Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Mbona mlikuwa mnalia lia tulivyozuia gari zenu za utalii kuja Tz wakati wa Magu?Tangu lini Kenya ikafaidika kwa mgongo wa Tanzania? 🤣🤣
Mbona mlikuwa mnalia lia tulivyozuia gari zenu za utalii kuja Tz wakati wa Magu?Tangu lini Kenya ikafaidika kwa mgongo wa Tanzania? 🤣🤣
Ninakubaliana na wewe kwamba Kenya uchumi wake ni tofauti hapa Sub-sahara Afrika
1) Ni nchi pekee ambayo ni "middle income" lakini inategemea chakula cha msaada
2)Ni nchi pekee ambayo haiwezi kujenga hata 5Km ya railway bila kukopa
3)Ni nchi pekee ambayo inakusanya pesa nyingi lakini bado inategemea mikopo kuendesha nchi kwa 80%
4)Nchi pekee ambayo uchumi wake ni mkubwa lakini raia wake wanategemea nchi jirani kupata huduma Bora za Afya.
Kitendo cha kwamba mnakusanya Kodi mara dufu ya Tanzania, lakini Tanzania inafanya miradi mingi kwa pesa za ndani kuliko Kenya, hiyo ndio inathibitisha kwamba Kenya Kuna rushwa, 50% ya bajeti ya Kenya huushia mifukoni mwa politicians.

Katika miradi ya ndani kenya tukiwekea counties pekeake pesa za ndani zinazotumika ni maradufu kuwaliko..Ninakubaliana na wewe kwamba Kenya uchumi wake ni tofauti hapa Sub-sahara Afrika
1) Ni nchi pekee ambayo ni "middle income" lakini inategemea chakula cha msaada
2)Ni nchi pekee ambayo haiwezi kujenga hata 5Km ya railway bila kukopa
3)Ni nchi pekee ambayo inakusanya pesa nyingi lakini bado inategemea mikopo kuendesha nchi kwa 80%
4)Nchi pekee ambayo uchumi wake ni mkubwa lakini raia wake wanategemea nchi jirani kupata huduma Bora za Afya.
Kitendo cha kwamba mnakusanya Kodi mara dufu ya Tanzania, lakini Tanzania inafanya miradi mingi kwa pesa za ndani kuliko Kenya, hiyo ndio inathibitisha kwamba Kenya Kuna rushwa, 50% ya bajeti ya Kenya huushia mifukoni mwa politicians.
Hapo ndipo mnapokamatiwa..Pole kwa kukuumiza![]()

jamaa familia ya mtu kumi wanategemea kodi ya nyumba ya urithi na shamba la mihogo..Nenda kakojoe ukalaleKatika miradi ya ndani kenya tukiwekea counties pekeake pesa za ndani zinazotumika ni maradufu kuwaliko..
Manake nyie mnajisifia hela za ndani wakti deni lenu limepanda maradufu

