chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,688
- 45,950
Ndio hatuna manufacturers lakini ndio wenye gari nyingi ukanda huu 🤣🤣🤣🤣Tanzania hakuna vehicle manufacturers. 😂😂😂 Na unataka kunifunza kuhusu topic ambacho hukifahamu wala hukielewi.
Ndio hatuna manufacturers lakini ndio wenye gari nyingi ukanda huu 🤣🤣🤣🤣Tanzania hakuna vehicle manufacturers. 😂😂😂 Na unataka kunifunza kuhusu topic ambacho hukifahamu wala hukielewi.
Anzisheni yenu basi muunganishe gari 50 kwa mwezi tuoneSisi hatuna white elephants 😂😂😂😂
Sasa kwa mwezi gari 8 ni lini huyo mjerumani atarudisha hata pesa ya kulipa umeme? 🤣🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......Poor tanganyika.....accept that other countries are better than you......you won't die. And try to travel outside tanganyika to get some exposureThings that Tanzanians hate to hear[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2100825
View attachment 2100830
View attachment 2100833
Wakenya wanasema daraja fupi sana ilo
leta assembly line yake tuone!
Tanzania hakuna vehicle manufacturers. 😂😂😂 Na unataka kunifunza kuhusu topic ambacho hukifahamu wala hukielewi.
Yule mgagagigikoko bado anatafuta uchifu na kuvishwa ngozi na kupewa usinga[emoji1787][emoji1787]Yote haya ni kupromote Majenereta na kuwapa shavu madalali wa mafuta
Mbona tunazoDo you even have a vehicle assembly plant in Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Basic infrastructure[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2100762
Magufuli alikuwa anaanzisha vitu vipya kila kukicha mfano bus terminal hospital ,airport kufufua mashirika ya ndege na meli kufufua reli zote nk sasa tuonyeshe hata vision mpya ya mama zaidi ya kufufua ukabila na uchifu mafiii,kufufua ujambazi ,kufufua rushwa ,kufufua mgao wa umeme, kufufua ukilitimba maofisini ,kufufua kutembeza bakuri kwa mabeberu ,kufufua ajali za barabarani ,kuleta janjo feki kwa ajili ya wapumbavu wachomwe ,kuleta tozo za kifisadi,Acha upuuzi unaanzaje kitu kipya wakati hujamaliza kilichoanza.Serikali ni moja tu mbona tumlisifu JPM kwa kumalizia Terminal 3,Kigamboni bridge,BRT,Kuendeleza TAZAM highway,Kuundeleza taasisi ya Moyo ya kikwete,Japo aliua mradi wetu wa Mchuchuma na Liganga.
Wakati mjambiani mpumbavuu anataka kwenda njombe ili kutafuta uchifu na kupewa usinga pamoja na kuvishwa ngozi ya nguruweMradi ulikua tayari kwenye preliminary stages, Magufuli angekua leo na ujenzi ungekua tayari umeanza
Hilo eneo ni bustani au vipi mbona lipo ovyo siwapapendezeshe kwa mpangilio mzuriMzizima towers...majirani msinuneView attachment 2100902
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app