Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitajie uchumi mkubwa ambao unashindwa kukomboa raia wake toka kwenye njaa, nitajie uchumi mkubwa unaoshindwa kutumia pesa ya ndani kufanya miradi yake, nitajie uchumi mkubwa ambapo 60% ya raia wake wanaoishi mji mkuu wanaishi kwa slums, nitajie uchumi mkubwa wenye electricity capacity ya only 2000MW.
Hahaha. Hapa ni Kenya versus Tanzania sio Kenya versus USA. Nikisema Kenya ina uchumi mkubwa nailinganisha na uchumi wa Tanzania sio USA. Bado unaamini kwamba uchumi wa TZ ni mkubwa kushinda Kenya? Ni haki yako kuamini chochote unachotaka.
 
Wacha mimi nimeenda. Tutaonana siku nyingine. Huwa nakubali kwamba Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo ikiwemo ujenzi wa madaraja, barabara, reli ya SGR ya umeme na JNHPP. Tanzania sio nchi ndogo na sio nchi ya kupuuzwa hata kidogo. Hususan miradi ya JNHPP na SGR zikikamilika basi Tanzania mtakuwa mbali sana kwa sababu miradi hizi zitasisimua (stimulate) uchumi wenu sana. Hapa JPM alikuwa anawaza long-term kwa maana miradi hizi mtapata manufaa yao baadaye. Nchi yenu inakuwa kwa kasi mno na itaendelea kukua kwa kasi. Lakini sioni ni kwa nini nyie Wabongo mjifanye kwamba hamuoni ukubwa wa uchumi wa Kenya ilhali watu wengi Africa wanaweza kuiona, hata wazungu wanaokuja kuweka headquarters ya kila kitu Kenya na sio Tanzania wanajua hilo. Hakuna tatizo mkikubali kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa, hamtapungukiwa na chochote. Vile vile mimi nasifia uchumi wenu kwa sababu uchumi wenu pia ni mkubwa na unakuwa kwa haraka sanaa. Mimi kwa kuwasifu sijapungukiwa na chochote. Hamna haja ya nyie kuamini kwamba Kenya ina uchumi mdogo wakati hata data ambazo zinatolewa na taasisi ambazo zipo independent kama World Bank, Imf, UN, Afdb, EU, WEF, CIA, OECD zote zinasema kwamba Kenya ndio nchi yenye uchumi mkubwa ukanda huu. Hizi taasisi zote zimehongwa na serikali ya Kenya kueneza uongo huu? Kwani serikali ya Kenya ina pesa nyingi sana vipi ya kuhonga taasisi zote hizi?
tunachoona kwa kenya ni hvi
kenya ni nchi ambayo imefeli kwenye kila kitu sio tu uchumi naongelea kila kitu

huwez kuongelea uchumi ambao unanuka madeni about 9 trillion ksh ilihali nyinyi bado ni developing country

huwez kuongelea uchumi ilihali unemployment rate ni kubwa africa nzima

huwez ongelea uchumi mkubwa ikiwa njaa inawamaliza wakenya takriban kila mwaka na uchumi hauna cha kufanya zaidi ya kutegemea misaada kutoka kwenye nchi zenye jangwa asilimia 100

leo kenya haina hata pesa ya kujenga 5km railway haina hata pesa ya kulipa mishahara wafanyakazi wake ndio yale aliosema dr ndii kua munachukua loan kulipa mishahara badala ya maendeleo

na mm najua kua kenya imeangukia pua japo munajitutumua hapa kufucha aibu zenu ila kwenye dunia hii hamuna cha kuficha

leo kenya inachukua loan from halima to pay peter na muko hapa munashangilia uchumi hvi Tony254 uko serious kweli???😁😁

leo hii tuanzungumza karibia makampuni yote ya kenya yamekufa na hili ukitaka uthibisho nitakuelimisha

ww unaongelea safaricom ilihali safaricom over 60% inamilikiwa na foreign investors
 
