Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpuuzi pekeake ndio atakuja kuandika ujinga kisa hasira..
Wakenya wana nguvu kiuchumi kuliko tz mara kadhaa..
Haiwezekani eti nyie mjiite mna uchumi bora wakati zero, tuonyeshe mobile banking tz inaingiza pesa ngapi na mabenki je kampuni binafsi vipi..

Nyie watu misifa tu lkn zero kabisa kiuc
TANZANIA KAMA NCHI INA ISHINDIA KENYA ALMOST EVERYTHING LAKINI BADO INA UCHUMI MDOGO...HUONI KANA KWAMBA NCHI YA TZ IMEJAA MA ZUZU...KWA SABABU IWEJE MANA....
  1. ARDHI SEHEM KUBWA KUILIKO KENYA
  2. SEHEMU KUBWA YENEYE ROTUBA
  3. MADINI MENGI
  4. IDADI KUBWA YA WATU ZAIDI YA MILIONI KUMI
  5. FORSTS AND GAME RESERVES MORE THAN KENYA
  6. HIGHEST MOUNTAIN THAN KENYA
  7. LONGEST SEA SHORE
LAKINI BADO WAKO NYUMA YETU KENYA KIMAENDELEO...HII NI THIBITISHO KUWA TZ NI WAVIVU, PUMBAVU, JINGA, BACKWARDS, KISOMO KIDOGO AND THEY LACK WISDOM AND INTELLIGENCE.
 
Ukweli ni kwamba watanzania hawana nguvu kiuchumi kushinda wakenya..
Yani EA nzima raia wa kenya ndio wana nguvu kiuchumi
 
Mnawasomi wengi Can you mention few of them!? Akina Uhuru Kenyatta ndio unawaita wasomi!!!

Akina mama Ngina ndio wasomi wenu.
Km tz professor anaongea pumba hapo unataka nini tena
Kabudi ni professor hapo unatakaje
 
Imekuingia hyo
Ukweli utabaki pale pale, vyanzo vya hela vipo wazi kabisa
Mzee huwa nikiangalia picha za wakenya machozi huwa yananitoka.
Mtu mwenye pesa anabaka mbuzi.

Shame on you
Screenshot_20211114-121344.png
 
Import ni negative lakini sikuwa nazungumzia uzuri au ubaya wa import. Nilikuwa nasema tu kwamba ukubwa wa import unaweza kutumika kama kigezo cha kupima ukubwa wa uchumi wa nchi fulani. Lakini naona Watanzania kama akina Geza Ulole, toptorn na The best 007 wanasema kuwa Kenya ina-import mizigo mingi sana kwa sababu ya mikopo. Sijui kama kuna ukweli wowote kwenye madai hayo ukizingatia kwamba most of those imports zinafanywa na private sector ya Kenya na sio serikali ya Kenya. Madai yao yangekuwa na mashiko ikiwa serikali ya Kenya ndio ingekuwa ina-import most of these goods kwa sababu serikali ya Kenya ndiyo iliyozongwa na madeni lakini sio private sector ya Kenya. Private sector ya Kenya haina madeni mengi vile na ndio inayoimport most of these goods. HUSUSAN wafanyibiashara wadogo wadogo wa kuuza nguo, magari, spare-parts ya magari, computers, laptops, simu ya mkononi na kadhalika. Pia kampuni kubwa kubwa zina-import malighafi kwa mfano kampuni za cement huwa zinaimport clinker kwa maana Kenya haina uwezo wa kuproduce clinker. Halafu hata kwenye cooking oil kuna baadhi ya makampuni yanayoimport cooking oil kutoka India. Petroleum products pia zinakuwa imported na private sector kutoka Uarabuni. Ikumbukwe kuwa wafanyibiashara wadogo wadogo wa Kenya ndio wanaokuja Tanzania kununua, vitunguu, nyanya na mahindi huko kwenu na sio serikali ya Kenya.
Kwahiyo kumbe ndiyo mana majority ya wakenya wanasumbuliwa na njaa kumbe ni kwasababu serikali yao imewaachia sekta binafsi ktk kila nyanja, ss hii serikali ya Kenya isiyojishughulisha na aina yoyote ya shida zinazowakumba inakusanya pesa nyingi alafu inapeleka wapi?
 
