Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

......tanganyika is just a circus
Nashangaa sasa kuona ya kwamba wanauza units, kumbe kule kupinga kote ilikua wao hawana ndio manake walikua wakikejeli..mara wanaita units mabweni mwisho nao siku hzi wameingia tele tena kw kasi ya juu mpka wanapost kw kujishebedua nzo mitandaoni
 
dodoma city 🤣🤣🤣🤣

dod 1.jpg


dod.jpg
 
Umekasirikaee, moshi nilipokua shule likizo karibia zote hko mzee..we hunambii kitu kabisa..

Bibi alipokufa(mzaa mama) ndio safari zikakatika ikawa ni tanga mombasa
We utawezekana na nani kwa uongo.? 😂😂😂, Leta picha moja ukiwa Moshi
 
What I see down there mostly ni vigorofa vya udongo venye havifanyiwa finishing ndio ulinganishe na Dom 😂😂😂
yesu wa nasareti
Twende battle hapa leo tuone kama utatoka fala wewe
 
EACOP itasawazisha haya yote halafu mjinga atajulikana! So far Nina uhakika Uganda inakuja kutawala soko la mafuta East and central Africa! labda kama kutakuwa na ugunduzi wa mafuta zaidi ya Uganda!
Hehehehee ukiwa haujagusumbuliwa na biasness huwa unaongea point sn, this Geza Ulole whom I know.
 
Back
Top Bottom