Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka i beg to differ mzee...elimu inasaidia sana kwenye development..unataka tuongeze Poverty rate kisa tu hujawaruhusu kurudi shule.....ninachotaka wawe na special school zao wasiwe mixed na wengne ambao sio wazazi .
hvi bro tukitumia akili ya kuzaliwa kweli kuna usomaji hapo kweli?? tuzungumze ukweli tu bila ushabiki
 
Hapa mumepigwa, haki ya nani tena walai

Angalia mali hiyo yaani,
IMG_8095.jpg

IMG_8094.jpg

IMG_8093.jpg

IMG_8092.jpg
 
Nakuonyesha kitu hamtawaikuwa nayo hadi dunia iishe.
yani unanionesha nn expressway ya mchina ahahahahaha 😂😂😂😂 expressway hio ambayo mchina atamiliki kwa miaka 30 na pia mutailipia huduma hio mpaka mjukuu wako
 
Back
Top Bottom