Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Way much better in what 😅😅 mm sioni mlichotuzidi zaidi ya njaa tuu huko, angalia nchi kama Morocco imetuzidi na 40B $ na tofauti yetu na wao inaonekana na ni kubwa sana in terms of infrastructure, health services na sekta zingine ila sasa nyinyi mnasema mko vizuri kushinda sisi wakati nyinyi Ndio mnaongoza kwa njaa, kwenye miundombinu tumewazidi kwenye ubora wa huduma za kiafya uko Ndio tusiguse kabisa na sekta zingine kibao tumewazidi sasa nyinyi hamuoni aibu na gdp yenu ya makaratasi iyo😂
Matendo yanaongea kuliko kupayuka na Domo lako chafu 👇Magufuli alikuwa anaanzisha vitu vipya kila kukicha mfano bus terminal hospital ,airport kufufua mashirika ya ndege na meli kufufua reli zote nk sasa tuonyeshe hata vision mpya ya mama zaidi ya kufufua ukabila na uchifu mafiii,kufufua ujambavi ,kufufua rushwa ,kufufua mgao wa umeme, kufufua ukilitimba maofisini ,kufufua kutembeza bakuri kwa mabeberu ,kufufua ajali za barabarani ,kuleta janjo feki kwa ajili ya wapumbavu wachomwe ,kuleta tozo za kifisadi,
Sasa unareason kama class one pupil .......Right now we are opening up northern Kenya through lapsett which will triple our GDP in the next 10 years.....kelele za chura haitubabaishi......Hiyo GDP kubwa ni mpango mahsusi wa akina uhuru kuwahadaa wakenya kuwa wameendelea kiuchumi. Kumbe hizo ni tarakimu ambazo hazina ukweli wowote.
Kila siku nawaambia wakenya, kwamba hiyo tarakimu ya GDP haina uhusiano wowote na maisha yenu mnayoishi. Kuna nchi ambazo zina GDP ndogo sana, lkn ukiangalia maendeleo yake, yanaonekana wazi kabisa. Yako bayana kwa kila mmoja hayatafutwi wala kupigiwa debe.
Mfano wa nchi hizo ni Botswana, Namibia na Angola. Hizi nchi kama umewahi kufika utajionea jinsi wananchi walivyowekewa mahitaji yao muhimu. Citizens welfare ni ya hali ya juu, licha ya kuwa GDP yao ni ndogo. Lkn wakenya ukiwaambia cosmetic GDP yenu haiwasaidii watakurushia kila aina ya matusi.
😀😀😀
Hujasikia Dr Kamaku who was my lecturer in campus who has been a centre referee for 2 games so far.......
hapa ndio huwa na ule uvundo......salanda
Toa Angola kilichopo Luanda kisikudanganye! Maisha ni ghali kinoma!Hiyo GDP kubwa ni mpango mahsusi wa akina uhuru kuwahadaa wakenya kuwa wameendelea kiuchumi. Kumbe hizo ni tarakimu ambazo hazina ukweli wowote.
Kila siku nawaambia wakenya, kwamba hiyo tarakimu ya GDP haina uhusiano wowote na maisha yenu mnayoishi. Kuna nchi ambazo zina GDP ndogo sana, lkn ukiangalia maendeleo yake, yanaonekana wazi kabisa. Yako bayana kwa kila mmoja hayatafutwi wala kupigiwa debe.
Mfano wa nchi hizo ni Botswana, Namibia na Angola. Hizi nchi kama umewahi kufika utajionea jinsi wananchi walivyowekewa mahitaji yao muhimu. Citizens welfare ni ya hali ya juu, licha ya kuwa GDP yao ni ndogo. Lkn wakenya ukiwaambia cosmetic GDP yenu haiwasaidii watakurushia kila aina ya matusi.
😀😀😀
Kunyaland itachukua miaka 20 kuwa na daraja kama la Tanzanite!hapa ndio huwa na ule uvundo......salanda
So long as we are way more developed than you a mere bridge is the least of our concerns.....Mombasa is building three at agoKunyaland itachukua miaka 20 kuwa na daraja kama la Tanzanite!
That's a golf course, the only one in the whole of Dar es Salaam!Hilo eneo ni bustani au vipi mbona lipo ovyo siwapapendezeshe kwa mpangilio mzuri
Tatizo lako ni 1tu;hauna nidhamu,adabuWakati mjambiani mpumbavuu anataka kwenda njombe ili kutafuta uchifu na kupewa usinga pamoja na kuvishwa ngozi ya nguruwe
JPM ANGETUPELEKA MBALI SANA SIYO HII TAKATAKA YA KICHAWI
Thats not even the most used..but the most famous...cheki Lugalo Golf CourseThat's a golf course, the only one in the whole of Dar es Salaam!
Go hug an electric transformer if you angry 😡
Msikie huyu we wapafaham lugalo?That's a golf course, the only one in the whole of Dar es Salaam!
Hasira za nnGo hug an electric transformer if you angry![]()
Naskia ya Maseno School ni noma tiambo