Wapi nilisema haipo kwenye red zone? Obviously debt to gdp ratio ya Kenya ipo juu lakini haipo vibaya kama ya Ghana au Sudan. Isitoshe nusu ya deni la Kenya ni domestic na nusu ndio iliyokopwa kutoka nje. Kwa hivyo wakati mtu kama joto la jiwe anakuja hapa kuongea eti Kenya ipo karibu kuwa bankrupt ukumbuke kuwa nusu ya mikopo hii ni ya Wakenya wenyewe wameikopesha serikali yao kupitia treasury bills and bonds. Kila wakati serikali ya Kenya inapouza treasury bills and bonds huwa Wakenya wengi wanajitokeza kuzinunua. Sijajua ni kwa nini serikali yenu haipendi kuuza treasury bills and bonds kwa Watanzania au ni kwa sababu wanajua Watanzania hawana pesa na hawatazinunua kwa wingi? By the way kama Wakenya hawana pesa, itakuwaje nusu ya deni ya serikali ya Kenya imekopwa ndani ya nchi? Wacheni propaganda za kipuuzi Wabongo.
Alafu kwnn huwa unapenda kuongea vitu pasipo kuwa na data kamili? Nani alikuambia GoT haiuzi bills and bonds?
 
Bado napenda Tanzania na bado naamini uchumi wenu upo under-valued. Nimesema hivyo kwa muda mrefu sasa kwamba kulingana na miradi mingi inayoendelea Tanzania na kwamba mnaeexport chakula ukanda wote huu na munauza dhahabu ya $3 billion kwa mwaka, uchumi wenu haustahili kuwa mdogo hivyo. Gdp yenu inastahili kuwa mkubwa kushinda hio $70 billion ambayo serikali huwa inataja. Halafu mumekwama hapo kwa $60-70 billion kwa miaka mitano au sita sasa japo uchumi wenu unakuwa kwa asilimia 5 au 6% kila mwaka. Licha ya kurebase uchumi wenu mwaka wa 2014 na 2019 bado uchumi wenu umekwama pale pale. Tatizo liko wapi ikiwa nchi kama Ethiopia ambalo lina a more primitive economy linashinda uchumi wenu kwa ukubwa? Mimi huwa ninashuku Tanzania bureau of statistics haina ujuzi unaofaa na wanahitaji msaada kutoka nje ili waweze kupima ukubwa wa uchumi wenu vizuri.

Kuna uwezekano wameshindwa kuzingatia sector mpya zinazoingia kwenye uchumi wenu kwa mfano boda boda wa pikipiki wamekuwa wengi sana miaka mitano zilizopita hapa Africa mashariki, hii lazima izingatiwe kwenye kucalculate mapato ya nchi kama sub-sector mpya ya transportation and logistics. Na mambo ya internet nayo imechipuza biashara mpya kama ya kuuza na kuchuuza bidhaa kupitia mtandao. Halafu miradi mikubwa kama JNHPP ambayo ni takriban $2.5 billion na SGR yenu ambayo ni zaidi ya $4 billion, unaweza imagine kama ni cement au vyuma vinanunuliwa ndani ya nchi basi ni cement ngapi zinanunuliwa hapo? Miradi za daraja ni cement ngapi zinanunuliwa hapo? Ni watu wangapi wanapokea mishahara wanaofanya kazi kwenye miradi hii? Yaani itakuwaje uchumi wenu umekwama kwenye $60 billion kwa miaka mitano? Haiwezekani, lazima kuna tatizo mahali.