H
tunachoona kwa kenya ni hvi
kenya ni nchi ambayo imefeli kwenye kila kitu sio tu uchumi naongelea kila kitu

huwez kuongelea uchumi ambao unanuka madeni about 9 trillion ksh ilihali nyinyi bado ni developing country

huwez kuongelea uchumi ilihali unemployment rate ni kubwa africa nzima

huwez ongelea uchumi mkubwa ikiwa njaa inawamaliza wakenya takriban kila mwaka na uchumi hauna cha kufanya zaidi ya kutegemea misaada kutoka kwenye nchi zenye jangwa asilimia 100

leo kenya haina hata pesa ya kujenga 5km railway haina hata pesa ya kulipa mishahara wafanyakazi wake ndio yale aliosema dr ndii kua munachukua loan kulipa mishahara badala ya maendeleo

na mm najua kua kenya imeangukia pua japo munajitutumua hapa kufucha aibu zenu ila kwenye dunia hii hamuna cha kuficha

leo kenya inachukua loan from halima to pay peter na muko hapa munashangilia uchumi hvi Tony254 uko serious kweli???😁😁

leo hii tuanzungumza karibia makampuni yote ya kenya yamekufa na hili ukitaka uthibisho nitakuelimisha

ww unaongelea safaricom ilihali safaricom over 60% inamilikiwa na foreign investors
Hahaha pole sana kwa uchungu, utapona tu. Ila ulichosema hakubadilishi ukweli kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu, taasisi nyingi sana ambazo zipo independent zimekiri hili. Deni sio hoja kwani marekani ana debt to Gdp ratio ya 130% na Japan ndio wazimu ametinga 250%. Halafu Sudan nao juzi wametinga debt to gdp ratio ya 200%. Sie hata 80% bado hatujafika. Lakini ni muhimu Kenya ipunguze deni lake kwa maana deni sio kitu kizuri.
 
H

Hahaha pole sana kwa uchungu, utapona tu. Ila ulichosema hakubadilishi ukweli kwamba ucchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu, taasisi nyingi sana ambazo zipo independent zimekiri hili. Deni sio hoja kwani marekani ana debt to Gdp ratio ya 130% na Japan ndio wazimu ametinga 250%. Halafu Sudan nao juzi wametinga debt to gdp ratio ya 200%. Sio hata 80% bado hatujafika.
mm hua siongei kwa uchungu mm hua nakupa facts hata kama hupendi unafananisha japan na kenya ww uko timamu

japan is developed country and kenya is developing country hii ndio tofaut ya japan na kenya yani kwa lugha fupi japan wako miaka mia tatu mbele kuliko kenya 😄😄😄

na upuuzi muliona nyinyi ni kujifananisha na nchi kama japan na marekani 😁😁😁😁

alaf huyo huyo japan analet misaada na mikopo kenya 👇👇👇👇











 
deep inside nbi cbd
Screenshot_20220214-221914_YouTube.jpg
Screenshot_20220214-222944_YouTube.jpg
Screenshot_20220214-222553_YouTube.jpg
 
Kwa hivyo unadhani hakuna Wakenya wanaokwepa kulipa kodi? Wakenya ni Wakora na wajanja hata kushinda nyie Watanzania. Licha ya ukwepaji wote huo wa kulipa kodi na corruption nzito sana ambao upo Kenya unakuta bado tunakusanya kodi mara mbili yenu. Na sio tu kwenye kodi, nimenotice tunawadouble kwenye mambo mengi tu. Hata kwenye mambo ya port, Mombasa port inahandle double ya kiwango cha mizigo ambayo port zenu zinahandle. Tukija kwenye electricity production, Kenya inaproduce 3,000 MW wakati nyie mnaproduce 1,600 MW. Kenya ina Gdp zaidi ya $100 billion wakati gdp yenu ipo $70 billion.

Gdp per capita ya Kenya ipo $1,800 wakati yenu ipo $1,080. Access to electricity ya Kenya ipo 80% wakati yenu ipo chini ya 50% kwa hisani ya World Bank. Kenya ina kilomita 19,000 za lami by 2019 wakati nyie mna kilomita chini ya 14,000 by 2019. Kenya ina assemble magari takriban 10,000 wakati nyie mna assemble magari chini ya 2,000. Hatujawapiga kwenye ukusanyaji wa kodi tu, tunawanyanyasa kwenye mambo mengi sana. Kenya inapokea remittance ya $3 billion kila mwaka kutoka kwa Wakenya wanaoishi ulaya huku nyie mkipokea remittance chini ya $1 billion.

