Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 Wacha niongeze kidogo kwamba Kenya imewapiga kwenye idadi ya abiria wanaopitia kwenye airports. Kenya ina service sector kubwa kushinda yenu. Kwa mfano Kenya ina makampuni kubwa kushinda zenu hata tukiangalia banks, banks za Kenya ni kubwa ajabu ukizilinganisha na banks za TZ ambazo ni ndogo sana. KCB, EQUITY na Co-operative banks zina more capital kushinda banks zenu zote na ukumbuke kwamba Kenya ina banks 44 ilhali banks tatu zetu zina more capital kushinda zenu zote. Tukija kwenye telecomm sector, Safaricom pekee ina bigger valuation kushinda kampuni zenu zote za telecomm. Hizi data nipo tayari kumwaga huku. Yaani kampuni za kininafsi za Kenya ni kubwa sana ukizilinganisha na zenu. Kwenye kuexport tea, flowers, coffee, textiles na vegetables tumewapiga. Kenya tunaconsume more electricity na more petroleum products kuwashinda. Kenya tunaimport more goods kuwashinda kumaanisha tunaconsume more goods kuwashinda. Kwa mfano Kenya inaimport goods worth 14 billion dollars kila mwaka wakati nyie mnaimport goods worth 9 billion dollars kila mwaka.

Hizi data zote zinaonyesha kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu. Service sector ni zaidi ya 50% ya uchumi wa Kenya kwa hivyo Kenya ni service driven economy wakati nyie ni agriculture and mining driven economy. Sie mining industry yetu ni ndogo sana. Yaani kuna mambo mumetupiga lakini sie pia tumewapiga vibaya sana kwenye mambo mengine, hususan private sector yetu ambayo inawafunika vibaya sana. Kumbuka Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuinvest hapo Tanzania na top three kwa kuinvest Uganda. Sasa hivi makampuni ya Kenya yanaivest Ethiopia ikiwemo Safaricom na Kengen. Mabenki za Kenya zipo katika nchi zaidi ya saba ukanda huu. Sasa sijui mnaidharau Kenya kwa nini. Hata kwenye diplomasia, Kenya ina embassies zaidi ya mia moja na kuna baadhi ya hizi embassies ambazo hazipo Tanzania. UN global headquarters ya UNEP na UN habitat ipo Kenya. World Bank na IMF regional headquarters ipo Kenya. Google, microsoft, IBM, Oracle regional headquarters zipo Kenya. Al-jazeera, BBC, Xinhua, CGTN regional au African headquarters zipo Kenya. Ikumbukwe Kenya ina skyscrapers nyingi above 100 metres kushinda Tanzania. Hata tu kwenye picha zinazowekwa humu ni wazi kwamba Kenya ina apartments nyingi kushinda Tanzania. Kenya ina watu wengi wanaofanya kazi Marekani na nchi za ulaya kushinda Tanzania. N.k. Niendelee au niwachie hapo?
tangu lini gdp ya $109b na $65b zikakula kwa sahani moja.!? yani kenya na tanganyika nikama daudi na goliati.. aliye na nguvu mpishe
 
wacha ujinga wewe Mwanza Hub can no way to be compared to Kisumu and number of tourists plying to our natural tourists attraction has nothing to do with Tanzanians' pockets! I am 100% sure Mombasa receives less tourists in comparison to KIA , and Zanzibar receives more tourists than both KIA and Mombasa at the moment!

Whereas JNIA receives less tourists than JKIA the dynamics r fast changing and to prove the point try to investigate how many airlines r lined nup to fly to JNIA and another factor is KQ's lousy mistake to terminate partnership with KLM and Air France! As a result a serious surge of tourists numbers at AAKIA in Zanzibar! BTW more is to come! Eurowings is to start flying to KIA from June!

Kruger Mpumalanga is the seventh destination offered by Eurowings Discover on the continent after already starting services from Frankfurt to Mombasa, Zanzibar, Mauritius and Windhoek, followed later by Victoria Falls and Kilimanjaro.

ona Ichoboy, am talking about 1920s vintage cars. these are things u ll never find in LeastDevelopedCountries..
1080x360.jpeg
Concours-d-elegance.jpg
 
wacha ujinga wewe Mwanza Hub can no way to be compared to Kisumu and number of tourists plying to our natural tourists attraction has nothing to do with Tanzanians' pockets! I am 100% sure Mombasa receives less tourists in comparison to KIA , and Zanzibar receives more tourists than both KIA and Mombasa at the moment!

Whereas JNIA receives less tourists than JKIA the dynamics r fast changing and to prove the point try to investigate how many airlines r lined nup to fly to JNIA and another factor is KQ's lousy mistake to terminate partnership with KLM and Air France! As a result a serious surge of tourists numbers at AAKIA in Zanzibar! BTW more is to come! Eurowings is to start flying to KIA from June!