Mimi huwa naona uchumi wenu umekaribia wetu na unastahili kuwa around $90 billion. Lakini hio ni maoni yangu tu kwa sababu sijakaa chini na kupitia ripoti ya gdp yenu kwa undani kama nilivyofanya ya Kenya. By the way, Imf wana kitengo maalum ya kusaidia nchi masikini kuboresha statistical reporting capacity zao. Nchi nyingi za Africa zipo hovyo sana katika kupima ukubwa wa uchumi zao. Kuna nchi za central Afrika ambazo hazijawahi kurebase uchumi zao kwa zaidi ya miaka ishirini. Nchi nyingi za Afrika zipo hovyo sana kwenye suala hili. Inawezekana Kenya tunabahatika kupata training na maarifa kutoka Imf na World Bank kwa maana taasisi hizi zina regional headquarters hapa Nairobi. Halafu Kenya sisi tunapenda kujipendekeza kwa wazungu so unakuta Wafanyikazi wa KNBS wanapata training kila wakati jinsi ya kupima na kuclassify different sectors za uchumi. Wafanyakazi wa KNBS huwa wanakwenda hadi ulaya kupata trainings kila uchao kwenye masuala ya kumeasure, kuclassify na kureport different sectors za uchumi. Tieni bidii kidogo kwenye hili. Nchi kama ya South Afrika ipo mbele sana kwenye suala hili kiasi cha kwamba wao hurebase uchumi wao kila baada ya mwaka mmoja badala ya kila baada ya miaka mitano kama tunavyofanya Kenya na Tanzania. South Afrika wao wanarebase kila mwaka kwa sababu wana pesa na ujuzi na wataalam wa kutosha.
Mambo ya GDP ya Tz wala isikuumize kichwa, cc watz tunaojua hili jambo huwa tunawaeleza humu wakenya wenzako ila wanajifanya vichwa ngumu japo ukweli wanaujua.

Ni kweli unavyosema bwanaTony kwamba uchumi wetu unaowekwa kwenye karatasi co halisia bali uchumi wetu ni $150bn take it from me bro.
 
Umeandika vyema ni kweli inawezekana uchumi wetu uko undervalued na si wewe tu umeweza ku identify inawezekana bado hatujapima uzalishaji vizuri...ingawa bado pia kodi ukusanyaji ni mdogo..yani inakusanywa kwa watu wachache

Data nying za Tz kuanzia exports ziko vizuri .tourism etc ila uchumi umekuwa stagnant over years maybe hatuja consider kupima sector nyingne ..maana unakuta tunashindana na Ghana na ivory coast..anyways we must still pull our socks in next 5 yrs naona tukiongeza gdp by 30bn to 50bn..

reasons
1.Completion ya SGR itasaidia kurahisisha usafirshaji

2..Eacop Construction will have started

3.JNHPP ikiisha

4.Data Za TIC ..investemnts zimeongezeka above 3bn usd last year alone

5..Completion ya Roads za West Tanzania regions ambazo zinazalisha sana chakula

6. Nickel mining project, Graphite mining..we should call tesla to eastblish a base hapa..

7.If we succed in Agreeing Mchuchuma and Ligananga Iron mine

8 .If we succed in agreeing LNG plan

9.Completion of Lake Tanganyika ports

Screenshot_20220215-085237_Chrome.jpg
 
Halafu badilisheni sheria. Nchi nyingi za Afrika ikiwemo Kenya na Tanzania bado tunatuma wafanyikazi wa bureau of statistics zetu waende kwenye field kucollect data kutoka kwa makampuni. Sasa unakuta nchi kama Tanzania haina wafanyikazi wa kutosha wa kucollect data hii na unakuta data nyingi inasahaulika kwenye field. Nchi za ulaya ziligundua kwamba ni kheri wapitishe sheria inayozilazimisha kampuni binafsi kureport data kwa bureau of statistics kila mwisho wa mwezi. Kampuni ambayo itakosa kureport data yao itachukuliwa hatua nzito sana ya kisheria. Sasa unakuta badala ya wafanyikazi wa bureau of statistics kuenda kuchukua data kwenye field, unakuta kampuni yenye bila hata kushurutishwa inatuma data yake kwenye bureau of statistics kupitia email au njia yoyote ile ya mawasiliano. Kazi inakuwa rahisi kwa bureau of statistics kucompile hii data yote na kuandika report.
 
WILL MCBAIN ON 14 FEBRUARY 2022

Tanzania: Cashew nut entrepreneur sets up local processing for export-led business​

9be192b8d00e0619e89372728f71a7ad.YYTZ-cashewnuts-grading.jpg

Grading of cashew before processing

After emigrating to Canada as a child, Tanzanian cashew nut entrepreneur Fahad Awadh got used to breaking established conventions. On weekday mornings, he was picked up in a glossy yellow bus like most 11-year-olds in the Toronto area.

But instead of just following the national curriculum, Awadh was recruited into a unique business and technology programme for schoolchildren. He was placed into courses on entrepreneurship, accounting, marketing, design and technology.

