Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In Tanzania most village towns that u call cities hapa Kenya ni towns tu na centers za biashara.., mko na low standards kilaza., elewa hivyo, una swali? divorce emotions from your arguments too 😂 😂 😂 😂
Unanifurahisha sana 😂😂😂, kwenu uko mji ukiwa na interchange qualifies City status 😂😂 let's take Kisumu for example kuna nini chaajabu Kisumu kale ka shipping center hadi muite City 😂😂😂 uku bongo ukiona mji unaitwa City means uko na population kubwa, uzalishaji mkubwa na kiwango flani cha utajiri, kwenu uko mji kuitwa City ni interchange na vi appointment 😂😂😂
 
wewe umeona nini? 😂 😂 😂 😂
Hiyo ni SGR.? 😂😂yani bila aibu unaleta tako lako unalinganisha MGR yenu ambayo ni less than 30km long na SGR yetu which is 1590km.? the longest SGR in Africa..? kisa hizo behewa used 30 years ago in Spain.? 😂😂 Then *** you
 
Huoni siku hizi wanapost hadi viapartments? And 90% of the time inakuwa zile za Magomeni
Leo hata mimi nashangaa kuona units for sale wakati kila siku tunaambiwa kila mtu Dar anamiliki kiwanja . Hizi zote ni kwa sababu ya aibu ya kuishi uswazini!
Sijui vile viwanja na majumba yao yameenda wapi tena mpka wauziwe units tena kw bei "nafuu" km zinavyopigia debe kwenye advert
 
Tanzanians like to ridicule Kenya for taking big loans ...but what they don't understand is this:
  1. Kenyan GDP is 104 billion dollars. our population around 53 million.
  2. Tanzanian GDP IS 69 Billion dollars. and a population of around 62 million.
  3. If Tanzanians survive with 69 billion with 62 million people and an area way bigger than Kenya. That means that Kenya can pay its debt within two or three years and accomplish mega projects and still remain with more money than Tanzania.
Right now Kenya is thought to have a debt of 70 billion dollars. With a GDP of 104 billion

Suppose we divide 70 billion dollars by two or three... we get 35 billion for two years (plus one minus one) and we clear the loan in just two years.
If we remove 35 billion for loan repayment, we will remain with (104 billion minus 35 billion) is equals to 69 billion dollars.
this 69 Billion dollars is what Tanzanians use with that larger country than Kenya and a huge population than Kenya.
Meaning that even after paying our loan we will still remain with a balance of 69 vbillion which is what 62 miilion of people use in TZ for everything.
Soo Beachi vidimbwi you gerrit ???...If you dont gerrit forgerrabaoutit.
Majamaa mbona hii GDP tunaifanya km hela zipo katika account benki
 
Kazi nzuri kwa Maendeleo ya EA.Ila sasa Wakenya mnatia aibu Sana yaani hadi kabarabara kafupi hako mpaka mtembeze bakuli la msaada? 😁😁.

Sasa GDP kubwa huwa inatumika wapi? 👇

Screenshot_20220126-093647.png


Screenshot_20220126-093754.png


Screenshot_20220126-093820.png
 
Back
Top Bottom