chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,309
- 45,108
Kumbe Tanzania ilivyo kinara wa kuexport kwenye nchi zote ukanda huu ikiwamo kunyaland sio afya kiuchumi?Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi itatoa wapi fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe jiulize hilo swali.
Na mbona huwa mnapanik mkiona Tanzania inawauzia mara dufu kuliko inavyonunua kwenu badala ya kujipongeza?




