Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Liganga na mchuchuma ulikua na ufisadi wa karne, kama sio JPM kuurudisha kwenye drawing board ulikua ni unyonyaji mwanzo mwisho, mradi ambao mtausikia kwenye Bomba baada ya muasisi wake kuondoka ni huu wa hydroelectric dams ambazo kwa pamoja kama zingejengwa zingeweza kuingiza megawatts 400 kwenye national grid

Waliopo sasa hawataki miradi ya namna hii sababu haina upenyo wa upigaji


Mradi ulikua tayari kwenye preliminary stages, Magufuli angekua leo na ujenzi ungekua tayari umeanza

 
angalieni hata followers kuna kitu mutagundua 😂😂😂😂😂 yani mkenya amfundishe mtanzania juu ya scania hehe
76FDF082-0F50-4E17-8998-54699D443277.jpeg
E15212F4-5600-4357-868B-B517C49A9DD2.png
 
Sasa unapingana hadi na Scania wenyewe? Wewe kweli mwehu. Huoni hata hiyo ni Twitter handle ya Scania? Unafaidika nini kwa kuwa mbishi kwa kila jambo?
nimechekaa sana leo nioneshe assembly plant ya scania nje ya south africa kwa africa hii nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣 munataka sifa za kipuuzi kwa kitu hamuna
 
Sasa unapingana hadi na Scania wenyewe? Wewe kweli mwehu. Huoni hata hiyo ni Twitter handle ya Scania? Unafaidika nini kwa kuwa mbishi kwa kila jambo?
na ukipata nje ya south africa unitag🤣🤣
 
hii hapa ni official website ya scania east aftica nioneshe sehemu wana asembly plant in kenya 😂😂😂 au munatuona sisi wakuja sana humu ndani

Scania lories are being assembled AVA Mombasa, lorries zinakuja Tz pia zinakuwa assembled uko.
 
Back
Top Bottom