how did u know is empty?? ulikuwepo ndani ππππ hvi ww tabia ya ujuaji utaacha lini au hzo ndege zimeleta vitambaa na mashuka na sio watuSee how the airport is empty. Now I know why this airport can`t handle more than 2.5 million passengers in a yearπ€£π€£π€£
Nitajie spear part 1 tu ya gari inayotengenezwa Kenya au hata spana tu.








nacheka sana yani munanifurahisha sanaππNajua huwa unachukia kuona all the Nairob districts captured in pictureπ€£π€£π€£
nani alikwambia hio CBd πππ au hujui hio residential area inaitwa capripoint ππππ ushaanza kuchanganyikiwasi basi wangoja nn, si ule hio cbd so we compare with kisumu cbd? View attachment 2100660
Kuko poaYou can`t get a landing view like this in Tanzania
kwanza tafuta suburb na modern street roads kama hzi mombasa + kisumu ukipata nitag nifunge acc sasa hvi π€£π€£π€£π€£π€£kwani kuna nini cha ajabu mwanza.? cbd yote ya mwanza hii hapa, aafu? Oongea ss View attachment 2100649
Magufulisource by who???π€£π€£π€£π€£
shukran kwa hasira kali π€£π€£π€£Magufuli
Arusha has nothing over Kisumu. Kama unapinga sema tuanze battle.yani mtu anakuja kufananisha arusha na kisumu jamani kisumu hii ya odinga ambayo taxi zao ni baiskeli hvi tuko serious humu ndani ππππππView attachment 2100683View attachment 2100684View attachment 2100685View attachment 2100687View attachment 2100688
uheheheh kisumu gani ile nisiyoijua mm au umesahau mzee π€£π€£π€£π€£Arusha has nothing over Kisumu. Kama unapinga sema tuanze battle.
Sawa director wa Scaniaπ€£π€£π€£hakuna assembly plant ya scania in kenya mzee hzo zinatoka south africa na nilishakwambia wewe ππππππ
Acha maneno mingi na ueke picha, ama unaogopa?π€£π€£uheheheh kisumu gani ile nisiyoijua mm au umesahau mzee π€£π€£π€£π€£
Liganga na mchuchuma ulikua na ufisadi wa karne, kama sio JPM kuurudisha kwenye drawing board ulikua ni unyonyaji mwanzo mwisho, mradi ambao mtausikia kwenye Bomba baada ya muasisi wake kuondoka ni huu wa hydroelectric dams ambazo kwa pamoja kama zingejengwa zingeweza kuingiza megawatts 400 kwenye national gridAcha upuuzi unaanzaje kitu kipya wakati hujamaliza kilichoanza.Serikali ni moja tu mbona tumlisifu JPM kwa kumalizia Terminal 3,Kigamboni bridge,BRT,Kuendeleza TAZAM highway,Kuundeleza taasisi ya Moyo ya kikwete,Japo aliua mradi wetu wa Mchuchuma na Liganga.
naona umenisahau kidogo 10 bob taxi baiskeli unaenda kokote mjini πππAcha maneno mingi na ueke picha, ama unaogopa?π€£π€£