Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi akili zako bro, nikama zimepotea njia naona πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., huwa unaziacha wapi sazingine? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ huyu Prime Minister wa kuenda kazi kwa baiskeli utasemaje sasa? πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,Nilikua tu nakuamkua, good morning?..,
View attachment 2102195
umeruka mada sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asante kwa hasira pia
 
Nyie sema huwa mnapenda kuongozwa kidikteta. Mkiongozwa kiupolepole mnamchukia huyo kiongozi. Mnapenda watu kama Nyerere au Magufuli kwa sababu hawakuwa wanapenda upinzani na walikuwa wakali mno. Mnawachukia JK na mama huyu kwa sababu ni wapole na wastaarabu ambao hawapendi fujo na sinema. Nyie huwa mnapenda mtu anayewapiga ngumi na mateke ili mhisi kwamba mna kiongozi shujaa. Magufuli alikuwa amewasoma saikolojia yenu vizuri sana. Alijua asipowapiga mangumi na mateke, mtaanza kulalamika kwamba rais hajui kufanya kazi yake.
Yaani hiyo point yako ipo vice versa na tena imekosa the bigger picture. Magu na Nyerere walikua Viongozi wanojali wanyoge na kwa kufanya hivyo walipingana na mafisadi. Kwakuwa mafisadi wana uwezo ndio wanasambaza propaganda za udictator
 
2B4469FD-8EBA-4AAA-B01B-BA08CEF832A3.jpeg
 
Kili not only bring money to Tanzania but also connects Tanzanians with the outside world in so many engagements

View attachment 2102096View attachment 2102097View attachment 2102098

Juu ja huo mlima wajenge japo hotel 4 zenye restaurant ili watalii na watz wapate pakufikia na kupumzika japo siku mbili ,ubunifu ni muhimu sana ili watalii wakija tz wakute mambo ni mengi ya kutalii siyo mtalii anakuja na kuondoka kamaliza kila kitu ndani ya week 1 tu,ili watalii wakija mara moja watamani kurudi tena na tena
 
I am logging off from JF for a very long time., it has been fun being here, nimejifunza Kiswahili sana humu, guess have improved tremendously in comparison to when I joined JF, ahsante sana watanzania kwa hilo. My countrymen keep on debating in a positive way, post positives with undeniable facts. I wish you all success, may Tanzania grow to become a force not only in Africa but in the World, may Kenya ascend even higher and create more opportunities for prosperity and success for all and be a role model in Africa. May both countries succeed in alleviating poverty, corruption and bad governance. May EAC become the King of Africa soonest! We are both in the right track I can tell, miundo mbinu inanyooshwa pole pole, it is just a few structural adjustments here and there; socially, politically and economically and then we are good to go. God bless Africa. Goodbye y'all.

Just to add, to those have hurt by my aggression, forgive me, ni debate, nothing serious, much love. 🀞 πŸ™
 
Juu ja huo mlima wajenge japo hotel 4 zenye restaurant ili watalii na watz wapate pakufikia na kupumzika japo siku mbili ,ubunifu ni muhimu sana ili watalii wakija tz wakute mambo ni mengi ya kutalii siyo mtalii anakuja na kuondoka kamaliza kila kitu ndani ya week 1 tu,ili watalii wakija mara moja watamani kurudi tena na tena
Katika maeneo yote ya kitalii Tanzania hakuna eneo pesa nyingi zinaenda kwa mtanzania moja kwa moja kama utalii wa Kilimanjaro,

mtalii mmoja atahitajika kuwa na personal

wapishi 2
Porters 6
Guide 1
Rereva 1
Supervisor 1
Kwa siku 7
Kazalisha ajira 11 kwa week
Kwa mwaka ni kiasi gani?

Tofauti kabisa na mbugani ambapo hataengage manpower kubwa kiasi hiki.
 
where is assembly plant ya scania in kenya

kumbe na toyota wana assembly plant kenya

na iveco pia

na landcruiser pia ohhhh my GOD

na marcedez benz pia mama yangu

na faw pia


kwenye maneno 1000 ya mkenya chukueni moja muondoke musisahau hilo
We ni wa kupuuzwa, manake huna jipya kila siku ndio unazidi kudidimiza akili zako makalioni
 
Back
Top Bottom