Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi




MY TAKE
kelele nyingi huku KQ ikienda mswaki, saahii inasafirisha monkeys! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani zamani siilikuwa inasafirisha Nugu za kenya ??? The same thing[emoji23]
Monkey business as usual
 
Mbona zenji visiwa vinahalibiwa unasifu kuwa ni uwekezaji [emoji241]mlima ni wetu wabara uhalibifu ni kukata misitu siyo huo ujenzi ninao pendekeza huko juu nikukubwa sana wanaweza kujenga miundombinu rafiki kwa kuvutia utalii zaidi maana kuna hali ya barafu
Mazwazwa hamtakaa muishe Duniani ..

Utalii wa kule ni beaches zaidi,hiking nk ,,kwa hiyo beach zinaharibiwa au?
 
Airport North Rd (Eastern Bypass) Interchange
download (1).png
download.png
download (27).jpeg
 
Nyie sema huwa mnapenda kuongozwa kidikteta. Mkiongozwa kiupolepole mnamchukia huyo kiongozi. Mnapenda watu kama Nyerere au Magufuli kwa sababu hawakuwa wanapenda upinzani na walikuwa wakali mno. Mnawachukia JK na mama huyu kwa sababu ni wapole na wastaarabu ambao hawapendi fujo na sinema. Nyie huwa mnapenda mtu anayewapiga ngumi na mateke ili mhisi kwamba mna kiongozi shujaa. Magufuli alikuwa amewasoma saikolojia yenu vizuri sana. Alijua asipowapiga mangumi na mateke, mtaanza kulalamika kwamba rais hajui kufanya kazi yake.
Anko hivi unawajua watz vizuri wewe hahahah acha tu..
Mtz bila ukauzu mbona anakushika hata mat**ko...
 
wacha kuita J'burg kwa barabara poor quality!

J'burg several years after being built
19095555_10155138951505395_4532866393408132181_o.jpg



BaiPueACQAAsOos



VS


Kunyaland road before completion!
download-png.2102718



download-27-jpeg.2102719
Huyu jamaa sijui ni kama kuna Mkenya alimfanyia madhambi. Mkenya aliyemkosea huyu jamaa alituingiza mashakani sana. HII chuki dhidi ya Kenya sio ya kawaida.
 
I am logging off from JF for a very long time., it has been fun being here, nimejifunza Kiswahili sana humu, guess have improved tremendously in comparison to when I joined JF, ahsante sana watanzania kwa hilo. My countrymen keep on debating in a positive way, post positives with undeniable facts. I wish you all success, may Tanzania grow to become a force not only in Africa but in the World, may Kenya ascend even higher and create more opportunities for prosperity and success for all and be a role model in Africa. May both countries succeed in alleviating poverty, corruption and bad governance. May EAC become the King of Africa soonest! We are both in the right track I can tell, miundo mbinu inanyooshwa pole pole, it is just a few structural adjustments here and there; socially, politically and economically and then we are good to go. God bless Africa. Goodbye y'all.

Just to add, to those have hurt by my aggression, forgive me, ni debate, nothing serious, much love. [emoji1696] [emoji120]
Yaan Siku unaaga ndio unaongea point...
Safi umeongea ukweli uliopo moyoni..
Upande wangu naona EAC ni block ambayo inainsipire hata block zngne africa, nchi zetu ndio znamapungufu yake ila in general nchi za EAC znaelekea kuzuri matatzo ndio haya ya viongozi wetu tu wanatuangusha sana hii block ipo poa sana ka unaangalia indeep.
 
Juu ja huo mlima wajenge japo hotel 4 zenye restaurant ili watalii na watz wapate pakufikia na kupumzika japo siku mbili ,ubunifu ni muhimu sana ili watalii wakija tz wakute mambo ni mengi ya kutalii siyo mtalii anakuja na kuondoka kamaliza kila kitu ndani ya week 1 tu,ili watalii wakija mara moja watamani kurudi tena na tena
Mmmhh Hotel mlimani ??? Tuache hiv hiv asee ndio poa kwanza inasaidia vijana local sanaaa kiuchumi..
Hata hiyo cable car wasiweke na ka wanaweka inatakiwa iwe ghali sana ili matajiri wavivu ndio watumie hizo car kwa bei kali na majority waendelee na upandaji kawaida
 
Hivi hivi vitimbi ni wapi duniani vinatokea zaidi ya Tanzania ya leo ya kiwendawazimu? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hapa kuna mazingira kweli ya kufundishia na kujifunzia au hii ni clinic? 😂😂😂😂😂

FKboZE0WQAArtxD.jpeg
FKboX44XMAM1mUv.jpeg



🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
kwani huoni hizo structure zenu ni za kijuakali? mabarabara yenyu yamepindapinda!
Angalau wewe ni mwerevu unalinganisha barabara ya Kenya na ya South Africa kwa sababu unajua vizuri kwamba Tanzania haina barabara yoyote inayoweza kulinganishwa na Nairobi expressway.
 
Back
Top Bottom