Tangu lini nyumba ya gorofa tano ikawa majengo marefu?🤣🤣🤣 Alafu buildings under construction nimeona tu tanoSites zinazojengwa hapo Njedengwa tu ni zaidi ya 30 na ni majengo marefu, hapo bado Magufuli City
Ghorofa 30 ndio inawashtua lol.....Kisumu approves 50 storied buildings in one sitting and it's not a big deal.Its individuals building and not government doing everything like tzRandomly tu na hapo sio Magufuli City yenye ghorofa zaidi ya 30 zinazojengwa kwa pamoja
View attachment 2095562
Once upon a time some fools wanted to compare Kilimani an sijui Ilala
This is Kilimani
View attachment 2095573
View attachment 2095584



24/7 ni expressway, we are totally tired of that.
Kuna ghorofa zaidi ya hamsini zinajengwa hapo dom za wizara na mashirika ya serikali na bado sekta binafsi kama mabenki na mashirika mengine binafsi bila kusahau mahoteliGhorofa 30 ndio inawashtua lol.....Kisumu approves 50 storied buildings in one sitting and it's not a big deal.Its individuals building and not government doing everything like tz
Asante kwa render.when this hospital is done, nairobi will host the three largest hospitals in east and central africa
View attachment 2095567View attachment 2095570
Umepotea kaka
Kuna mbwa ziliwahi ku claim haya majengo yapo Nairobi






you see.....Kenya hatungojei hata sekta sijui nini.....90 % tunafanya kama families or friends or through saccos.......That's why if you visit Kenyan towns you will notice constructions everywhere hata kwa villagesKuna ghorofa zaidi ya hamsini zinajengwa hapo dom za wizara na mashirika ya serikali na bado sekta binafsi kama mabenki na mashirika mengine binafsi bila kusahau mahoteli
Mkuu ulipotea kitambo, what's up jo.
Mbona urefu wakawaida ule ila itakua kwa sababu pale abiria watakua wengi sanayeah kweli. kutoka pale mataa sijui boma kuja kule mburahati.. lengo lake la kuwa kirefu ni nn?