Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo report ni ya uongo mkuu, Tz inazilisha cement zaidi kuwaliko pitia hizi data za viwanda viwili tu vinazalisha zaidi ya 3 million tonnes 👇 twiga cement 👇View attachment 2101709Simba cement Tanga report ya 2016 👇View attachment 2101710and mind you Tz iko na viwanda vikubwa vya cement vingi mno 👇, and many of these factories are producing more than 1 million tonnes annually. View attachment 2101712
Sasa ikiwa ni kweli mwandishi anadanganya mbona afanye hivyo? Nia yake ni gani?
 

Mozambique in insurgency talks with Tanzania

By Guardian Nigeria
28 January 2022 | 1:05 pm
Mozambique-army-.jpg


PHOTO: Reuters/Juda Ngwenya
The leaders of Mozambique and Tanzania met Friday to discuss the Islamist insurgency that Maputo has called in regional forces to help suppress.

The fighting in northern Mozambique has occasionally spilled across the border with Tanzania, which has deployed troops in the country under the umbrella of the Southern African Development Community (SADC).

“Tanzania has always been on our side, has always offered to help Mozambique within the scope of SAMIM,” Mozambican President Filipe Nyusi said, referring to the SADC mission.

“In our talks, we looked at how our cooperating is evolving, because we are two countries and we have a common problem,” he said in remarks broadcast on national radio.

Nyusi met with Tanzanian President Samia Suluhu Hassan in the northern town of Pemba, the provincial capital of Cabo Delgado, which SADC and Rwandan forces helped Mozambique reclaim from the insurgents in August.

Neither leader revealed much of the substance of their talks, but Nyusi signalled that he wanted continued support from the region.

“The terrorists cross the common border between Mozambique and Tanzania,” he said.

“We are interested in a more dedicated approach to the problem.”

“We have seen that the enemy is improving its techniques. We want to study how our forces can deal with the enemy, with terrorism. We will soon improve our combat forces,” he added.

Hassan said that she came “to reaffirm our commitment to Mozambique.”

“Tanzania is here to work together with Mozambique in our developmental and our peace and security affairs.”

The unrest erupted in 2017, leaving at least 3,500 dead and around 820,000 homeless. The insurgents’ brutal tactics — including beheadings, mass abductions, and the torching of homes — rattled the region.

International energy companies stopped their multi-billion-dollar natural gas projects in Cabo Delgado and evacuated their staff.

Cabo Delgado is home to the largest-ever foreign investment in Africa: a $20-billion development by France’s Total.

But residents in the mostly Muslim province have yet to see many tangible benefits from the investments, which they feel flow to the government of the largely Christian country.

Hassan is trying to jump-start Tanzania’s own natural gas project, estimated at $30 billion.

As in Mozambique, the scheme would involve building a liquefied natural gas (LNG) terminal near vast offshore gas deposits.

 
Ila Samia hatuna Rais pale, *****
Nyie sema huwa mnapenda kuongozwa kidikteta. Mkiongozwa kiupolepole mnamchukia huyo kiongozi. Mnapenda watu kama Nyerere au Magufuli kwa sababu hawakuwa wanapenda upinzani na walikuwa wakali mno. Mnawachukia JK na mama huyu kwa sababu ni wapole na wastaarabu ambao hawapendi fujo na sinema. Nyie huwa mnapenda mtu anayewapiga ngumi na mateke ili mhisi kwamba mna kiongozi shujaa. Magufuli alikuwa amewasoma saikolojia yenu vizuri sana. Alijua asipowapiga mangumi na mateke, mtaanza kulalamika kwamba rais hajui kufanya kazi yake.
 
Nashangaa kuona Wabongo mnaambiwa muanze kulitumia daraja siku ya juma nne kabla ya mama kulizindua rasmi? Si mama angelizindua kwanza ili na nyie vigogo muanze kulitumia daraja? Au mama hapendi mbwembwe za uzinduzi wa miradi? Uzinduzi wa miradi ni njia rahisi ya yeye kupata uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.
Ziko projects nyingi kubwa kuliko hii za kuzindua hapa Tz so mama yuko busy atazindua siku nyingine.
 
