Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz mmejaribu sana, kushika usukani east africa, na kukua ndio wenye usemi na uchumi mkubwa EA,... lakini kenya bado imebaki kua east african powerhouse since 1987, and she's not about to relent anytime soon. we just can't let go. Ethiopia walijaribu pia kiasi, lakini hatimaye walishindwa.
eti in 2016, tulikua tumetishiwa eti Tz, will be the largest economy by 2021, and tht all Int'l functions in Nairobi will shift to Dar. lakini wapi.!?. tuko 2021 aaf
The past 6 years tumerudi nyuma Sana,miaka ya MKapa na JK ndio uchumi ulikua Sana both private na public sectors.

Soon baada ya Mwendazake uchumi ulishuka Sana ,ndio maana hadi leo licha ya kushika mamiradi makubwa hakuna uliomalizika na hata hiyo mingine haijulikani itaisha lini.

But signs the uchumi zimeanza kurudi inakua tunatibu madonda badala ya kukuza uchumi.
 
Sasa kanini mjambiani analialia eti matatizo ya awamu ya 5 kwanini asijatatue na mafisadi wa qwamu toka yakwanza apambane nao hivyo ndivyo tunavyo taka atutaki habari za chupi chupi hapa
Jibu swali nani kakutana na raha? Magu kaharibu uchumi kuna raha gani?
 
3042818_JamiiForums-1726857208.jpg



😄😄Usisahau na hii👇

Screenshot_20211224-135145.png
 
roundi hii tanganyika haiku make to the top 10 list... wah wah wah.... 🤔. ole wangu. poleni aky. lakini msikonde. ivo tu ndo kunaendaga. mtazoea tu.
imagine from 2016 Tz wamekwamia $65b. shida tu ni venye wao huwa hawakubali ukweli, yani matokeo ya imf na worldbank.
View attachment 2053623
Tulilostishwa na Mwendazake ila miaka hii ya mama tutarudi ,tutawatoa Angola na CodeVoire si unaona investments zimerudi hadi tukawapita kwenye exports mkaanza kulia Lia.
 
Back
Top Bottom