mm sio wakupuuzwa, mm lazma munichukie kwasababu ndio mtu pekee naanika chupi zenu hadharani 🤣🤣🤣 hamuwezi kunipendaWe ni wa kupuuzwa, manake huna jipya kila siku ndio unazidi kudidimiza akili zako makalioni
Halafu mama anatangaza kipande kingine cha electrical SGR February hiihii! Mwaka huu lazma at least 3 lots zitaanza kujengwa!Tony254 sijui yuko salama😂😂😂
usikasirike sasa 😂😂😂😂
usikasirike sasa 😂😂😂😂
Hii case vipi hii? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anatafuna mishahara ya Wakunya kumbe roho na nafsi vipo Mogadishu home 😂😂😂😂
View attachment 2101962
View attachment 2101963
View attachment 2101964
Sasa itokee wapigane hiyo AugustSigns of a dying economy
View attachment 2102032Kenya’s debt at Sh8 trillion as China rules
China is our biggest lender, accounting for 67 per cent of external debtwww.the-star.co.ke
Sasa itokee hiyo August wapigane watajichukia! huku njaa huku Machafuko huku Al Shabaab!Signs of a dying economy
View attachment 2102032Kenya’s debt at Sh8 trillion as China rules
China is our biggest lender, accounting for 67 per cent of external debtwww.the-star.co.ke
Yupo mama yako mkuu ndio RaisIla Samia hatuna Rais pale, *****
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
At least one of you has a brain. To foreigners who want to see animals it's heaven but to the local burukenges it's a hellhole
Sio tunaoenda,ni wale washenzi wa Mwendazake wamewekwa pembeni wanalia Lia tuu,achana nao hao mbuzi..Nyie sema huwa mnapenda kuongozwa kidikteta. Mkiongozwa kiupolepole mnamchukia huyo kiongozi. Mnapenda watu kama Nyerere au Magufuli kwa sababu hawakuwa wanapenda upinzani na walikuwa wakali mno. Mnawachukia JK na mama huyu kwa sababu ni wapole na wastaarabu ambao hawapendi fujo na sinema. Nyie huwa mnapenda mtu anayewapiga ngumi na mateke ili mhisi kwamba mna kiongozi shujaa. Magufuli alikuwa amewasoma saikolojia yenu vizuri sana. Alijua asipowapiga mangumi na mateke, mtaanza kulalamika kwamba rais hajui kufanya kazi yake.
Mkuu cjafika marekan lakin china noma sana hasa kwenye upande wa barabara marekan akasomeChengdu wako vizuri sana...yaweza Kua ndio Chicago ya China...ila kuna vitu unajua utapata states usivipate china...state itabaki Kua state mkuu,ukipata fursa ya kwenda state ndio utaona tofauti...Chedgu nmesalute wako moto nao sio mchezo
hellhole kuliko huko Kunyaland kwenye njaa?
usikasirike sasa 😂😂😂😂
Ndio maana ni wachache kwa sababu Dunia haipendi watu wapumbavu kama Mwendazake bali watu wanaotumia akili..Viongozi wanaolinda rasilimali zetu unawaitaje madikteta? Sisi tunataka asiyecheka katika masuala ya rushwa na anayelinda rasilimali zetu. Unafikiri ni kwa nini Afrika tunaongoza kwa umasikini wakati tunaongoza kwa rasilimali? Ni kwa sababu tumekosa viongozi wazalendo kama Magufuli na Nyerere. Fikiria Afrika nzima tungelikua na maraisi kama Magufuli angalau kwa miaka ishirini tuu hivi sasa tungekua wapi? Umasikini tulionao Afrika ni sababu ya uroho wa viongozi ndugu yangu na kukosa akili.
Mwacha mila ni mtumwaView attachment 2102392
Hivi si ndo huyu mwanamke aliyekatikati?
Mwacha mila ni mtumwa
Uharibifu wa nature,hakuna mtu atafanya huu ujinga wako.Juu ja huo mlima wajenge japo hotel 4 zenye restaurant ili watalii na watz wapate pakufikia na kupumzika japo siku mbili ,ubunifu ni muhimu sana ili watalii wakija tz wakute mambo ni mengi ya kutalii siyo mtalii anakuja na kuondoka kamaliza kila kitu ndani ya week 1 tu,ili watalii wakija mara moja watamani kurudi tena na tena
Mama wa kisomali huyo lakini ni mbunge kunyaland, katundika picture ya Rais wake wa moyoni na bendera yake officeni, wakunya wakamnyang'anya ulinzi, hapo naona kaorder snipers from home, KDF mavi chupini 😂😂😂😂😂😂View attachment 2102392
Hivi si ndo huyu mwanamke aliyekatikati?