chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Ninyi ndio hutumia urban areas tu sababu waziri kwenu ni mtu wa office na ufisadi, Tanzania waziri yupo field daily, Tanzania ni kubwa sana kwa week waziri anaweza kufanya safari zenye jumla ya kilometers 4000 na hapo katembelea mikoa michache tu, ataenda na rav 4?Ju sioni haja ya government officials kupewa magari kubwa na most hutumia in urban areas tu.




