Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unabishana na mtu anayeona kwa macho kila anapoamka asubuhi.BRT phase one ni standard ya hali juu sana ilijengwa na Strabarg.BRT phase kuanzia kamata kwenda Mbagala inajengwa na Mchina kuanzia 2018 na bado hatujui hadi mwisho itakua na ubora gani? Shida yenu mnafikiri kila mtu anaona na kufikiri kama ninyi.BRT itabaki kuwa ni initiative binafsi ya Rais kikwete kama ilivyo kwa chuo kikuuu cha Dodoma,JKCI(taasisi ya Moyo) japo utekelezaji utaendelea miaka na miaka.Tusiishi kwa kutaka kila mtu afikiri kama wewe.
Kuna wengi wa design hii humu! Usishangae!
 
Aliletwa kwa ungo sio? Hivi unajua Magu alikua anatake precautions tangu aiwa waziri ambapo alikua na mtu waketest hadi maji ya kunywa? Alizungukwa na watu wanaouelewa ndio maana alifumuafumua serikali na kuweka wasomi wanomuelewa ambapo wasingeweza kufanya hivyo. Waache kumpeleka South eti wampeleka slum hub? We unaumwa wewe
Sasa wewe hebu sikiza..wakati wote huu tz hamkujua magu yuko wapi....kama sio vyombo vya habari vya kenya sijui hata ingekuwa vipi...Magu alikuwa apelekwe south A...si eti kwa sababu kenya hatuwezi, ila ni kwa sababu ya aibu kwenu...lakini hali ilipokuwa sio hali..iliwabidi tz ku swallow pride na wamlete kwetu kutokana na uthabiti na ubobeaji wa wakenya kwa mambo ya kimatibabu na mahospitali za kuaminika....Na jinsi mlivyo makunguru..mkakorogwa vichwa na serikali yenu... Hadi tangazo maalum tokea serikalini lilipo tangazwa....
 
In east africa ni kenya tu nchi ambayo wakaazi wake wanaweza kuongea kiswahili kizuri and at the same time communicate well in english as well.....Yaani kenya ni baadhi ya nchi zilizobarikiwa mno....Ukienda tz kiswahili wanacho lakini pale kwa kizungu ..taabu tupu..ukienda uganda...kizungu wanacho ila kiswahili hamna...rwanda kizungu kiswahili shida...yaani wakenya aiseee wachana nao tu
 
In August 2021, president Uhuru Kenyatta broke ground for the construction of a 700-bed capacity level six Kenya National Referral and Research Hospital in Kabete barracks, Nairobi. Though it has taken quite long for the project to shoot off the ground, construction has officially began as you can see below (the cranes on the left of the picture).
download (98).jpeg
download (16).png
 
Ugandan English is heavily loaded with their local accent though
 
MKENYA AKUTWA KWENYE TAIRI LA NDEGE UHOLANZI

Maafisa wa polisi wa Uholanzi wamethibitisha kwamba mtu aliyekutwa katika tairi la ndege katika uwanja wa ndege wa Schipholni raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 22.

Anapanga kuwasilisha ombi la kuchukua hifadhi nchini Uholanzi.

Mtu huyo alipatikana akiwa hai na kuwa na uwezo wa kuzungumza.Kwasasa anapokea matibabu katika hospitali moja.

Alikutwa katika tairi la ndege ya Cargolux baada ya ndege hiyo kusafiri kutoka Johhanesburg hadi nchini Uholanzi kupitia Nairobi Kenya.

Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uholanzi aliambia BBC , inatarajiwa kwamba ataomba hifadhinchini Uholanzi , lakini kwasasa hali yake ya kiafya ndio muhimu.

Sio kawaida kwa stowaway katika safari za mwendo ,mrefu kukutwa wakiwa hai, kutokana na baridi kali na upungufu wa hewa ya oksijeni angani.

Maafisa wa polisi wa Uholanzi wanachunguza iwapo alijificha katika tairi hilo akiwa nchini Afrika kusini au Kenya.

Katika kipindi cha miaka mitano , watu saba waligunduliwa katika ndege hizo za Uholanzi na ni wawili pekee waliokutwa wakiwa hai.

Jamaa wana maisha magumu sana

View attachment 2094849
Sauzi kwenu peponi, kila mtanzania ndio ndoto yake hyo mpka wasanii..
Mkenya akiwaza kutoka nje ni ulaya
 
Sasa wewe hebu sikiza..wakati wote huu tz hamkujua magu yuko wapi....kama sio vyombo vya habari vya kenya sijui hata ingekuwa vipi...Magu alikuwa apelekwe south A...si eti kwa sababu kenya hatuwezi, ila ni kwa sababu ya aibu kwenu...lakini hali ilipokuwa sio hali..iliwabidi tz ku swallow pride na wamlete kwetu kutokana na uthabiti na ubobeaji wa wakenya kwa mambo ya kimatibabu na mahospitali za kuaminika....Na jinsi mlivyo makunguru..mkakorogwa vichwa na serikali yenu... Hadi tangazo maalum tokea serikalini lilipo tangazwa....
Wakuu oneni hili fara la kureason, nyie ndio mnadanganywa na vyombo vyenu hata hujiongezi tu. Wenzako wanatoa ushuhuda kila mara twiter namna mlivyodanganywa kuhusu TZ bado husanuki tu
 
In August 2021, president Uhuru Kenyatta broke ground for the construction of a 700-bed capacity level six Kenya National Referral and Research Hospital in Kabete barracks, Nairobi. Though it has taken quite long for the project to shoot off the ground, construction has officially began as you can see below (the cranes on the left of the picture).
View attachment 2094864View attachment 2094876
Ingekuwa huko kwa wengine wangesema 'ze best hoipital in Afirika'.
 
Gdp ya madeni?

$97B - $106B = -ve $9B

$65B - $36B = +ve $29B

Ninyi hata Burundi wamewapita hamna GDP yoyote
Nani mwenye real GDP kubwa? 🤣🤣🤣🤣

GDP ya mwaka moja, unalinganisha na madeni ya kulipwa kwa miaka 50+?
Elimu ya Saint Kayumba imekosea bongolala sana.
 
Gdp ya madeni?

$97B - $106B = -ve $9B

$65B - $36B = +ve $29B

Ninyi hata Burundi wamewapita hamna GDP yoyote
Nani mwenye real GDP kubwa?
Jamaa unateseka walai, tafuta kazi ufanye manake haya mambo huna ujuzi nao..
 
Mwanzo nyinyi alikuwa wapi...kama sio tetesi kutoka kenya hamkujua yuule bwana alikuwa wapi....Mpaka tulipo waambia. na siyeye peke yake hata wa burundi ilikuwa vivyo hivyo..ni vile wale sio wabishi kama nyinyi
Hizo ni porojo za mitaani au fake news lete ushahidi kama Hakuna funga mjadala

Hapa kuna MOI institute , kuna JKCI institute , kuna Benjamin William mkapa hospital kuna mloganzila institute, kuna kcmc hospital kuna bugando hospital wanafanya upasuaji wa aina zote wakenya wanakuja huku kutibiwa halafu Raisi wa nchi akatibiwe kwa strategically competitor inaingia akilini ?
Kenya wamezidi nini Tanzania kwa Tiba?

South Africa Sawa.

Burundi unafananisha na Tanzania wewe unafikiri sawASawa kweli ???
 
Back
Top Bottom