Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Turkana [emoji108][emoji108]View attachment 2122282
Kigoma[emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_16444094129012952.jpg
 
ni msanii kutoka tanzania
irene uwoya anamiliki hammer 3
View attachment 2122596
Ni Gold digger tu. Don’t get me wrong. I respect women, lakini ukweli usemwe tu Maana hata talent ya uigizaji hana. Huyo Sio mfano wa kuigwa kwenye suala la economic prosperity ya mwanamke wa kitanzania. Taja watu kama Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi. Yes, she married a rich guy, but she owns an award winning interior design company and she’s probably one of the richest women in the country! Women who hustle are just something else!
 
Kenya huaga tunatikisa dunia, uchumi wa mabasi ukiwafikisha huku ni tagView attachment 2122630View attachment 2122631
Ila wakuu kwenye kilimo mnafeli sana kupewa msaada toka China ilihali mna GDP kubwa ambayo ingeweza kuwa reflected kwenye production Capacity.

Siri ya Tanzania kua wa food surplus ni mchanganyiko wa wazalishaji,mfanyabiashara naye analima,mfanyakazi naye analima,mkulima naye analima,peasant naye analima tunakutana sokoni.

Kenya Arable land yote mliwapa wakoloni wanalimia maua,chai na kuchungia ng'ombe na hawewezi achia kwa ajili ya kuzalisha chakula.Fanyeni mchakato wa kuirutubisha ardhi inayotazamwa kama semi arid kua ardhi ya kilimo.it is possible.
 
hivi ndio city inaanzaga na class,south neighbours wanashangaa ilitokeaga wapi⚡
Kwa maeneo ya hio road,flats na estates zitaanza kurauka walai🔥🔥
😂😂, Heb ngoja nikutoe Tongo tongo, them village centers zinakaa tz 👇. MPANDA MUNICIPAL
thumb_215_1130x480_0_0_auto.jpg
maxresdefault(94).jpg
csac_1561445710-3709e.jpg
D_HXDjJX4AEC4-y.jpg
D_HXDjIX4AEfOQB.jpg
Picha+1+%282%29.JPG
b73848ea-5f25-4daf-ae07-d04930f2bb23.jpg
Screen-Shot-2015-10-15-at-9.33.01-PM-660x400.png
Screenshot_20220218-092835_1.jpg
vijiji vya Tz viko na proper bus terminus than the entire Kenya 😂😂 .. SUMBAWANGA 👇
D0A_epoX0AA-hnv.jpg
d97675e802cf94df456e2f72450a399d.jpg
UtG7SFP1nceDUc-j.jpg
ETFB6mQWsAEnrhU.jpg
maxresdefault(92).jpg
12414403_20011622500087168204-jpg.2122656

12414403_20011622500087168204.jpg
 
Kumbe hatukosei tunaposema wakenya kiuchumi wapo vizuri kuliko watz, municipality na kunakaa kumechoka hvo[emoji1787][emoji1787]
Yani cha maana ni stendi makazi upupu, yani raia wananchi kiuchumi zero
 
Mombasa [emoji817][emoji573]

View attachment 2122675
Hii ndiyo ile mlikuwa mnaiita Changamwe interchange?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbn iko tofauti kabisa na render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani Kenya ni nchi ya kipumbavu sn na raia wake pia ni wapumbavu wasiojua ku reason, inakuaje render iwe tofauti na uhalisia? Tena tofauti kabisa km mbingu na ardhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani wamechimba chimba cjui wamechimba nn, ka barabara kanakoenda kukutana na hiyo mitaro waliyochimba ni kembamba, huku pembeni shimo, katikati shimo, kulia shimo, kushoto shimo, I bet engineers ni wakunya[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums2115952012.jpg
 
Ujenzi wa kijuakali huu [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787] ndiyo mana huwa hawaipost humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe hatukosei tunaposema wakenya kiuchumi wapo vizuri kuliko watz, municipality na kunakaa kumechoka hvo[emoji1787][emoji1787]
Yani cha maana ni stendi makazi upupu, yani raia wananchi kiuchumi zero
Heb leta turkana tuone hapa tucheke
 
Ni Gold digger tu. Don’t get me wrong. I respect women, lakini ukweli usemwe tu Maana hata talent ya uigizaji hana. Huyo Sio mfano wa kuigwa kwenye suala la economic prosperity ya mwanamke wa kitanzania. Taja watu kama Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi. Yes, she married a rich guy, but she owns an award winning interior design company and she’s probably one of the richest women in the country! Women who hustle are just something else!
Wacha ujinga kama Uwoya ni gold digger, Jacqueline anaepuka vp na hiyo tag?
 
Yani wamechimba chimba cjui wamechimba nn, ka barabara kanakoenda kukutana na hiyo mitaro waliyochimba ni kembamba, huku pembeni shimo, katikati shimo, kulia shimo, kushoto shimo, I bet engineers ni wakunya[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2122688
Wacha kazi ikamilike wacha kuropokwa na Tanzania ina interchange mbili tu pekee nchi mzima.
 
Hii ndiyo ile mlikuwa mnaiita Changamwe interchange?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbn iko tofauti kabisa na render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani Kenya ni nchi ya kipumbavu sn na raia wake pia ni wapumbavu wasiojua ku reason, inakuaje render iwe tofauti na uhalisia? Tena tofauti kabisa km mbingu na ardhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Post ile picha nicheke kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom