Je mlichowekeza kinaendana na shida iliyopo?
Inaonekana hamkuwekeza ipasavyo ktk kilimo cha umwagiliaji.
Pia mlitakiwa muhakikishe kila palipo na makazi ya watu mnachimba visima virefu vya maji.
Nikutolee mfano Dodoma ni miongoni mwa mikoa yenye ukame yani (semi arid)
Lakini serikali imehakikisha kila penye makazi ya watu visima virefu vinachimbwa vya maji safi.
kisiiWhat I see down there mostly ni vigorofa vya udongo venye havifanyiwa finishing ndio ulinganishe na Dom 😂😂😂
Twende battle hapa leo tuone kama utatoka fala wewe
Umetoka Zika sasa upo Kisii?
Pale Karume pasijengwe soko bali ijengwe bus stop, plan gani hizi? Unajengaje soko karume wkt kuna traffic lights? Lkn pia pale Karume c kuna Machinga complex? Mbn wanataka kutengeneza msongamano usiokuwa wa lazima?Jangwani pale BRT buses zilipokua zinadive?
kabisaaHivi viwango huwezikuta Kunyaland! Mkunya yeyote abishe humu!
Tz kuna drought? Wapi hebu niambie.
So the ongoing drought in Tanzania is because of your government's incompetence? How do you people reason?
Sidhani kama Unaakili timamu wewe nimekudharau 😂😂😂Ona kondoo 😂😂. So basically your government is so incompetent that it doesn't have a solution to a drought that comes and goes but your tiny brain thinks our government is worse because it can't turn an actual desert into a forest? 😂😂😂😂.
Daladala za kutokea Buza, gongo la Mboto, kigamboni n.k hazina mahali pa kuegesha zimekuwa zikibanana pale machinga complex wkt sehemu kubwa ipo pale Karume. Wajenge bus stand pale.Pale Karume pasijengwe soko bali ijengwe bus stop, plan gani hizi? Unajengaje soko karume wkt kuna traffic lights? Lkn pia pale Karume c kuna Machinga complex? Mbn wanataka kutengeneza msongamano usiokuwa wa lazima?
Those are only two examples 🤦🏽♂️. There are multiple irrigation projects ongoing in TurkanaHahahaha bro 300 to 200 acres of irrigation in Tanzania is kind of household business 🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi hujisikii aibu?
Unataka nikuletee real irrigation schemes?
dodoma ufananishe na ushuzi 🤣🤣🤣mbingu na ardhi
thika👇🏽View attachment 2095226View attachment 2095225View attachment 2095250View attachment 2095283
dom👇🏽View attachment 2095227View attachment 2095228
dom is so scanty and empty, yani skeleton, in the name of The Capital
Pale Karume pasijengwe soko bali ijengwe bus stop, plan gani hizi? Unajengaje soko karume wkt kuna traffic lights? Lkn pia pale Karume c kuna Machinga complex? Mbn wanataka kutengeneza msongamano usiokuwa wa lazima?