When he returned to Tanzania in his early 20s, cashew nuts offered the perfect crop to create an export-led business. The seeds that protrude out of the big yellow fruit that hangs off cashew trees are the most exported cash crop in Tanzania, generating $353.1 million in 2019.

Yet, much of the value in the finished product is taken out of Africa, when the raw kernels are cracked free from their shells, predominantly in India or Vietnam. Tanzania is the fourth largest producer of cashews in the world, but 90% of the crop is exported in raw form. This realisation presented the entrepreneur with an opportunity; to keep cashew production in Africa, package and market the finished goods himself and then sell to some of the world’s biggest consumer markets.

Establishing the business​

Awadh founded YYTZ Agro-Processing in 2015. The YYZ is the airport code for Toronto, where the firm has a warehouse and distribution centre to supply North America. The TZ is the international abbreviation for Tanzania.

Straight off the bat, YYTZ met conservative Tanzanian bank managers, who were not sold on Awadh’s idea of bringing the cashew production process back home, choosing instead to back firms exporting the raw material. Loan applications for equipment were refused as Awadh travelled to meet farmers in the main cashew-producing region of Mtwara, in southern Tanzania, near the border with Mozambique.

Roughly 70% of Tanzania’s cashews are farmed in the region, covered in lush green forests. The crop was first introduced by the Portuguese in the 1500s, from the cashew tree’s native habitat of northeastern Brazil and southeastern Venezuela.

To help get the business off the ground, Awadh’s father, a retired airline pilot, financially backed his son. The two pooled their resources to finance some of the $300,000 needed to renovate a production facility – handed to them by the Zanzibar government – a few minutes’ drive from the islands’ main port.

e81b65140075a999a7f7edf76f13bd09.YYTZ-factory.jpg

YYTZ’s cashew processing facility

Before Awadh hired more than 30 employees, he conducted multiple research trips to Vietnam, where over 70% of the world’s cashews are processed to learn more efficient ways of manufacturing. “That’s when I saw the abundant mechanisation and realised that if we were going to do this, we had to invest in mechanisation. We had to be as efficient as they are because that’s exactly who we were going to be competing with,” says Awadh.

Ramping up production​

In 2016, YYTZ increased its capital with a $500,000 grant awarded to it from the Africa Enterprise Challenge Fund. This gave the young entrepreneur credibility as he ramped up his firm’s production capacity to 2,500 tonnes per annum, roughly 1% of Tanzania’s total cashew yield.

At that time, YYTZ had a perfectly located state-of-the-art processing facility, purchasing agreements in place with all the farmers they needed, a committed buyer in the Netherlands and machines brought back from Vietnam and China. The imported machinery ensured the farmers could avoid breakage with yields of 80% in whole kernel recovery.

What the company didn’t have was any more money to buy the cashews from the farmers. After reading about YYTZ online, a Dutch investor put YYTZ in touch with Netherlands-based multinational Rabobank. A $280,000 loan from the Rabo Foundation was granted, allowing YYTZ to begin transporting tonnes of cashews from Mtwara once a week, before being shipped to YYTZ’s newly finished Zanzibar facility.

4ee53711963db36cc48db3dd4e6039c4.Fahad-800x533-1.jpg

Fahad Awadh

Main products​

In Zanzibar, YYTZ peels, roasts and flavours the nut, using machines that use “cameras and optic vision to sort cashews by colour and size, at a rapid pace”, says Awadh.

The cashews are flavoured with local ingredients and Zanzibar sea salt, dry roasted or unroasted, and sorted into green or turquoise packaging, representing the fertile soil and sea from where the ingredients are sourced. YYTZ then sells its ‘More than Cashews’ brand on online e-commerce platforms like Amazon or to supermarkets in East Africa, Europe and North America.

Awadh reveals that roughly 60% of YYTZ’s revenue comes from this brand, which is made up of 150g packages of cashews on sale for around $6. It is called ‘More than Cashews’ because customers can scan an APR code stapled onto their package, to find out who the farmers are that grew their cashews.

“The cashew product is part of one of the most opaque supply chains. Most consumers have no idea that if the packet maintains it’s a product of Vietnam, there’s an 80% chance the origin was Africa. We want you to be able to know what date your cashews were processed and roasted, to see a photo and read the story of the farmer who grew them,” explains Awadh.

