chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,124
Itega Dom
Halafu kuna wahuni wanajifananisha na Zika 😂😂😂
Halafu kuna wahuni wanajifananisha na Zika 😂😂😂
What`s the difference between this village and Isiolo?
Kawatendea hawatowahi kumsahau mji unameremeta sipati picha wakijenga brt hapo patakuwajeWagogo wanatakiwa kumjengea Magu Sanam pale Dom, kaiinua Dodoma kama pamba, utashangaa sana watu wanaosema aliipendelea Chato au Lake Zone
What`s the difference between this village and Isiolo?

........wamesema Nairobi should watch outUnasema BRT wakati alikua anataka kuweka tram kabisa 😅Kawatendea hawatowahi kumsahau mji unameremeta sipati picha wakijenga brt hapo patakuwaje
They are over ambitious.........wamesema Nairobi should watch out
So the ongoing drought in Tanzania is because of your government's incompetence? How do you people reason?
Thika superhighway aerial views..and estates

A superhighway is a multilane highway designed for high-speed traffic.Why do you call it superhighway?
Hasira hasara nuguI wont argue with you hata singida inaichapa Nairobi.......

Tunatembea na nyie vile mnataka, nyie hamna ustaarabu ndio maana na cc tunajitoa ufahamu ili tunate na beats zenu.Wa kuita watu mbwa ndio wamebaki.....and we thought tanzanians are polite......hehe
Nmepambana nao sana watu wanaosema hivyo humu JF, ni upumbavu mtu kusema Magu aliipendelea Chato wkt miradi imefanyika nchi nzima na miji mingine kama Dodoma imevunja rekodi kabisa.Wagogo wanatakiwa kumjengea Magu Sanam pale Dom, kaiinua Dodoma kama pamba, utashangaa sana watu wanaosema aliipendelea Chato au Lake Zone
Wewe unawajua ambao ni experts ?kwamba waliopo ndan sio expert?
View attachment 2095632
juzijuzi wizara hii walisainisha na kampuni ya kihindi deal la $30m na Tanesco
mambo ya escrow , dowans yanaanzaga hivhiv, wizara hiihii
kampuni ya nje inakuja kukushauri wew kweny resources zako wew mwenyewe?.. wakikushauri wew chukua 10% wengine wachukue 90% kwa sababu hii na hii.. utakataa? wakat wew ndo umewatafuta!
Kwani Blair c ndio yupo Ikulu pale mkuu au umesahau.kwamba waliopo ndan sio expert?