Soma tena nilichoandika na uwache kukurupuka. Mimi sikuwa nazungumza kuhusu tourists pekee mimi nilikuwa nazungumza kuhusu total number of passengers through our airports. Hapo ninajumlisha pia Wakenya ambao ni wasafiri wanaopitia airport. Pili, sikutaja airport yoyote, Jkia au Moi airport Mombasa, mimi nilisema tu kwamba Kenya inapokea passengers wengi kwenye airports zake kushinda Tanzania. Sasa wewe unaleta mambo ya tourists hapa na mambo ya Zanzibar airport wakati mimi nilikuwa nazungumzia kuhusu total number of passengers through our airports. Kenyan airports kwa ujumla bila kuangalia airport moja moja zinapokea passengers wengi kushinda airports zenu kwa ujumla. How many passengers huwa wanapitia kwenye airports zenu hebu post hapa saa hii kama unajiamini. Nakungoja. Usinipe statistics za airport moja moja, jumlisha zote unipe jumla ya abiria wanaopitia airport zenu. Najua hata hawajafika abiria milioni sita kwa mwaka. Kama unapinga weka data.
 
Sama boy 255 Wacha niongeze kidogo kwamba Kenya imewapiga kwenye idadi ya abiria wanaopitia kwenye airports. Kenya ina service sector kubwa kushinda yenu. Kwa mfano Kenya ina makampuni kubwa kushinda zenu hata tukiangalia banks, banks za Kenya ni kubwa ajabu ukizilinganisha na banks za TZ ambazo ni ndogo sana. KCB, EQUITY na Co-operative banks zina more capital kushinda banks zenu zote na ukumbuke kwamba Kenya ina banks 44 ilhali banks tatu zetu zina more capital kushinda zenu zote. Tukija kwenye telecomm sector, Safaricom pekee ina bigger valuation kushinda kampuni zenu zote za telecomm. Hizi data nipo tayari kumwaga huku. Yaani kampuni za kininafsi za Kenya ni kubwa sana ukizilinganisha na zenu. Kwenye kuexport tea, flowers, coffee, textiles na vegetables tumewapiga. Kenya tunaconsume more electricity na more petroleum products kuwashinda. Kenya tunaimport more goods kuwashinda kumaanisha tunaconsume more goods kuwashinda. Kwa mfano Kenya inaimport goods worth 14 billion dollars kila mwaka wakati nyie mnaimport goods worth 9 billion dollars kila mwaka.

Hizi data zote zinaonyesha kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu. Service sector ni zaidi ya 50% ya uchumi wa Kenya kwa hivyo Kenya ni service driven economy wakati nyie ni agriculture and mining driven economy. Sie mining industry yetu ni ndogo sana. Yaani kuna mambo mumetupiga lakini sie pia tumewapiga vibaya sana kwenye mambo mengine, hususan private sector yetu ambayo inawafunika vibaya sana. Kumbuka Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuinvest hapo Tanzania na top three kwa kuinvest Uganda. Sasa hivi makampuni ya Kenya yanaivest Ethiopia ikiwemo Safaricom na Kengen. Mabenki za Kenya zipo katika nchi zaidi ya saba ukanda huu. Sasa sijui mnaidharau Kenya kwa nini. Hata kwenye diplomasia, Kenya ina embassies zaidi ya mia moja na kuna baadhi ya hizi embassies ambazo hazipo Tanzania. UN global headquarters ya UNEP na UN habitat ipo Kenya. World Bank na IMF regional headquarters ipo Kenya. Google, microsoft, IBM, Oracle regional headquarters zipo Kenya. Al-jazeera, BBC, Xinhua, CGTN regional au African headquarters zipo Kenya. Ikumbukwe Kenya ina skyscrapers nyingi above 100 metres kushinda Tanzania. Hata tu kwenye picha zinazowekwa humu ni wazi kwamba Kenya ina apartments nyingi kushinda Tanzania. Kenya ina watu wengi wanaofanya kazi Marekani na nchi za ulaya kushinda Tanzania. N.k. Niendelee au niwachie hapo?
Umesema ukweli mtupu
 
Umesema ukweli mtupu
Likija kwenye mambo ya uchumi, sasa kama Kenya ina uchumi mdogo, inapata wapi pesa ya kuimport mizigo karibia mara dufu ya Tanzania? Mbona sisi hapa Kenya tunaimport mizigo worth $14 billion na nyinyi ambao mnasemaga eti mna uchumi mkubwa mnaimport $9 billion kwa mwaka? Itakuwaje kwamba Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda Kenya ilhali Kenya inakusanya kodi mara dufu ya Tanzania na Kenya ina bajeti ya serikali mara dufu kwa ukubwa ukilinganisha na bajeti ya Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali valuation ya Nairobi securities exchange ni zaidi ya mara dufu ya Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuwekeza hapo Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali benki za Kenya zimewekeza ukanda huu wote, kuanzia DR Congo, hadi South Sudan, hadi Rwanda, hadi Tanzania. Wakati mama Suluhu alikuja Kenya, alikiri kwamba kuna kampuni za Kenya zaidi ya mia tano zimewekeza Tanzania na akasema kwamba kuna kampuni takriban hamsini tu za Tanzania ambazo zimewekeza Kenya. Hakuna benki hata moja ya Tanzania ambayo imewekeza Kenya. Safaricom pekee ina valuation kubwa kushinda karibu kampuni zote ndani ya Dar es Salaam stock exchange. Kampuni moja ya Kenya ina valuation kubwa kushinda karibu kampuni zenu zote ambazo zipo listed kwa DSE. Halafu bado watu hapa wanaimba wimbo wa uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.
 
