Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ndo ujue nyie ni bongo lala yaani kenya na upungufu wote huu...idadi ya wati iko chini, madini hatuna...ardhi ya rotuba hatuna lakini bado sisi ni ma bossi wenu....dar...yaani mkenya atakupigia kiingereza na kiswahili taratiibu...yaani hekima tu... nyie mnazo hizi zote lakini bado ni wadogo wetu.... haya heb niambie kama sio uzuzu huu ni nini?
Ndio inashangaza nchi yenye watu wachache inashindwa kuwalisha chakula cha kutosha badala yake instegemea nchi yenye watu wengi ndio iwapelekee chakula.

Inashangaza nchi yenye ardhi ndogo yenye rutuba ndiyo nchi hiyohiyo viongozi wao wanamiliki ardhi kubwa wakati wananchi wa kawaida wanakufa kwa njaa.

Ndio inashangaza nchi ambayo sehemu kubwa ni ukame, hawazingatii kilimo cha umwagiliaji maji, wakati nchi ambayo haina tatizo la jangwa ndio inayozingatia kilimo cha umwagiliaji.
 
ushakutañab na mwarabu anagonga kisukuma mbaya....
wapo wengi wasio kua na ndugu oman au yemen au india au pakistan so ni watanzania wenzetu (asili yao tanzania)
Yani uwaeleweshe vipi hawaelewi hawa vichwa maji. .....achana nao.

Kenya wahindi kiswahili hawaongei, wazungu wao pia kiswahili hawaongei na wanapassport za Kenya. Na ndio matajiri wao.

Halafu wanakuja kutusema sisi wakati wahindi wetu na waaarabu wetu hata majumbani kwao wanaongea kiswahili.

Achana nao hao.
 
You dickhead why are you quoting me on personal opinions? People have different perspectives/opinions on life and that doesn't make it gospel truth. Sasa wewe utasemaje kuhusu hizi comments za watanzania wenzako kuhusu Kenya?
Screenshot_20190731-155642.png
Screenshot_20190731-111735.png
Screenshot_20190731-111540.png
Screenshot_20190731-111422.png
 
Kuna siku nilikuwa Nairobi, nikaita uber kuelekea Airport, ikaja na dereva alikuwa dada mmoja, akanisalimia vizuri then baada ya kuketi kwenye gari, akaniuliza kwa Kiingereza chao chenye accent mbovu, you don’t look Kenyan, where do you come from? Nikamjibu kwa kiswahili, unahisi unaweza pata wapi accent nzuri kama hii ya Kiingereza na Kiswahili……?? Akacheka sana, kumbe wewe ni mTZ? Unatoka where all of our foods come from? Nikamwambia kwa utani “naam, na siku mkituletea za kuleta mtakuwa hamli hapa” huu utani ukamuingia alafu akaanza kufunguka namna Kenya imeoza na jinsi ambavyo land yao kidogo yenye rutuba badala ya kuzalisha chakula inazalisha maua na makorolokolo mengine ikiwaacha wakenya kibao na njaa sababu pia inamilikiwa na watu wachache.

Kiukweli niliwaonea sana huruma Wakenya hasa yule dada alivyoongea kwa uchungu, kidogo tu nimlipie nauli nimlete Bongo sababu alikuwa kaishakubali kuja kufanya hustles zake huku kama nikim-guarantee makazi ya muda na pa kuanzia. Tatizo hakuwa mzuri sana na haya mambo ya hisani wabongo tuliishaachana nayo baada ya ukombozi wa Afrika……. Wakenya wako desperate sana aisee.
Today on things that never happened.............................

