The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Sekta ya Utalii inali cover kwa Kasi sana,Kazi nzuri ya SSH 👇
A superhighway is a multilane highway designed for high-speed traffic.
Usiaibike msee 😂😂😂I didn’t ask for the meaning.
Wakimaliza hii flyover na viaduct pale gold star wange-commence phase 3 tuwe na uhakika.Pakikamilika hapa patanoga sana,
Bullet train paleee
Flyover ilee
Chini hapo blue busses 🤩🤩🤩
View attachment 2095603
Huku ndiko wanakosemaga wanayo best view yake? 🤣🤣🤣
Itakuwsa la kushoto !akili yako sijui inayokea kwenye kalio gani la kushoto au kulia 😂😂😂😂😂
hawataamini 😂😂😂
Usiaibike msee![]()
ni mizinguo sana chiefkwamba waliopo ndan sio expert?
View attachment 2095632
juzijuzi wizara hii walisainisha na kampuni ya kihindi deal la $30m na Tanesco
mambo ya escrow , dowans yanaanzaga hivhiv, wizara hiihii
kampuni ya nje inakuja kukushauri wew kweny resources zako wew mwenyewe?.. wakikushauri wew chukua 10% wengine wachukue 90% kwa sababu hii na hii.. utakataa? wakat wew ndo umewatafuta!
Kuna kituo cha BRT kirefu pale kama Train![]()
Yeah.. but at least they communicate fluent English unlike our brothers in TZ who will shock you to death if they open their mouths to speak English. Ugandans I know their accent sucks but their English is quite impressive.Ugandan English is heavily loaded with their local accent though
Huoni siku hizi wanapost hadi viapartments? And 90% of the time inakuwa zile za Magomeni 😂 😂Nashangaa sasa kuona ya kwamba wanauza units, kumbe kule kupinga kote ilikua wao hawana ndio manake walikua wakikejeli..mara wanaita units mabweni mwisho nao siku hzi wameingia tele tena kw kasi ya juu mpka wanapost kw kujishebedua nzo mitandaoni
Nipo kaka Siunajua Tanzania IlipatwaMkuu ulipotea kitambo, what's up jo.
Umesahau wenye degree wasemao cherry peaking?Wewe pumbavu waganda wanaongea kingereza safi kuliko nyie wasenge a.k.a wazee wa configareshon, educashon![]()