Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi picha zimepigwa katika angle moja lkn moja road markings zinaonekana nyingine kama kawaida yake, Kenya is the father of unmarked roads in the World
JamiiForums-48959881.jpg
JamiiForums846169307.jpg
 
Upumbavu wa karne huu, ndiyo nn ss
Kaka i beg to differ mzee...elimu inasaidia sana kwenye development..unataka tuongeze Poverty rate kisa tu hujawaruhusu kurudi shule.....ninachotaka wawe na special school zao wasiwe mixed na wengne ambao sio wazazi .
 
I am logging off from JF for a very long time., it has been fun being here, nimejifunza Kiswahili sana humu, guess have improved tremendously in comparison to when I joined JF, ahsante sana watanzania kwa hilo. My countrymen keep on debating in a positive way, post positives with undeniable facts. I wish you all success, may Tanzania grow to become a force not only in Africa but in the World, may Kenya ascend even higher and create more opportunities for prosperity and success for all and be a role model in Africa. May both countries succeed in alleviating poverty, corruption and bad governance. May EAC become the King of Africa soonest! We are both in the right track I can tell, miundo mbinu inanyooshwa pole pole, it is just a few structural adjustments here and there; socially, politically and economically and then we are good to go. God bless Africa. Goodbye y'all.

Just to add, to those have hurt by my aggression, forgive me, ni debate, nothing serious, much love.
Muheshi usitusahau after mambo zote hizo..

Najua waenda kujipanga..

Uwe unakuja siku moja moja kutusalimia.
 
I am logging off from JF for a very long time., it has been fun being here, nimejifunza Kiswahili sana humu, guess have improved tremendously in comparison to when I joined JF, ahsante sana watanzania kwa hilo. My countrymen keep on debating in a positive way, post positives with undeniable facts. I wish you all success, may Tanzania grow to become a force not only in Africa but in the World, may Kenya ascend even higher and create more opportunities for prosperity and success for all and be a role model in Africa. May both countries succeed in alleviating poverty, corruption and bad governance. May EAC become the King of Africa soonest! We are both in the right track I can tell, miundo mbinu inanyooshwa pole pole, it is just a few structural adjustments here and there; socially, politically and economically and then we are good to go. God bless Africa. Goodbye y'all.

Just to add, to those have hurt by my aggression, forgive me, ni debate, nothing serious, much love. 🤞 🙏
hungoji kuona FID EACOP ikisainiwa maana wewe na wenzio mlikuwa mkibisha humu!
 
Kaka i beg to differ mzee...elimu inasaidia sana kwenye development..unataka tuongeze Poverty rate kisa tu hujawaruhusu kurudi shule.....ninachotaka wawe na special school zao wasiwe mixed na wengne ambao sio wazazi .
Mkuu kuna kasumba imesambazwa kwamba waliojifungua wamekatazwa kusoma, hiyo sio kweli kabisa, ni kwamba wanaweza kusoma private schools au akawa mtahiniwa wa kujitegemea, lengo ni kutowamix na watoto wadogo kama hapo walivyofanya.
 
Mmmhh Hotel mlimani ??? Tuache hiv hiv asee ndio poa kwanza inasaidia vijana local sanaaa kiuchumi..
Hata hiyo cable car wasiweke na ka wanaweka inatakiwa iwe ghali sana ili matajiri wavivu ndio watumie hizo car kwa bei kali na majority waendelee na upandaji kawaida
Cable car ndiyo mbaya kwa vijana local, hao vijana wataendelea na kazi za kupandisha na kushusha watalii ,tusiwe vipofu wa kutokuona mbali kwa sababu ya hofu ya ajira ,maana kama kwa kufanya hivyo navyo sema watalii wataongezeka mara 4 ya wanaokuja wewe huoni tutakuwa tumetengeneza ajira zaidi,maana sijui watu wanaopanda huo mlima wanakwenda toilet wapi?wakiwa huko juu kuhusu hotel siyo za gorofa ni ni vijumba vya kitalii na open restaurant
 
Back
Top Bottom