Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kama ni Chinese company hatuwezi assemble? Mbona huwa unareason kama mtoto? We assemble Scania buses and lories yet Scania is a Swedish company. If Tanzania have no capacity to assemble vehicles usitulamu tafadhali.

No hate Bwana mapesa uache dharau, Kama hujui sio kwamba na sisi hatufanyi vitu mnavyofanya, mi nilideal na dharau zako kuhusu ku import wakati unazungumzia Kitu amabacho na nyinyi mna Import.

IMG_4286.jpg

IMG_4287.jpg

IMG_4285.jpg
 
Sasa unareason kama class one pupil .......Right now we are opening up northern Kenya through lapsett which will triple our GDP in the next 10 years.....kelele za chura haitubabaishi......

ours will be stagnant or halved as the sgr, Nyerere dam, etc will be closed. nadhani sasa utanenepa. 🤣 😂 😛
 
Wakati mjambiani mpumbavuu anataka kwenda njombe ili kutafuta uchifu na kupewa usinga pamoja na kuvishwa ngozi ya nguruwe
JPM ANGETUPELEKA MBALI SANA SIYO HII TAKATAKA YA KICHAWI
Mimi ninamashaka na uwezo wako wa kufikiri mbona kwako lugha kistaarabu na kiungwana haipo kabisa.Huwezi kutoa hoja bila kuroka ovyo,watu wa Njombe hatuko hivyo bora unabdili na identity yako kabisa
 
Acha maneno mingi na ueke picha, ama unaogopa?🤣🤣

Jamaa kanaogopa🤣🤣🤣 nimekuambia tuanze battle lakini wewe kazi yako ni maneno tu.
😂😂😂 Jamaa unanifurahishaga wewe, mfano hii ni R chuga city center 👇.
njoomoro_1639694461783426.jpg
3039410_IMG_2338.jpg
aerial-view-city-arusha-tanzania-143743040.jpg
3038285_E8vvsMGWQAQVjDx.jpeg
2369241_page1.jpg
Screenshot_20211123-040309_2.jpg
Screenshot_20211031-194727_1.jpg
kisumu village center and it's best neighborhoods👇
3039246_Screenshot_20211219-143428.png
2459937_IMG_20200718_141437.jpg
33080079648_ee3d6eee9d_h.jpg
Screenshot_20220101-061355_YouTube.jpg
hivi kweli classic city kama chuga ufananishe na huu uchafu.? 😂😂😂 Kipoison.? Unaakili timamu wewe.?
 
Hakika Wasomali ni wachapa kazi na watafutaji mno, uchumi wa kenya by 65% umekamatwa na hawa watu

Nimeangalia hii video nakakubali, wakenya mnapaswa kuwa heshimu Wasomali haswa sio tu sababu wengi wenu ni housemaids wao bali pia ni walipa kodi wa kubwa


Hii ng'ombe haijui Kenya has a Somali tribe who are actual Kenyan citizens 😂😂😂😂
Not to mention that idiotic 65% figure is just nonsensical.
 
Jamaa unanifurahishaga wewe, mfano hii ni R chuga city center .View attachment 2101164View attachment 2101168View attachment 2101172View attachment 2101175View attachment 2101178View attachment 2101180View attachment 2101182kisumu village center and it's best neighborhoodsView attachment 2101184View attachment 2101186View attachment 2101187View attachment 2101188hivi kweli classic city kama chuga ufananishe na huu uchafu.? Kipoison.? Unaakili timamu wewe.?
You are promoting kisumu city without knowing.......from the photos kisumu is more developed and better looking. Thanks
 
Back
Top Bottom