Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

you see.....Kenya hatungojei hata sekta sijui nini.....90 % tunafanya kama families or friends or through saccos.......That's why if you visit Kenyan towns you will notice constructions everywhere hata kwa villages
Vita za nn mzee sasa unategemea majengo ya serikali ajenge nani kama sio serikali yenyewe na nani kasemaa kwamba private sector hawajengi
 
Such a massive building is deep inside siaya county in Bondo.......Built by ACK Diocese of Bondo
FB_IMG_1642960357797.jpg
 
Vita za nn mzee sasa unategemea majengo ya serikali ajenge nani kama sio serikali yenyewe na nani kasemaa kwamba private sector hawajengi
nyinyi kila kitu ni serikali......Kenya is a liberal eeconomy.Siku hizi hata watu wanaprefer kufanya projects ushago.......Nairobi is just a point of consolidating cash and planning.....The real action is in the rural areas since devolution began
 
Yaani kapotea Moja ya Wapambanaji Wa Jukwaa hili
Ameitetea sana Nchi huyo Na Kina lizaboni
Walipambana sana na Wakenya humu
nilikuwa Navutiwa sana na Mpambano wao Ghafla Wote wamepotea
Wa kuita watu mbwa ndio wamebaki.....and we thought tanzanians are polite......hehe
 
Uwe unasoma na kuelewa anasemaje mwenzako ,pia kuhusu brt ya kikwete ujue siyo hii ya magufuli ni kama sgr ya kikwete ni tofauti na hii ya magufuli ,ile ya kikwete ilikuwa imechukuliwa na kikundi cha wahuni papa ndani ya ccm ilikuwa ni mali ya kikundi cha mafisadi wa msoga wakina Rizimoko ,kama unataka kujua vizuri kazi kubwa aliyo fanya jpm kwenye brt basi anza kufuatilia Issue ya UDA kwanza ndiyo utagundua kuwa brt magufuli ni tofauti na brt kikwete
Una shida sio ndogo
 
Unabishana na mtu anayeona kwa macho kila anapoamka asubuhi.BRT phase one ni standard ya hali juu sana ilijengwa na Strabarg.BRT phase kuanzia kamata kwenda Mbagala inajengwa na Mchina kuanzia 2018 na bado hatujui hadi mwisho itakua na ubora gani? Shida yenu mnafikiri kila mtu anaona na kufikiri kama ninyi.BRT itabaki kuwa ni initiative binafsi ya Rais kikwete kama ilivyo kwa chuo kikuuu cha Dodoma,JKCI(taasisi ya Moyo) japo utekelezaji utaendelea miaka na miaka.Tusiishi kwa kutaka kila mtu afikiri kama wewe.
Huyo ni bangi zinamsumbua,achana nae.
 
Angalau sisi ukitoa 18% debt to GDP ratio tunabakia na change nyie sasa madeni mengi hata GDP yenyewe ni deni pia imebakia kutangazwa rasmi nchi imeuzwa kwa mabeberu.
$36B of $65B ni 18%? Kwani shule uliena kuchungulia madarasa ama?🤣🤣🤣
 
nyinyi kila kitu ni serikali......Kenya is a liberal eeconomy.Siku hizi hata watu wanaprefer kufanya projects ushago.......Nairobi is just a point of consolidating cash and planning.....The real action is in the rural areas since devolution began
Dodoma inaichapa Nairobi kwenye residential property au vipi?

View attachment 2095611
Angalia itega iyo mzee alafu Ndio uongee dom in the next five to ten years atakua hana mpinzani hapo kenya labda nairobi tuu
 
Back
Top Bottom