Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu kuna kasumba imesambazwa kwamba waliojifungua wamekatazwa kusoma, hiyo sio kweli kabisa, ni kwamba wanaweza kusoma private schools au akawa mtahiniwa wa kujitegemea, lengo ni kutowamix na watoto wadogo kama hapo walivyofanya.
Nandiyo huyo jamaa mpumbavu anavyo kushutumu kana kwamba tunapinga elimu kwa walio zaa ,mbona watu wazima wanatafuta elimu mbalimbali hakuna anaye wazuia ,sisi tunacho sema hao wanafunzi wajengewe shule zao na wawekewe kijiada kidogo kama penati ili watie akili,
 
Unyama unyamani,
Mzigo wenyewe huu hapa
IMG_9651.jpg

IMG_9652.jpg
 
Sio tunaoenda,ni wale washenzi wa Mwendazake wamewekwa pembeni wanalia Lia tuu,achana nao hao mbuzi..

Ujue walijiaminisha kwamba mwendazake ni mfano wote wanatakiwa kufuata kumbe alikuwa mwehu walikuwa wanafunika Kombe mwanaharamu apite..

Mwambie hadi saizi kuna kitu gani cha maana mwendazake alifanya na kukamilisha kwa miaka 6 yote, nothing lakini kwa Samia ndani mwaka mmja mengi keshafanya.

Na hivi ni Mzanzibar na pia mwanamke tena muislam, baadhi ya Sukuma gang hawamkubali ila majority tuko na mama.
NAJUA MZANZIBARI KAKAMILISHA MENGI.
1)Police brutality.
2)Watu kula kwa urefu wa kamba zao.
3)Umeme kukatika hovyoo.
4)Baadhi ya miradi kusimama.
5)Utoaji huduma mashirika ya serikali kuzorota.
6)Wajasiriamali wadogo wadogo kukimbizwa kila siku.
HONGERA YAKE SAMIA SULUHU.
 
I am logging off from JF for a very long time., it has been fun being here, nimejifunza Kiswahili sana humu, guess have improved tremendously in comparison to when I joined JF, ahsante sana watanzania kwa hilo. My countrymen keep on debating in a positive way, post positives with undeniable facts. I wish you all success, may Tanzania grow to become a force not only in Africa but in the World, may Kenya ascend even higher and create more opportunities for prosperity and success for all and be a role model in Africa. May both countries succeed in alleviating poverty, corruption and bad governance. May EAC become the King of Africa soonest! We are both in the right track I can tell, miundo mbinu inanyooshwa pole pole, it is just a few structural adjustments here and there; socially, politically and economically and then we are good to go. God bless Africa. Goodbye y'all.

Just to add, to those have hurt by my aggression, forgive me, ni debate, nothing serious, much love. 🤞 🙏
Thanks for the great moments we have shared on this forum. All the best in your endeavours. 🙏
 
Leo komora kwa furaha uliyonayo lazima utakesha humu ila hiyo siyo sgr tutakayo nunua kwanza itakuja sgr ya umeme ya majaribio hiyo inaweza kuwa na sura mbaya siyo tatizo ila tutaleta za ukweli wewe subiri tu
Mtaleta "SGR" emu acha utani wewe
 
Nandiyo huyo jamaa mpumbavu anavyo kushutumu kana kwamba tunapinga elimu kwa walio zaa ,mbona watu wazima wanatafuta elimu mbalimbali hakuna anaye wazuia ,sisi tunacho sema hao wanafunzi wajengewe shule zao na wawekewe kijiada kidogo kama penati ili watie akili,
Km madawati tu yamewashinda itakuha shule
 
Nyie sema huwa mnapenda kuongozwa kidikteta. Mkiongozwa kiupolepole mnamchukia huyo kiongozi. Mnapenda watu kama Nyerere au Magufuli kwa sababu hawakuwa wanapenda upinzani na walikuwa wakali mno. Mnawachukia JK na mama huyu kwa sababu ni wapole na wastaarabu ambao hawapendi fujo na sinema. Nyie huwa mnapenda mtu anayewapiga ngumi na mateke ili mhisi kwamba mna kiongozi shujaa. Magufuli alikuwa amewasoma saikolojia yenu vizuri sana. Alijua asipowapiga mangumi na mateke, mtaanza kulalamika kwamba rais hajui kufanya kazi yake.

japo nimechelewa lkn niseme.. Majaliwa au Dr Hussein Mwinyi wa Zanzibar ni wapole lkn tunaona wanafaa kuwa rais.. ukali sio kigezo
 
Mkuu kuna kasumba imesambazwa kwamba waliojifungua wamekatazwa kusoma, hiyo sio kweli kabisa, ni kwamba wanaweza kusoma private schools au akawa mtahiniwa wa kujitegemea, lengo ni kutowamix na watoto wadogo kama hapo walivyofanya.
Upo mfumo wa elimu miaka yote unaitwa Mpango wa Elimu Kwa Watu Wazima (MEMKWA) na ni mfumo Rasmi kwenye shule za serikali, wanakua na madara yao lakini mtihani ni uleule, sasa nashangaa hiki kituko cha wapi! Yaani ni kuiharibu elimu yetu moja kwa moja, saivi watabeba mimba mno sababu wanajua watarudi tu darasa lilelile

Wanafunzi watasoma, watasikiliza kelele za vichanga darasani?
 
Nandiyo huyo jamaa mpumbavu anavyo kushutumu kana kwamba tunapinga elimu kwa walio zaa ,mbona watu wazima wanatafuta elimu mbalimbali hakuna anaye wazuia ,sisi tunacho sema hao wanafunzi wajengewe shule zao na wawekewe kijiada kidogo kama penati ili watie akili,
Mkuu huyo Tz_one ni mzalendo kaka usimshambulie sana.
 
NAJUA MZANZIBARI KAKAMILISHA MENGI.
1)Police brutality.
2)Watu kula kwa urefu wa kamba zao.
3)Umeme kukatika hovyoo.
4)Baadhi ya miradi kusimama.
5)Utoaji huduma mashirika ya serikali kuzorota.
6)Wajasiriamali wadogo wadogo kukimbizwa kila siku.
HONGERA YAKE SAMIA SULUHU.
Mjambiani in Lwiva voice
 
I am logging off from JF for a very long time., it has been fun being here, nimejifunza Kiswahili sana humu, guess have improved tremendously in comparison to when I joined JF, ahsante sana watanzania kwa hilo. My countrymen keep on debating in a positive way, post positives with undeniable facts. I wish you all success, may Tanzania grow to become a force not only in Africa but in the World, may Kenya ascend even higher and create more opportunities for prosperity and success for all and be a role model in Africa. May both countries succeed in alleviating poverty, corruption and bad governance. May EAC become the King of Africa soonest! We are both in the right track I can tell, miundo mbinu inanyooshwa pole pole, it is just a few structural adjustments here and there; socially, politically and economically and then we are good to go. God bless Africa. Goodbye y'all.

Just to add, to those have hurt by my aggression, forgive me, ni debate, nothing serious, much love. 🤞 🙏
sad that Don u are leaving this house. u've been a very influential figure
 
Back
Top Bottom