Nyie pia mumetupiga kwenye mambo mengi ikiwemo tourism, madini na agriculture.
Kwenye umeme huko usiguse kabisa, Kama ambavyo mlikua hamuamini kwamba tumewazidi Sana katika huduma za Afya(Hospitals), na namba kubwa ya $ millionaires hadi hivi karibuni ndio mumekubali huo ukweli, ndivyo ilivyo katika umeme, Tanzania inaongoza Africa Nzima katika kusambaza umeme nchi nzima, mwakani tutaingia katika orodha ya nchi 8 tu Africa Nzima zilizofikia "Universal electrification".
 
Sama boy 255 Wacha niongeze kidogo kwamba Kenya imewapiga kwenye idadi ya abiria wanaopitia kwenye airports. Kenya ina service sector kubwa kushinda yenu. Kwa mfano Kenya ina makampuni kubwa kushinda zenu hata tukiangalia banks, banks za Kenya ni kubwa ajabu ukizilinganisha na banks za TZ ambazo ni ndogo sana. KCB, EQUITY na Co-operative banks zina more capital kushinda banks zenu zote na ukumbuke kwamba Kenya ina banks 44 ilhali banks tatu zetu zina more capital kushinda zenu zote. Tukija kwenye telecomm sector, Safaricom pekee ina bigger valuation kushinda kampuni zenu zote za telecomm. Hizi data nipo tayari kumwaga huku. Yaani kampuni za kininafsi za Kenya ni kubwa sana ukizilinganisha na zenu. Kwenye kuexport tea, flowers, coffee, textiles na vegetables tumewapiga. Kenya tunaconsume more electricity na more petroleum products kuwashinda. Kenya tunaimport more goods kuwashinda kumaanisha tunaconsume more goods kuwashinda. Kwa mfano Kenya inaimport goods worth 14 billion dollars kila mwaka wakati nyie mnaimport goods worth 9 billion dollars kila mwaka.

Hizi data zote zinaonyesha kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu. Service sector ni zaidi ya 50% ya uchumi wa Kenya kwa hivyo Kenya ni service driven economy wakati nyie ni agriculture and mining driven economy. Sie mining industry yetu ni ndogo sana. Yaani kuna mambo mumetupiga lakini sie pia tumewapiga vibaya sana kwenye mambo mengine, hususan private sector yetu ambayo inawafunika vibaya sana. Kumbuka Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuinvest hapo Tanzania na top three kwa kuinvest Uganda. Sasa hivi makampuni ya Kenya yanaivest Ethiopia ikiwemo Safaricom na Kengen. Mabenki za Kenya zipo katika nchi zaidi ya saba ukanda huu. Sasa sijui mnaidharau Kenya kwa nini. Hata kwenye diplomasia, Kenya ina embassies zaidi ya mia moja na kuna baadhi ya hizi embassies ambazo hazipo Tanzania. UN global headquarters ya UNEP na UN habitat ipo Kenya. World Bank na IMF regional headquarters ipo Kenya. Google, microsoft, IBM, Oracle regional headquarters zipo Kenya. Al-jazeera, BBC, Xinhua, CGTN regional au African headquarters zipo Kenya. Ikumbukwe Kenya ina skyscrapers nyingi above 100 metres kushinda Tanzania. Hata tu kwenye picha zinazowekwa humu ni wazi kwamba Kenya ina apartments nyingi kushinda Tanzania. Kenya ina watu wengi wanaofanya kazi Marekani na nchi za ulaya kushinda Tanzania. N.k. Niendelee au niwachie hapo?
Hahahaha, Tony naona kichwa kimepata moto Leo, unadhani nchi kuagiza bidhaa nyingi kutoka nchi zingine(Imports) ni positive or negative
 
Halafu ukikutana nao ni unafiki kwenda mbele tena ukabila wao upo wazi cha kwanza ni utaulizwa wewe ni kabila gani, then ukiwa si Mchagga utaskia wakibagua live wakijidai wao ni kama Wachagga! Utaskia sisi hufanyaga biashara na Wachagga na ukitaka kuwatumia jifanye Mchagga! Hawa jamaa ni wapuuzi sana!
Mchaga ndio mtu ambae kw tz kidogo ana uelewe wa biashara
 