Sama boy 255 Wacha niongeze kidogo kwamba Kenya imewapiga kwenye idadi ya abiria wanaopitia kwenye airports. Kenya ina service sector kubwa kushinda yenu. Kwa mfano Kenya ina makampuni kubwa kushinda zenu hata tukiangalia banks, banks za Kenya ni kubwa ajabu ukizilinganisha na banks za TZ ambazo ni ndogo sana. KCB, EQUITY na Co-operative banks zina more capital kushinda banks zenu zote na ukumbuke kwamba Kenya ina banks 44 ilhali banks tatu zetu zina more capital kushinda zenu zote. Tukija kwenye telecomm sector, Safaricom pekee ina bigger valuation kushinda kampuni zenu zote za telecomm. Hizi data nipo tayari kumwaga huku. Yaani kampuni za kininafsi za Kenya ni kubwa sana ukizilinganisha na zenu. Kwenye kuexport tea, flowers, coffee, textiles na vegetables tumewapiga. Kenya tunaconsume more electricity na more petroleum products kuwashinda. Kenya tunaimport more goods kuwashinda kumaanisha tunaconsume more goods kuwashinda. Kwa mfano Kenya inaimport goods worth 14 billion dollars kila mwaka wakati nyie mnaimport goods worth 9 billion dollars kila mwaka.

Hizi data zote zinaonyesha kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu. Service sector ni zaidi ya 50% ya uchumi wa Kenya kwa hivyo Kenya ni service driven economy wakati nyie ni agriculture and mining driven economy. Sie mining industry yetu ni ndogo sana. Yaani kuna mambo mumetupiga lakini sie pia tumewapiga vibaya sana kwenye mambo mengine, hususan private sector yetu ambayo inawafunika vibaya sana. Kumbuka Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuinvest hapo Tanzania na top three kwa kuinvest Uganda. Sasa hivi makampuni ya Kenya yanaivest Ethiopia ikiwemo Safaricom na Kengen. Mabenki za Kenya zipo katika nchi zaidi ya saba ukanda huu. Sasa sijui mnaidharau Kenya kwa nini. Hata kwenye diplomasia, Kenya ina embassies zaidi ya mia moja na kuna baadhi ya hizi embassies ambazo hazipo Tanzania. UN global headquarters ya UNEP na UN habitat ipo Kenya. World Bank na IMF regional headquarters ipo Kenya. Google, microsoft, IBM, Oracle regional headquarters zipo Kenya. Al-jazeera, BBC, Xinhua, CGTN regional au African headquarters zipo Kenya. Ikumbukwe Kenya ina skyscrapers nyingi above 100 metres kushinda Tanzania. Hata tu kwenye picha zinazowekwa humu ni wazi kwamba Kenya ina apartments nyingi kushinda Tanzania. Kenya ina watu wengi wanaofanya kazi Marekani na nchi za ulaya kushinda Tanzania. N.k. Niendelee au niwachie hapo?
Hapa umeongea kama maprofessor kumi wa Harvard.
 
Likija kwenye mambo ya uchumi, sasa kama Kenya ina uchumi mdogo, inapata wapi pesa ya kuimport mizigo karibia mara dufu ya Tanzania? Mbona sisi hapa Kenya tunaimport mizigo worth $14 billion na nyinyi ambao mnasemaga eti mna uchumi mkubwa mnaimport $9 billion kwa mwaka? Itakuwaje kwamba Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda Kenya ilhali Kenya inakusanya kodi mara dufu ya Tanzania na Kenya ina bajeti ya serikali mara dufu kwa ukubwa ukilinganisha na bajeti ya Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali valuation ya Nairobi securities exchange ni zaidi ya mara dufu ya Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kushinda Tanzania ilhali Kenya ndio nchi ya pili kwenye kuwekeza hapo Tanzania? Kenya itakuwaje na uchumi mdogo kishinda Tanzania ilhali benki za Kenya zimewekeza ukanda huu wote, kuanzia DR Congo, hadi South Sudan, hadi Rwanda, hadi Tanzania. Wakati mama Suluhu alikuja Kenya, alikiri kwamba kuna kampuni za Kenya zaidi ya mia tano zilizowekeza Tanzania na akasema kwamba kuna kampuni takriban hamsini tu za Tanzania ambazo zimewekeza Kenya. Hakuna benki hata moja ya Tanzania ambayo imewekeza Kenya. Safaricom pekee ina valuation kubwa kushinda karibu kampuni zote ndani ya Dar es Salaam stock exchange. Kampuni moja ya Kenya ina valuation kubwa kushinda kampuni zenu zote ambazo zipo listed kwa DSE. Halafu bado watu hapa wanaimba wimbo wa uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.
Kuimport ndio uchumi au kuexport, we jamaa kilaza tu kama wengine
 
Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi itatoa wapi fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe jiulize hilo swali.
 
Back
Top Bottom