Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuimport ndio uchumi au kuexport, we jamaa kilaza tu kama wengine
Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi haiwezi kupata fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe tafakari hilo.
 
Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi haiwezi kupata fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe jiulize hilo swali.
Umapopost a well written article yenye inamake a lot of sense alafu ng'ombe fulani inayojulikana kwa kupost meangliess one liners inakuja kuiponda na sentensi moja ya matusi epukana na kujibu wajinga kama hao. They are not your level. Respond to level headed people.
 
Naamini Dar inakua kwa kasi,inajengeka Siku hadi siku...ni sisi kua smart kukamata fursa zote na kuipaisha zaidi
20220214_214521.jpg
20220214_214315.jpg
20220214_214402.jpg
20220214_214420.jpg
20220214_214441.jpg
20220214_214617.jpg
20220214_214635.jpg
20220214_214703.jpg
20220214_214721.jpg
20220214_214829.jpg
20220214_214847.jpg
 
Wacha mimi nimeenda. Tutaonana siku nyingine. Huwa nakubali kwamba Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo ikiwemo ujenzi wa madaraja, barabara, reli ya SGR ya umeme na JNHPP. Tanzania sio nchi ndogo na sio nchi ya kupuuzwa hata kidogo. Hususan miradi ya JNHPP na SGR zikikamilika basi Tanzania mtakuwa mbali sana kwa sababu miradi hizi zitasisimua (stimulate) uchumi wenu sana. Hapa JPM alikuwa anawaza long-term kwa maana miradi hizi mtapata manufaa yao baadaye. Nchi yenu inakuwa kwa kasi mno na itaendelea kukua kwa kasi. Lakini sioni ni kwa nini nyie Wabongo mjifanye kwamba hamuoni ukubwa wa uchumi wa Kenya ilhali watu wengi Africa wanaweza kuiona, hata wazungu wanaokuja kuweka headquarters ya kila kitu Kenya na sio Tanzania wanajua hilo. Hakuna tatizo mkikubali kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa, hamtapungukiwa na chochote. Vile vile mimi nasifia uchumi wenu kwa sababu uchumi wenu pia ni mkubwa na unakuwa kwa haraka sanaa. Mimi kwa kuwasifu sijapungukiwa na chochote. Hamna haja ya nyie kuamini kwamba Kenya ina uchumi mdogo wakati hata data ambazo zinatolewa na taasisi ambazo zipo independent kama World Bank, Imf, UN, Afdb, EU, WEF, CIA, OECD zote zinasema kwamba Kenya ndio nchi yenye uchumi mkubwa ukanda huu. Hizi taasisi zote zimehongwa na serikali ya Kenya kueneza uongo huu? Kwani serikali ya Kenya ina pesa nyingi sana vipi ya kuhonga taasisi zote hizi?
 
Habari za usiku Mkunya Giza Ulale 😂😂😂
punguza makasiriko, ni Monday Mzee.
otherwise lala salama,live to fight another day 🤛🏽👊🏾
Wacha upumbavu wewe, hapo hakukuwa na haja ya kuzungusha hiyo road ningekuwa na simu yng ile ningekuchorea hapo uone ujinga wako sema simu yng imeharibika, alafu kama kawaida yenu mkishindwa hoja mnakimbilia lugha ya waume zenu kama ndio kigezo cha ku win battle, misamiati ya std 1 umetumia hapo na hakuna point umeongea.View attachment 2118985
the fvk is wrong with you a55hole 🤣🤣🤣🤣 who tf is that 🤣🤣
 
Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi itatoa wapi fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe jiulize hilo swali.
Hapa umeongea upuuzi sn, yn unaongelea uchumi mkubwa unao import kuliko ku export? Uchumi gn umesoma wewe? Kama hamjitoshelezi kwnn msi import kuliko ku export? Unaongelea pesa ya ku import na unajua mnakopa kila siku kununua chakula.
 