YYTZ has also begun wholesale exports to Sweden, through a collaboration with a Swedish coffee manufacturer called Rutasoka and also provides occasional bulk orders to a company in the Netherlands when it has a surplus.

Despite 2018’s cashew market price crash and a slump in 2020, when consumption dropped as a result of Covid-19, YYTZ has managed to weather the recent storms and raise a further $1.3 million in its latest funding round.

The cashew tree is resilient against drought and climate change and provides several by-products that YYTZ is looking to market: from cashew butter, cashew milk and cashew cheese to dried cashew apples as a plant-based meat alternative.

“The market is growing again and there is a market for plant-based consumers looking for protein-rich alternatives to their diet.

We want to be the best cashew exporter and create the best value for Tanzania by showing Africa can produce great finished products by innovating,” says Awadh.

mwenzenu angalau yupo parfect sana kwenye kuzungumzia jambo flani na huwa hapindishi pindishi maneno wala hana ushabiki wa kijinga kama nyie, inabidi mjifunze kupitia tony,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Maneno kama haya yafaa yatoke kwa watu kama tuusan ama Walker255 . Lakini sasa ng'ombe kama wewe mwenye hujawai toa point ya maana hapa ambayo sii ushabiki ukiongelea ushabiki si ni kama fisi kuonya wanyama wengine against ulafi?🚮🚮
 
Halafu badilisheni sheria. Nchi nyingi za Afrika ikiwemo Kenya na Tanzania bado tunatuma wafanyikazi wa bureau of statistics zetu waende kwenye field kucollect data kutoka kwa makampuni. Sasa unakuta nchi kama Tanzania haina wafanyikazi wa kutosha wa kucollect data hii na unakuta data nyingi inasahaulika kwenye field. Nchi za ulaya ziligundua kwamba ni kheri wapitishe sheria inayozilazimisha kampuni binafsi kureport data kwa bureau of statistics kila mwisho wa mwezi. Kampuni ambayo itakosa kureport data yao itachukuliwa hatua nzito sana ya kisheria. Sasa unakuta badala ya wafanyikazi wa bureau of statistics kuenda kuchukua data kwenye field, unakuta kampuni yenye bila hata kushurutishwa inatuma data yake kwenye bureau of statistics kupitia email au njia yoyote ile ya mawasiliano. Kazi inakuwa rahisi kwa bureau of statistics kucompile hii data yote na kuandika report.
hehe....what a consolation.if i were a tanzanian i would clap for you for this sarcasm........when tz gdp was ahead of kenya's in 2002 what was the excuse........Kibaki revolutionized kenya and Uhuru has continued the same way.....despite the corruption stories Kenya is way above its peers in the region and africa as a whole
 
Jamaa domo tu kumbe kichwani zero, uchumi wetu ni wa tofauti sana hapa sub- sahara africa..laiti ingelikua ni nyinyi basi sai nchi ingelikua imrporomoka kitambo..

Unasema kenya kuna corruption na wakati na hyo corruption bado inakusanya kodi maradufu zaidi yenu
😆😆😆 Ww kilaza kweli,unajijibu mwenyewe,hivi,unakusanya mapato makubwa,alafu yanaishia kwenye mifuko ya watu binafsi,yanasaidia nn?
 
hehe....what a consolation.if i were a tanzanian i would clap for you for this sarcasm........when tz gdp was ahead of kenya's in 2002 what was the excuse........Kibaki revolutionized kenya and Uhuru has continued the same way.....despite the corruption stories Kenya is way above its peers in the region and africa as a whole
Ss unalia nn, hupendi ukweli au co
 
joto la jiwe kakubali km kenya uchumi ni mkubwa...

Ila usijisshaulishe, wanaoshikilia uchumi ni wananchi, kwhyo jiulize kwnn nyie uchumi wenu mdogo..
Jibu linakuja pale raia wengi wa tz kiuchumi taabani
Jamaa akipanda mihogo na mboga mboga tosha anakuta keshamaliza kila kitu katika maisha yake
Kwasababu wakenya wengi wanaishi kwa kutegemea sukuma wiki basi ndio unadhani mpk watz ni hivyo
 
Back
Top Bottom