Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hong Kong...
Hii planning iko level yake...sasa watu wa ardhi na makazi hapa tz wanafanya kazi gani jamani..View attachment 2119937
20220215_100959.jpg
 
Likija kwenye mambo ya uchumi, sasa kama Kenya ina uchumi mdogo, inapata wapi pesa ya kuimport mizigo karibia mara dufu ya Tanzania? Mbona sisi hapa Kenya tunaimport mizigo worth $14 billion na nyinyi ambao mnasemaga eti mna uchumi mkubwa mnaimport $9 billion kwa mwaka? Itakuwaje kwamba Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda Kenya ilhali Kenya inakusanya kodi mara dufu ya Tanzania na Kenya ina bajeti ya serikali mara dufu kwa ukubwa ukilinganisha na bajeti ya Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali valuation ya Nairobi securities exchange ni zaidi ya mara dufu ya Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuwekeza hapo Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali benki za Kenya zimewekeza ukanda huu wote, kuanzia DR Congo, hadi South Sudan, hadi Rwanda, hadi Tanzania. Wakati mama Suluhu alikuja Kenya, alikiri kwamba kuna kampuni za Kenya zaidi ya mia tano zimewekeza Tanzania na akasema kwamba kuna kampuni takriban hamsini tu za Tanzania ambazo zimewekeza Kenya. Hakuna benki hata moja ya Tanzania ambayo imewekeza Kenya. Safaricom pekee ina valuation kubwa kushinda karibu kampuni zote ndani ya Dar es Salaam stock exchange. Kampuni moja ya Kenya ina valuation kubwa kushinda karibu kampuni zenu zote ambazo zipo listed kwa DSE. Halafu bado watu hapa wanaimba wimbo wa uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.

Umeongea mambo mengi sana.
Hilo la kwanza la ku import. Nchi ina import kulingana na mahitaji, haiwezi kuagiza kitu ambacho hamkihitaji. Mfano mdogo tu, Kenya inafanya importation kubwa sana ya food stuff. I think is in top 5 if not 3 in the list. Wakati sisi Tanzania ina inaingiza kiasi kidogo sana cha chakula kulingana na mahitaji yake.

Kuhusu hayo mengine uliyotaja, ni kweli yanavutia kuyasikiliza, lkn suala la msingi ambalo wakenya mnalisahau kila mara ni kuwa, mwananchi wa kawaida ananufaikaje kwa mfano safarikom kuwa na valuation kubwa?? na hapa siyo kuongea kinadhalia kwamba ajira zitakuwa nyingi, kodi itakusanywa nk, nk. lkn je mwananchi anaonekana kunufaika na haya. na kitu kinachostaajabisha ni kuwa, pamoja na kwamba kuna vitu vyote hivi ulivyotaja hapo juu, lkn bado kenya ina rekodi kiwango cha juu sana cha ukosefu wa ajira. hapo shida ni nini?? Should we embrance the idea of "the president to be" Mh. Ruto. Kwamba the "trickle down effect policy" fails kenya a big time!!??
 
Hao raia unaosema hawana ajira ndio hao hao wanaotumia safaricom kufanya transactions zao mpka saf kufikia kiwango cha kupata faida maradufu..

We unaongea nini mzee bana
 
Mambo ya GDP ya Tz wala isikuumize kichwa, cc watz tunaojua hili jambo huwa tunawaeleza humu wakenya wenzako ila wanajifanya vichwa ngumu japo ukweli wanaujua.

Ni kweli unavyosema bwanaTony kwamba uchumi wetu unaowekwa kwenye karatasi co halisia bali uchumi wetu ni $150bn take it from me bro.
$150b wakati banking sector sufuri
Hyo hela inapitia wapi, tax pia vile vile vile kiduchu..poleni sana
 
Mzee huwa nikiangalia picha za wakenya machozi huwa yananitoka.
Mtu mwenye pesa anabaka mbuzi.

Shame on you
View attachment 2119838
Watanzania kiuchumi mpo hoi
Mpka mashirika yenu ya "government owned"yanahaha kisa returns kutoka kw mwananchi wa kawaida ni kidogo hawana nguvu hyo kiuchumi

Kw mfano sportpesa tz hata sijui mara ya mwisho kuingiza faida hata nusu ile walikua wakipata kenya ni lini..
 
Hata Marekani anaimport kushinda kuexport na bado ana uchumi mkubwa kushinda Uchina anaye-export kushinda kuimport. Gdp sio kigezo pekee inayotumiwa kupima ukubwa wa uchumi. Vigezo vingine kama ukubwa wa export au import pia unaweza kitumika. Au kigezo kama size of foreign exchange reserve. Hata kwenye foreign exchange reserve, Kenya ina foreign exchange reserve kubwa kushinda yenu. Sikusema kwamba kuimport ni nzuri kushinda kuexport, nilimaanisha kwamba tunaweza kulitumia kama kigezo cha kupima ukubwa wa uchumi.

Lkn unaona reverse inayofanya, baada ya kugundua makosa yaliyofanyika??
 
Ww kilaza kweli,unajijibu mwenyewe,hivi,unakusanya mapato makubwa,alafu yanaishia kwenye mifuko ya watu binafsi,yanasaidia nn?
Nyie zinazoishia kw watanzania wa kawaida mbona basi mumeshindwa kuimarika kiuchumi km rai wema
 
Back
Top Bottom