Wacha mimi nimeenda. Tutaonana siku nyingine. Huwa nakubali kwamba Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo ikiwemo ujenzi wa madaraja, barabara, reli ya SGR ya umeme na JNHPP. Tanzania sio nchi ndogo na sio nchi ya kupuuzwa hata kidogo. Hususan miradi ya JNHPP na SGR zikikamilika basi Tanzania mtakuwa mbali sana kwa sababu miradi hizi zitasisimua (stimulate) uchumi wenu sana. Hapa JPM alikuwa anawaza long-term kwa maana miradi hizi mtapata manufaa yao baadaye. Nchi yenu inakuwa kwa kasi mno na itaendelea kukua kwa kasi. Lakini sioni ni kwa nini nyie Wabongo mjifanye kwamba hamuoni ukubwa wa uchumi wa Kenya ilhali watu wengi Africa wanaweza kuiona, hata wazungu wanaokuja kuweka headquarters ya kila kitu Kenya na sio Tanzania wanajua hilo. Hakuna tatizo mkikubali kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa, hamtapungukiwa na chochote. Vile vile mimi nasifia uchumi wenu kwa sababu uchumi wenu pia ni mkubwa na unakuwa kwa haraka sanaa. Mimi kwa kuwasifu sijapungukiwa na chochote. Hamna haja ya nyie kuamini kwamba Kenya ina uchumi mdogo wakati hata data ambazo zinatolewa na taasisi ambazo zipo independent kama World Bank, Imf, UN, Afdb, WEF, CIA, OECD zote zinasema kwamba Kenya ndio nchi yenye uchumi mkubwa ukanda huu. Hizi taasisi zote zimehongwa na serikali ya Kenya kueneza uongo huu? Kwani serikali ya Kenya ina pesa nyingi sana vipi ya kuhonga taasisi zote hizi?
Nitajie uchumi mkubwa ambao unashindwa kukomboa raia wake toka kwenye njaa, nitajie uchumi mkubwa unaoshindwa kutumia pesa ya ndani kufanya miradi yake, nitajie uchumi mkubwa ambapo 60% ya raia wake wanaoishi mji mkuu wanaishi kwa slums, nitajie uchumi mkubwa wenye electricity capacity ya only 2000MW.
 
Oy bro geza, unajua huyo mtoto ni mpumbavu sana juzi hapa alidai kwamba Kisumu airstrip Ina handle watu wengi than Mwanza and Arusha combined 😂😂 kumbe Kisumu enyewe Iko na PAX terminal ya 250k per annum, 😂😂😂
na wajinga wenzako wamelike iyo ujinga umeandika!
Ksm is handling more than capacity reason inakuwa upgraded,
Same case capacity ya Dar Ni 10m plus but mishandles less than 2million 20221.
 
Kuimport pia kunaonyesha strength ya uchumi. Uchumi mdogo kama wenu mtatoa wapi fedha ya kuimport 14 billion dollars kwa mwaka? Obviously ikiwa Kenya ina uchumi mdogo kushinda wenu basi haiwezi kupata fedha ya kuimport mizigo karibu mara dufu yenu? Wewe tafakari hilo.
sasa ikiwa tanzania kuna vitu sio lazma kuimport utasema tuimport kuwarishisha nyinyi ?? 😂😂 au hujui kama kenya inatumia pesa nyingi ku import chakula ilihali tanzania haifanyi biashara hzo?? yani unaongea vitu havina kichwa wala mguu
 
Hapa umeongea upuuzi sn, yn unaongelea uchumi mkubwa unao import kuliko ku export? Uchumi gn umesoma wewe? Kama hamjitoshelezi kwnn msi import kuliko ku export? Unaongelea pesa ya ku import na unajua mnakopa kila siku kununua chakula.
Hata Marekani anaimport kushinda kuexport na bado ana uchumi mkubwa kushinda Uchina anaye-export kushinda kuimport. Gdp sio kigezo pekee inayotumiwa kupima ukubwa wa uchumi. Vigezo vingine kama ukubwa wa export au import pia unaweza kitumika. Au kigezo kama size of foreign exchange reserve. Hata kwenye foreign exchange reserve, Kenya ina foreign exchange reserve kubwa kushinda yenu. Sikusema kwamba kuimport ni nzuri kushinda kuexport, nilimaanisha kwamba tunaweza kulitumia kama kigezo cha kupima ukubwa wa uchumi.
 
Hii forum inaanza kukuelemea ,point gani ya kipimbi namna hii
ww uchumi ulisomea wapi hebu tujuze sisi tusije peleka watoto wetu hapo??🤣🤣
sasa ikiwa tanzania kuna vitu sio lazma kuimport utasema tuimport kuwarishisha nyinyi ?? 😂😂 au hujui kama kenya inatumia pesa nyingi ku import chakula ilihali tanzania haifanyi biashara hzo?? yani unaongea vitu havina kichwa wala mguu
 
Back
Top Bottom