what if una import kwa kutumia pesa za mikopo? Kunyaland inafanya hivo!Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi itatoa wapi fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe jiulize hilo swali.
Kwishaa!!hapa ni facts tu, km una hamu ya kupiga punyetto semaNenda kakojoe ukalale![]()
Hela ya mkopo kw sio ya kwakowhat if una import kwa kutumia pesa za mikopo? Kunyaland inafanya hivo!
mnakopa kulipa mikopo ya Mchina!Hela ya mkopo kw sio ya kwako
Naona unamoyo Aisee kumjibu huyoNenda kakojoe ukalale![]()
Kwn we hukopimnakopa kulipa mikopo ya Mchina!
Haya sasa ni matumizi mabaya ya ubongoNaona unamoyo Aisee kumjibu huyo
Au pesa nyingi inakwenda njee ya nchi sabab wanao endesha uchum ni wagen , wakiwwacha wenyeji fukar, wezi, na high rate of unemployedNinakubaliana na wewe kwamba Kenya uchumi wake ni tofauti hapa Sub-sahara Afrika
1) Ni nchi pekee ambayo ni "middle income" lakini inategemea chakula cha msaada
2)Ni nchi pekee ambayo haiwezi kujenga hata 5Km ya railway bila kukopa
3)Ni nchi pekee ambayo inakusanya pesa nyingi lakini bado inategemea mikopo kuendesha nchi kwa 80%
4)Nchi pekee ambayo uchumi wake ni mkubwa lakini raia wake wanategemea nchi jirani kupata huduma Bora za Afya.
Kitendo cha kwamba mnakusanya Kodi mara dufu ya Tanzania, lakini Tanzania inafanya miradi mingi kwa pesa za ndani kuliko Kenya, hiyo ndio inathibitisha kwamba Kenya Kuna rushwa, 50% ya bajeti ya Kenya huushia mifukoni mwa politicians.
mzee wa piintless ha haa kwa akili yako ndogo ya k8chokoraa unadhani hizo zilipendwa hazikuwepo Tzona Ichoboy, am talking about 1920s vintage cars. these are things u ll never find in LeastDevelopedCountries..View attachment 2119522View attachment 2119521
mwenzenu angalau yupo parfect sana kwenye kuzungumzia jambo flani na huwa hapindishi pindishi maneno wala hana ushabiki wa kijinga kama nyie, inabidi mjifunze kupitia tony,Hapa umeongea kama maprofessor kumi wa Harvard.
Buda, huoni kuwa hilo gape la kuimport pesa mepata kwa mikopo? Punguzeni kukopa uone import itakavyopungua. Au unadhani mlikopa ili muongeze export?Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi itatoa wapi fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe jiulize hilo swali.
Sama boy 255 Wacha niongeze kidogo kwamba Kenya imewapiga kwenye idadi ya abiria wanaopitia kwenye airports. Kenya ina service sector kubwa kushinda yenu. Kwa mfano Kenya ina makampuni kubwa kushinda zenu hata tukiangalia banks, banks za Kenya ni kubwa ajabu ukizilinganisha na banks za TZ ambazo ni ndogo sana. KCB, EQUITY na Co-operative banks zina more capital kushinda banks zenu zote na ukumbuke kwamba Kenya ina banks 44 ilhali banks tatu zetu zina more capital kushinda zenu zote. Tukija kwenye telecomm sector, Safaricom pekee ina bigger valuation kushinda kampuni zenu zote za telecomm. Hizi data nipo tayari kumwaga huku. Yaani kampuni za kininafsi za Kenya ni kubwa sana ukizilinganisha na zenu. Kwenye kuexport tea, flowers, coffee, textiles na vegetables tumewapiga. Kenya tunaconsume more electricity na more petroleum products kuwashinda. Kenya tunaimport more goods kuwashinda kumaanisha tunaconsume more goods kuwashinda. Kwa mfano Kenya inaimport goods worth 14 billion dollars kila mwaka wakati nyie mnaimport goods worth 9 billion dollars kila mwaka.
Hizi data zote zinaonyesha kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu. Service sector ni zaidi ya 50% ya uchumi wa Kenya kwa hivyo Kenya ni service driven economy wakati nyie ni agriculture and mining driven economy. Sie mining industry yetu ni ndogo sana. Yaani kuna mambo mumetupiga lakini sie pia tumewapiga vibaya sana kwenye mambo mengine, hususan private sector yetu ambayo inawafunika vibaya sana. Kumbuka Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuinvest hapo Tanzania na top three kwa kuinvest Uganda. Sasa hivi makampuni ya Kenya yanaivest Ethiopia ikiwemo Safaricom na Kengen. Mabenki za Kenya zipo katika nchi zaidi ya saba ukanda huu. Sasa sijui mnaidharau Kenya kwa nini. Hata kwenye diplomasia, Kenya ina embassies zaidi ya mia moja na kuna baadhi ya hizi embassies ambazo hazipo Tanzania. UN global headquarters ya UNEP na UN habitat ipo Kenya. World Bank na IMF regional headquarters ipo Kenya. Google, microsoft, IBM, Oracle regional headquarters zipo Kenya. Al-jazeera, BBC, Xinhua, CGTN regional au African headquarters zipo Kenya. Ikumbukwe Kenya ina skyscrapers nyingi above 100 metres kushinda Tanzania. Hata tu kwenye picha zinazowekwa humu ni wazi kwamba Kenya ina apartments nyingi kushinda Tanzania. Kenya ina watu wengi wanaofanya kazi Marekani na nchi za ulaya kushinda Tanzania. N.k. Niendelee au niwachie hapo?
Wewe kila mtu anakujua humu kwamba ni zero brain au saa mbovu, sometimes yes sometimes noHii forum inaanza kukuelemea ,point gani ya kipimbi namna hii
Mnaongoza kuimport nini?kuimport na kuexport yote inadhiirisha uwezo wa uchumi wa nchi flani. hivi kuimport ina maanisha tuko na uwezo wa ku purchase