_121657.jpg

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo haya ni majengo ya serikali [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2122725
Yani sikosei kabisa nikisema watanzania kiuchumi uraiani mpo hoi[emoji1787][emoji1787]
Sasa huo nal mji..
Alafu usijisahaulishe, mkipost dodoma huaga mnapost majengo ya serekali, mpanda mnapost stendi, sumbawanga mnapost barabara lkn kenya ikipost barabra mnapiga kelele
 
We mbona unapenda uongo uongo, ujinga huo wa kusema uongo tuliushaukataa hapa..
 
Kijiji hii. [emoji23][emoji23][emoji23] Towns zenu hazina modernity hata kidogo.
Kabisa, wapanga miji kwao wamezembea sana..sasa hyo town haina kichwa wala mikia walai, administrative center ni wapi social centers zipo wapi business center pia haieleweki[emoji1787][emoji1787]
 
Kabisa, wapanga miji kwao wamezembea sana..sasa hyo town haina kichwa wala mikia walai, administrative center ni wapi social centers zipo wapi business center pia haieleweki[emoji1787][emoji1787]
Mbona unalazimisha.? Hiyo sio town
 
Back
Top Bottom