Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ichoboy01 aki Mr. Wivu woiyee kuja uone rais wetu akiweka girder la mwisho la Nairobi expressway viaduct. Yaani kwa kiswahili kwa Malazy wasioelewa kiingereza ni kwamba rais Kenyatta leo ameweka nguzo ya mwisho inayounganisha barabara ya juu ya Nairobi Expressway. Barabara imefikia 93% completion rate.

wivu kwa project ya mchina ambayo nyinyi wenyewe mutailipia hio huduma kwa miaka 30 ni kweli mtu mwenye wivu atakua kichaa na mlevi pekee 😂😂😂😂😂

adui wa kenya namba moja ni uhuru kenyatta ukasirike ukubali 😂😂😂 huyo ndio kaua economy yote ya kenya yani kaimaliza kabisa
 
Alright.
It doesn't make any sense being Small or huge.lets assume it's big as you would want it,what would be the difference.

Honestly your point doesn't hold .
haiwezi kua big na haitawah kua mark my words 🤣🤣🤣 hasira zako hazitasaidia
 
tunafurahi kuona project ya mchina kwa miaka 30 😂😂😂😂 yani nchi yenu lakini mchina ndio mmiliki wa hio barabara kwa miaka 30 na hamutapita bure niamini mm budaa
Maumivu yataisha tu usijali. Najua unatamani ingejengwa Tanzania.
 
Maumivu yataisha tu usijali. Najua unatamani ingejengwa Tanzania.
itajengwa kwa pesa za tanzania na hakuna mtu kulipa ada kwa ajili ya matumizi 😂😂

ww husikiii uchungu kusikia ardhi ni yenu mradi wa mchina kodi atachukua mchina kwa miaka 30 na hakuna yoyote atapita bure bila malipo

how do u feel🤣🤣🤣🤣🤣
 
wivu kwa project ya mchina ambayo nyinyi wenyewe mutailipia hio huduma kwa miaka 30 ni kweli mtu mwenye wivu atakua kichaa na mlevi pekee 😂😂😂😂😂

adui wa kenya namba moja ni uhuru kenyatta ukasirike ukubali 😂😂😂 huyo ndio kaua economy yote ya kenya yani kaimaliza kabisa
Boss sisi tunakuwa first world tunawaacha matopeni.
 
Boss sisi tunakuwa first world tunawaacha matopeni.
unakua first world huku mchina yuko kwenye toll zake akikusanya kodi zenu kwa miaka 30 😂😂😂😂 mume punguza umaskini au mumeongeza ??
 
GTC

1640268042764.png
 
unakua first world huku mchina yuko kwenye toll zake akikusanya kodi zenu kwa miaka 30 😂😂😂😂 mume punguza umaskini au mumeongeza ??
Kwani ulitaka watujengee bure? Bro, Kenya sio kama Tanzania where everything is either a donation or grant.
 
unakua first world huku mchina yuko kwenye toll zake akikusanya kodi zenu kwa miaka 30 😂😂😂😂 mume punguza umaskini au mumeongeza ??
Wacha ushamba mzee. Nchi zote first world zina toll roads. Kama hujui basi nimekufunza kitu hapo. Huwezi kutegemea serikali ijenge barabara zote nchini. Lazima private sector ihusike kujenga barabara na ports na airports na powerplants na railways. Kwanza Marekani wanapenda sana hii PPP model. Nchi yoyote ya kikapitolisti lazima ihusishe private sector katika ujenzi wa miundo mbinu.
 
Back
Top Bottom