Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upo mfumo wa elimu miaka yote unaitwa Mpango wa Elimu Kwa Watu Wazima (MEMKWA) na ni mfumo Rasmi kwenye shule za serikali, wanakua na madara yao lakini mtihani ni uleule, sasa nashangaa hiki kituko cha wapi! Yaani ni kuiharibu elimu yetu moja kwa moja, saivi watabeba mimba mno sababu wanajua watarudi tu darasa lilelile

Wanafunzi watasoma, watasikiliza kelele za vichanga darasani?
Ni kukariri tu na kutaka kumfurahisha Rais, watendaji wengi wa serikali ni incompetent kama anavyosemaga Lwiva
 
Ukitaka kuumiza mtanzania just post this road and then wait for bitter responses from them. To put matters straight, this is the fourth 3-level interchange in Nairobi. Dar only has one🤣🤣🤣


1643650795163.png


1643650935199.png


1643651023385.png
 
Ni kukariri tu na kutaka kumfurahisha Rais, watendaji wengi wa serikali ni incompetent kama anavyosemaga Lwiva
Rais mwenyewe ndio anataka hivi ili aonekane mkombozi wa wajawazito kumbe ndio kuiharibu elimu moja kwa moja

Huyo mama mwenye mtoto na mume atakua nae, sasa wakikaa na hao mabinti watahadithiana nini zaidi ya story za mkuyenge wa jana usiku, hao tayari ni watu wazima hawapaswi kuchanganywa na watoto kabisa 🚮🚮🚮🚮
 
Sasa ikiwa ni kweli mwandishi anadanganya mbona afanye hivyo? Nia yake ni gani?
Ndio ujue nini tunamaanisha tukisema hatuamini kila kinachoandikwa (articles), Waandishi wenu hawana research za kutosha kuhusu Tz wao wanaamua kuji position juu ya Tz tu 😂😂, ni Waandishi takataka
 
Influential kitu gani wacha zero brains zipungue, wewe pia ukisepa itapendeza ☺️
ku left group isiwe issue mzazi. ku left tuta left tu skumoja, tuwaache nyie watanganyika mbambane na hali yenu. jf was actualy ment for tzs, to discuss issues affecting their country, and not kenya in particular. so isiwe issue
 
Back
Top Bottom