Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,900
- 103,770
Wamepokea maagizo ya kutokutaja jina la Nyerere wala Magufuli ,wasaliti wa hii nchi ni team msoga kwao uzalendo ni maviii
ni yule yule aliekua kenya 😂😂
Wote ni uhalibifu,saizi kuna huduma ya balloons watatumia hio option kama Wana haraka,otherwise zile tents zinatosha .Huko juu kunatakiwa kuwe na huduma hata kama kwa kutoboa mlima iwe ndani kwa ndani ili pasionekane maana kuna swala la afya pia ,kwahiyo siyo lazima hizo hotel ziwe zinaonekana
tayari tena 👇👇👇👇
Wakati hata $2M hawapati. Hawa ni kawaida yao kuwa ving'ang'anizi huku wakila hasara si unaona KQUtamsikia Mkunya KCB control Tanzanian Economy![]()





jamani mwishoni ntapigwa sasa naombeni ulinzi wa dharura 🤣🤣🤣🤣🤣Siku zote zuka ni zuka tu hta umjuze vipi bado atajikuta yupo right
Aliyekwambia io tren ya umeme ni NaniGood afternoon ladies and gentlemen
View attachment 2102605
View attachment 2102606
View attachment 2102607
View attachment 2102608
View attachment 2102614

SGR lini ilifika bandarini? Huoni wakiiweka juu ya meter gauge railway? How desperate 🤣🤣🤣🤣Good afternoon ladies and gentlemen
View attachment 2102605
View attachment 2102606
View attachment 2102607
View attachment 2102608
View attachment 2102614
😂😂😂😂😂SGR lini ilifika bandarini? Huoni wakiiweka juu ya meter gauge railway? How desperate 🤣🤣🤣🤣
Hahaaa!!noma sanaGood afternoon ladies and gentlemen
View attachment 2102605
View attachment 2102606
View attachment 2102607
View attachment 2102608
View attachment 2102614
😀 Yaani hata hujiulizi kwa nini imekuja moja?
.Tanzani mumeanza lini kununua vyuma sura mbaya, si tunajuae nyie mnapenda cha urembo
Hii ya kwenu ya kutishia watoto wakalale huioni? 😂😂😂😂Tanzani mumeanza lini kununua vyuma sura mbaya, si tunajuae nyie mnapenda cha urembo