ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
akili yako sijui inayokea kwenye kalio gani la kushoto au kulia 😂😂😂😂😂
akili yako sijui inayokea kwenye kalio gani la kushoto au kulia 😂😂😂😂😂
Mwiba umedunga target kabisa, pole kwa maumivu anyway🤣🤣🤣🤣akili yako sijui inayokea kwenye kalio gani la kushoto au kulia 😂😂😂😂😂
Hamtakaa mfike levels za Tanzania kwenye hiyo sector hata mtembee na nyweleThose are only two examples 🤦🏽♂️. There are multiple irrigation projects ongoing in Turkana
dodoma ufananishe na ushuzi 🤣🤣🤣
Mkuu kwa bus stop bado maana brt phase 2 na 3 zinakutana hapo so kwa daladala kinachofuata ni natural death!!!zitaondoka!Tufikirie kitu gani cha public kinachoweza kuwekwa pale at the same time serikali iweze kukusanya kodi na watu kufaidika!Walioishi kwenye majiji mengine watusaidie kwa uzoefu wao.Kwa masoko yako karibu karibu sana!Machinga,kariakoo na hilo la jangwani tena mbele kuna kisutu!!!.What if wabongo tukiachana na nguo za mitumba!!!Karume itakuwa vp?!☺️Daladala za kutokea Buza, gongo la Mboto, kigamboni n.k hazina mahali pa kuegesha zimekuwa zikibanana pale machinga complex wkt sehemu kubwa ipo pale Karume. Wajenge bus stand pale.
hawataamini 😂😂😂
Nairobi only, kwa Tanzania Dodoma inaichapa Nairobi kwa number of cranes
Watakua wanakuja bongo kutaliiHivi viwango huwezikuta Kunyaland! Mkunya yeyote abishe humu!
Ebu tuonyeshe picha za hizo cranes za odma tuone🤣🤣🤣Nairobi only, kwa Tanzania Dodoma inaichapa Nairobi kwa number of cranes
Randomly tu na hapo sio Magufuli City yenye ghorofa zaidi ya 30 zinazojengwa kwa pamojaEbu tuonyeshe picha za hizo cranes za odma tuone🤣🤣🤣
Note, this is not CBDRandomly tu na hapo sio Magufuli City yenye ghorofa zaidi ya 30 zinazojengwa kwa pamoja
View attachment 2095562
Pale panafaa papigwe intechange kwanza pana msongamano kweli kama soko wajenge nyuma ya sheli ya total au panauwazi wakutosha tuuPale Karume pasijengwe soko bali ijengwe bus stop, plan gani hizi? Unajengaje soko karume wkt kuna traffic lights? Lkn pia pale Karume c kuna Machinga complex? Mbn wanataka kutengeneza msongamano usiokuwa wa lazima?
Crane ni moja tu?🤣🤣🤣Randomly tu na hapo sio Magufuli City yenye ghorofa zaidi ya 30 zinazojengwa kwa pamoja
View attachment 2095562
Sites zinazojengwa hapo Njedengwa tu ni zaidi ya 30 na ni majengo marefu, hapo bado Magufuli CityCrane ni moja tu?🤣🤣🤣