Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Top 10 ya nchi za Afrika ambazo zimeelimika zaidi.

1. Equatorial Guinea (95.3%)
2. South Africa (94.3%)
3. Seychelles (91.8%)
4. Libya (91.0%)
5. Mauritius (90.6%)
6. Botswana (88.5%)
7. Cape Verde (87.6%)
8. Zimbabwe (86.5%)
9. Burundi (85.6%)
10. Gabon (83.2%)

Source : Tech Build Africa



Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Top 10 ya nchi za Afrika ambazo zimeelimika zaidi.

1. Equatorial Guinea (95.3%)
2. South Africa (94.3%)
3. Seychelles (91.8%)
4. Libya (91.0%)
5. Mauritius (90.6%)
6. Botswana (88.5%)
7. Cape Verde (87.6%)
8. Zimbabwe (86.5%)
9. Burundi (85.6%)
10. Gabon (83.2%)

Source : Tech Build Africa



Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
wale wasomi wa broken english wako wapi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mambo ya GDP ya Tz wala isikuumize kichwa, cc watz tunaojua hili jambo huwa tunawaeleza humu wakenya wenzako ila wanajifanya vichwa ngumu japo ukweli wanaujua.

Ni kweli unavyosema bwanaTony kwamba uchumi wetu unaowekwa kwenye karatasi co halisia bali uchumi wetu ni $150bn take it from me bro.
$150bn umetoa kwa website gani mkuu hama umepima tu na akili ya kibongo bongo😹😹😹
 
Watanzania kiuchumi mpo hoi
Mpka mashirika yenu ya "government owned"yanahaha kisa returns kutoka kw mwananchi wa kawaida ni kidogo hawana nguvu hyo kiuchumi


Kw mfano sportpesa tz hata sijui mara ya mwisho kuingiza faida hata nusu ile walikua wakipata kenya ni lini..
Kwa hiyo unadhani kila mtu anabet?
 
Back
Top Bottom