Nyie sema huwa mnapenda kuongozwa kidikteta. Mkiongozwa kiupolepole mnamchukia huyo kiongozi. Mnapenda watu kama Nyerere au Magufuli kwa sababu hawakuwa wanapenda upinzani na walikuwa wakali mno. Mnawachukia JK na mama huyu kwa sababu ni wapole na wastaarabu ambao hawapendi fujo na sinema. Nyie huwa mnapenda mtu anayewapiga ngumi na mateke ili mhisi kwamba mna kiongozi shujaa. Magufuli alikuwa amewasoma saikolojia yenu vizuri sana. Alijua asipowapiga mangumi na mateke, mtaanza kulalamika kwamba rais hajui kufanya kazi yake.
Kunatofauti kati ya upole na upumbavuu
 
Sasa ikiwa ni kweli mwandishi anadanganya mbona afanye hivyo? Nia yake ni gani?
Waandishi wengi wa bongo ni wavivu na hawafanyi research hadi.leo..Imagine...tunapicha za SGR yetu Tz ila.hadi leo wanatumia ya Kenya sometimes
 
Yaani kulingana ns hii ripoti East Africa's installed cement capacity ni 15 million tonnes halafu 8 million ya hio capacity iko Kenya halafu Tanzania, Uganda na Rwanda wanagawana hio 7 million iliyobaki? Hahaha. Halafu wana ubavu wa kuitisha mechi na Kenya?
Tz is produced 6.59 million tonnes hyo ni 2020
Data za NBS
Screenshot_20220131-070113_ReadEra.jpg
 
Mnakulia sana mlima wetu. Siku moja tutakuja kulichukua.
Unganeni tu na mabeberu kuudai naamini mtaupata chini ya week, mabeberu walipinga mradi wa cable car mount Kili lakini JPM aliendelea na mipango na hakujali kama alivyofanya kwenye Nyerere Dam,

sasa waliopo wameshikiwa akili na mabeberu hatimae huu mradi upo kapuni, so sishangai kama kuna lolote la kichizi zaidi washindwe kulifanya.


Hii project ingeongeza more 40k tourists to Kili
 

Dangote Plans to Raise Cement Output By 30pc​

4 NOVEMBER 2021
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Anne Robi in Mtwara

DANGOTE Cement Tanzania is planning to increase output by over 30 per cent next year to capitalise on the expansion of Mtwara port.

The Mtwara-base plant said the plan is to up cement production from the current 1.8 million tonnes per year to 2.4 million tonnes banking on using the modernising port to transport its consignment by linking with Dar es Salaam port.

The plant has installed capacity of producing 3.0 million tonnes of cement a year.

The Dangote Tanzania Chief Executive Officer, Mr Abdullahi Baba, made the revelation here saying the increase of production was set to ensure stable supply of the products to Dar es Salaam and other regions in the country.

Mr Baba made the revelation before Mtwara Regional Commissioner, Brigadier General Marco Gaguti who had paid a visit at the plant to see the progress of the cement production.

The RC commended the Dangote management for the plans of increasing production in order to use Mtwara port in transportation of products to various parts in the country.

"I commend Dangote for dedicating resources and efforts in ensuring huge investment in production of cement vital for building our infrastructures and also using Mtwara port in transportation of the products to various regions in our country," he said.

The RC said use of the port in transporting the cement to other regions in the country would help avail price competition in the market.

Brig Gen Gaguti also asked the management Dangote to expand cement market produced in Mtwara to outside the country taking advantage of Mtwara port.

Currently, Dangote is using Dar port on shipping cement to Zanzibar and Comoro.

The plant in Mtwara - about 400km from Dar es Salaam - was commissioned in late 2015 and is the largest cement factory in the country.

With about 500 million tonnes of limestone reserves, enough for 149 years, the plant is capable of producing large amounts of high-quality 32.5 and 42.5 grade cements to meet local market needs at competitive prices, as well as surrounding export markets by sea.

Tanzania's per-capita cement consumption is around 50kilogramme per annum well below the global average and low even for Africa.

 
Mimi hata sioni cha kutamba hapa, utaassemble vipi hiace DSM wakati hazina soko, Hujiulizi kwanini hiace na sio coaster?. Same way to isuzu na ndio maana hamtakaa mnunue magari mengine kwaajili ya BRT, matatu is there to stay kwakuwa ndio mteja mkubwa wa isuzu na isuzu hawatakubali muache kutumia center kwa kusafiria

Hakuna neno lingine ka kuongeza hapo.
 
Back
Top Bottom