Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha Wivu......Mumesahau nyinyi pia mulikua na PPP project ya chalinze ...https://www.infrapppworld.com/project/dar-es-salaam-chalinze-highway-ppp-project
kwamba dar chalinzee? mhh ilkua inahusu nn?ka autojali?
 
Acha uoga PPP si lazima iwe kampuni moja binafsi zinaweza kuwa kadhaa!!! Kenya mmezidi upigaji ndo maana mkijenga vitu vyenu nyie wenyewe lazima viwe vya hovyo sana tu!!! Rubbish unlike Tanzania, sisi tuna makampuni binafsi yanafanya vizuri tu sana mfano ni Estim ambao ndo wanaojenga Kimara- Kibaha Super Highway!!!usijesema mimi natunga angalia mwenyewe kwny hii link
Na bado yako makampuni mengi tu ya kitanzania yakifanya vizuri kwny different projects!!!Tofauti na Kenya kwetu ukifanya hovyo utarudia kazi kwa pesa yako na usitegemee tena Serikali ya Tanzania kukupa mradi mwingine!!!Wameshaona mifano hai kwa hiyo lazima wafuate mstari bila shuruti!!!Tunaandaa document na specs zake tunataka kilichokuwa kwny document kulingana na specs zake ndo tukione site!!!No excuses!!!!wala blah blah nyingine!!!
 
Huu ulikuwa mradi wa PIDA ilikuwa ni Toll road mpk tender yake ilitangazwa ila wadau hawakujitokeza kwa mawazo yangu SGR iligeuka obstacle kwny hii project maana plan yake ilikuwa kutoa maroli bandarini yapite nje ya mji hakuna speed limit na foleni kama yanayopitia sasa!!!! ilikuwa bonge la project.
 
Nakumbuka enzi za Marehemu Magufuli..yeye alikua anaenda kwa site,akipata mume lala kwa kazi na hamfanyi kazi quality anawafuta papo hapo..anatafta contractor mwengine aendelee na kazi..Honestly huyo jamaa aliwajaribia sana...Kama binadamu watu hua na kasoro ndogo ndogo..lakini alijaribu....Nilipenda slogan yake''HAPA KAZI TUU"
 
Acha uoga PPP si lazima iwe kampuni moja binafsi zinaweza kuwa kadhaa!!! Kenya mmezidi upigaji ndo maana mkijenga vitu vyenu nyie wenyewe lazima viwe vya hovyo sana tu!!! Rubbish unlike Tanzania, sisi tuna makampuni binafsi yanafanya vizuri tu sana mfano ni Estim ambao ndo wanaojenga Kimara- Kibaha Super Highway!!!usijesema mimi natunga angalia mwenyewe kwny hii link
Hahaha Kimara Kibaya ambayo imeshindwa kukamilika? Wakati Nairobi expressway imechukuwa miaka miwili tu kukamilika? Wekeni uzalendo kando mkamilishe miradi zenu kwa haraka. Hata SGR mlitaka kuwapa Wachina lakini mkaamua kuwapa Waturuki sasa mumekwama. Heri mngewapa Wachina wangekuwa wameshamaliza Ujenzi wa Sgr zamani sana.
 
Another Skyline taking shape

View attachment 2055400
Skyline? 😂 😂
3010781_3010719_255718527898_status_1f931046a4504b448159a5bb48ba7939.jpg
 
Hahaha Kimara Kibaya ambayo imeshindwa kukamilika? Wakati Nairobi expressway imechukuwa miaka miwili tu kukamilika? Wekeni uzalendo kando mkamilishe miradi zenu kwa haraka. Hata SGR mlitaka kuwapa Wachina lakini mkaamua kuwapa Waturuki sasa mumekwama. Heri mngewapa Wachina wangekuwa wameshamaliza Ujenzi wa Sgr zamani sana.
Sio kibaya ni Kibaha!!!hakuna mradi uliokwama my brother Tony!!! Miradi yote inaendelea fuatilia na percentage zake upon completion ili ulie vizuri!!!!
 
Nakumbuka enzi za Marehemu Magufuli..yeye alikua anaenda kwa site,akipata mume lala kwa kazi na hamfanyi kazi quality anawafuta papo hapo..anatafta contractor mwengine aendelee na kazi..Honestly huyo jamaa aliwajaribia sana...Kama binadamu watu hua na kasoro ndogo ndogo..lakini alijaribu....Nilipenda slogan yake''HAPA KAZI TUU"
Kwa yoyote atayembeza huyu mzee kwny suala la miundo mbinu atakuwa anakosea sana!!!ametubeba sana Watanzania kwny hili!!! Wayback
 
this logic doesn’t exist anywhere in the world. kwa hio huyo wa pili kila mwezi ananunua TV mpya! if you can, delete this trash

kuna watu tunafanya nao kazi.. mishahara inafanana na wanafanya biashara pamoja na kupokea loan.. ila asiefanya biashara anawazidi tu wengine kwa mbali.. kwenye biashara kuna kufilisika au loss pia (white elephant kama nyie zenu)
Kama hata Baada ya kukueleza hivo hujaelewa basi hutawai elewa
 
Huu ulikuwa mradi wa PIDA ilikuwa ni Toll road mpk tender yake ilitangazwa ila wadau hawakujitokeza kwa mawazo yangu SGR iligeuka obstacle kwny hii project maana plan yake ilikuwa kutoa maroli bandarini yapite nje ya mji hakuna speed limit na foleni kama yanayopitia sasa!!!! ilikuwa bonge la project.
okay hii inaakisi maoni yangu kwamba tuna ignore ppp na 'mfumo tuliochagua ni mzuri ingawa tunachelewa
ppp ni ushubwada tuu kama haihusishi local registered.... ina manipulate mambo mengi ya msingi kwa wananchi
 
wacha hasira sasa 😅😅
Not really,why now.its only that I'm feeling dizzy trying to get your logic n you aren't explaining.maybe you have a point on why a city should be big.

I have also noted from your brothers , confusion between CBD and the main City.
 
Hahaha Kimara Kibaya ambayo imeshindwa kukamilika? Wakati Nairobi expressway imechukuwa miaka miwili tu kukamilika? Wekeni uzalendo kando mkamilishe miradi zenu kwa haraka. Hata SGR mlitaka kuwapa Wachina lakini mkaamua kuwapa Waturuki sasa mumekwama. Heri mngewapa Wachina wangekuwa wameshamaliza Ujenzi wa Sgr zamani sana.
hatujakwama lkn pia hatuta lipia popote kutumia na inshala ngoma itafka chalinze
 
Nilishangaa kuona Watanzania akina joto la jiwe ichoboy01 na wengine wakitucheka kwa kutumia PPP model. Nikashangaa kwani ushamba huu ulitoka wapi?
Nadhani umeelezwa vizuri Sana hapo juu, huku Tanzania tunalo Daraja la Kigamboni ambalo tunalipia, lakini pesa yake inaingia serikalini/ inabaki hapa nchini, hiyo ndio maana halisi ya PPP, nchi zote duniani hizo tajiri haziwezi ruhusu kampuni la nje kwenda kushirikiana na serikali zao kwa mpango wa PPP, huko ni kuweka rehani uchumi wenu, weka ushahidi kwamba katika nchi zilizoendelea Kuna nchi yoyote ambayo wamejengewa infrastructure na kampuni la nje kwa mfumo wa PPP
 
Back
Top Bottom