Hahaha. Hapa ni Kenya versus Tanzania sio Kenya versus USA. Nikisema Kenya ina uchumi mkubwa nailinganisha na uchumi wa Tanzania sio USA. Bado unaamini kwamba uchumi wa TZ ni mkubwa kushinda Kenya? Ni haki yako kuamini chochote unachotaka.
Yeah naamini hivyo kwa kuangalia financial muscles ambayo Tz inayo, je wewe huoni?
 
mm hua siongei kwa uchungu mm hua nakupa facts hata kama hupendi unafananisha japan na kenya ww uko timamu

japan is developed country and kenya is developing country hii ndio tofaut ya japan na kenya yani kwa lugha fupi japan wako miaka mia tatu mbele kuliko kenya

na upuuzi muliona nyinyi ni kujifananisha na nchi kama japan na marekani

alaf huyo huyo japan analet misaada na mikopo kenya











Hawa c walisema hawapewi grant hawa imekuaje tena
 
Likija kwenye mambo ya uchumi, sasa kama Kenya ina uchumi mdogo, inapata wapi pesa ya kuimport mizigo karibia mara dufu ya Tanzania? Mbona sisi hapa Kenya tunaimport mizigo worth $14 billion na nyinyi ambao mnasemaga eti mna uchumi mkubwa mnaimport $9 billion kwa mwaka? Itakuwaje kwamba Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda Kenya ilhali Kenya inakusanya kodi mara dufu ya Tanzania na Kenya ina bajeti ya serikali mara dufu kwa ukubwa ukilinganisha na bajeti ya Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali valuation ya Nairobi securities exchange ni zaidi ya mara dufu ya Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuwekeza hapo Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali benki za Kenya zimewekeza ukanda huu wote, kuanzia DR Congo, hadi South Sudan, hadi Rwanda, hadi Tanzania. Wakati mama Suluhu alikuja Kenya, alikiri kwamba kuna kampuni za Kenya zaidi ya mia tano zimewekeza Tanzania na akasema kwamba kuna kampuni takriban hamsini tu za Tanzania ambazo zimewekeza Kenya. Hakuna benki hata moja ya Tanzania ambayo imewekeza Kenya. Safaricom pekee ina valuation kubwa kushinda karibu kampuni zote ndani ya Dar es Salaam stock exchange. Kampuni moja ya Kenya ina valuation kubwa kushinda karibu kampuni zenu zote ambazo zipo listed kwa DSE. Halafu bado watu hapa wanaimba wimbo wa uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.
Tony mbona unazungumzia vitu vya hovyo kiasi hiki?
1)Nchi kuwa na "imports" kubwa hiyo ni dalili mbaya, hasa kwa nchi ambayo ambayo ni "Agricultural and Manufacturing based Economy" Kama Kenya, hiyo maana yake ni kwamba uchumi wenu unaelekea kubaya Sana.

Nchi zote duniani zinapunguza imports na kuongeza exports, vipi wewe unasifia kitu cha hovyo kiasi hiki?.

Kuhusu uwekezaji, kila nchi inajitahidi kuvutia "investments(FDI), Tanzania tumefanikiwa Sana kuwavutia wawekezaji toka nchi mbalimbali ikiwemo Kenya kutokana na mazingira mazuri kuanzia 1)security, 2)Land, 3)raw materials 4)Big internal market, 5)Cheap electricity, 6)less corruption, Mambo ambayo hayapatikani Kenya, vipi investors atoke Tanzania kwenye vitu vyote hivyo aje kuwekeza Kenya nchi ya hovyo?.

Kitendo cha makampuni mengi ya Kenya kuwekeza Tanzani ni Negative score kwa Kenya, hupaswi kusifia hilo, hiyo inapandisha uchumi wa Tanzania na kudhoofisha uchumi wa Kenya kwa kuzalisha ajira na Kodi kwa Tanzania
 
Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi haiwezi kupata fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe tafakari hilo.
Wacha kujidhalilisha katika hili, uchumi gani huo uliosoma?, Budget ya Kenya ni kubwa kuliko ya Nigeria, hushangazwi na hilo?, mwisho utasema miradi mingi ya Kenya imekua ikitumie pesa nyingi, Bei zinaongezwa mara dufu ya Tanzania kwasababu uchumi wa Kenya ni mkubwa
 
Back
Top Bottom