Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na akikuonesha nitag bro 😂😂😂
Let me tag you juu najua hatakutag🤣🤣

1643526949797.png
 
mm nakwambia assembly plant ya scania africa iko south africa hakuna nchi nyingine na haitokei kwa sas 😂😂😂😂😂
Nataka tukubaliane one thing. Are Scania trucks and buses being assembled in Kenya or not?
 
hii ndio picha hua munakuja kutudanganya nayo hapa 🤣🤣🤣🤣🤣 yani mwenye scania hajuia assembly plant in kenya anaijua south africa ila wakenya 🙌🙌🙌🙌 yani bado muna uongo ule ule wa maiaka 20 mukidhani dunia haijui
Yani unapingana hadi na picha? Kweli umelaaniwa😂😂
 
Mbona haya mabasi yenyewe ya BYD mmeimport kutoka China. Kuna nini chenu hapo zaidi za kuandika hayo maandishi ya Hiyo Start up

BYD is the Chinese company and is the world largest Electric Vehicle Manufacturer. Angalia duniani kote wanaotumia electric Buses nyingi wameuziwa na BYD

View attachment 2100419
View attachment 2100420


Nyie Bus lenu hili hapa chini na mnatakiwa mfanye mambo kwenye upande wa Design
Hili ndio labda mjipongeze mmefabricate wenyewe.


View attachment 2100424
Wanapenda vitu vzr uwezo hawana
 
Anataka kusema hayo mabus wametengeneza wenyewe au? Hii ni sawa na zile hela alizodownlod.
Anataka kusema BYD ni yao, Au kuna ki kampuni kinanunua hayo mabus kuyatumia Kenya. Na ana Audacity kukandia nchi nyingine eti import wakati wao nao wanabeba kila kitu China. Backward country inajengewa kila kitu na Nchi nyingine . Kweli ule usemi umetimia. NYANI HAONI KUNDULE.
Ndivyo wakunya walivyo, anaongopa alafu anaskilizia mkikaa kmy anajiona kashinda zen kesho anarudia tena vile vile, kuna mda huwa tunakaa kmy tu Mana ni kichefuchefu hata kujibu upuuzi kama ule.
 
Back
Top Bottom