PS............no Kenyan has ever said, our best land is used to grow flowers. (Flowers in Kenya are grown in arid areas) That's a statement I only hear from JF Bongolalas. lol. 🤣🤣🤣
 
Kuna kilaza alikua anasema hii barabara lami inakwisha unaingia vumbi., nataka nimpeleke pole pole, kuelekea CBD sehemu inatokea na kuelekea upande mwingine towards airport and beyond hadi Busia Border., yaani straight to Kampala., hakuna vumbi, vilaza wanatamani tuwe kama wao lakini google earth imekua mkombozi wetu kutokana na propaganda zao zilizo jawa na wivu, chuki na roho mbaya 😂 😂 😂 😂 .., Tanzania itangoja sana..,

Wacha Kisumu ijitetee yenyewe.., shukran Google earth! 💪 👍 🔥 hadi raha 😂 😂
1640165465771.jpeg

Njia yenywe kwa google earth..,
1640165878362.png

Kutoka interchange kuelekea industrial area then towards CBD..,
1640166004932.png

Industrial area ya Kisumu., bado sioni vumbi..., CBD area sielekei mnapajua
1640166053350.png

Sasa kutoka kwa interchange kuelekea upande wa Kisumu international Airport towards Busia..., sioni vumbi bado 😂 😂 😂
1640166187381.png

1640166207471.png

1640166227465.png

1640166240028.png

1640166261832.png

1640166276649.png

Wacha nikome hapo.., mtu aingie google earth all the way kutoka aiport kuelekea Busia unapita hadi kampala, mkipata eti lami imeisha sasa ni vumbi, nafunga account sasa hivi..., 😂 😂 😂 😂 😂
 
1. Wacha nikutoe ushamba; any standard gauge rail system can handle high speed trains., up to 350km/h or more.., SGR sio train, ni rail nyambaff., wacha nitumie lugha ya chekechea; kwa mfano, Expressway ama superhighway sio gari ni barabara., mtu anaweza kununua ferari na mwingine akanunua probox, yote yanapita kwa same road speed tofauti., so electric train ni a mere powering system ya train na kuna yenye is powered by diesel na inaweza kukua upgraded anytime ukipenda, sio kitu cha ajabu, nikama mimi ninunue electric Honda C., na mwingine anunue ya petrol, zote zinatumia njia moja tu.., alafu stations zenu ni ugly though, hapo mlichemsha 😂 😂

2. BRT is a road system with designated lanes solely for rapid buses just for uninterrupted seamless flow., it's just a type of road infrastructure, Nairobi is creating such lanes along Thika road and some will be along Mombasa road and Lang'ata road., hakuna cha ajabu pia., zero reasoning 😂 😂 😂 hapa Dar 10 Nairobi 6.., (kwa vile mko na running BRT), though coverage ni small in comparison na size ya mji., mko na mwendo.,

3. Eti uwanja wa kisasa, Nairobi ilijenga stadium ya 60,000 seating capacity 1986, na ujue ni a sports complex, Dar ni kiwanja tu ya mpira na pengine riadha, Nairobi ni sports complex, with aquatic stadium na indoor games arena., hapa nasema Nairobi 10 Dar 5.., (Dar has just a single sporting facility), Nairobi has a sports complex na Nyayo stadium 😂 😂 😂 😂

4. Airport ya kisasa eti, unajau maana ya neno kisasa? ama ulikua unamaanisha muonekano? yaani hiyo godown yenu unaita ya kisasa eti? 😂 😂 , "umekufa wewe!"., (kwa maneno ya Levo, baada ya kufika JKIA).., Haya Nairobi has three airports, Moi Airbase, Wilson Airport na JKIA, Dar moja.., so nasema Nairobi 10 Dar 5.., wacheni kujitekenya kisha mnacheka wenyewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Jamaa unaropokaga sana, alafu eti unasema tz no domodomo tu 😂😂😂 Owky mimi nipo hapa kukuelimisha.. tuanzie kwenye reli.. this is TZ's high speed rail roads 👇
Screenshot_20211217-015411_1.jpg
vs kenya SGR
_96286926_gk7_5112.jpg
hizo picha hapo juu zinajieleza .. kwahyo hapo mzee ni gape tumewapiga tayari, endeleeni kuota ni lini mtaweka umeme kwa reli yenu.. TZ 10-7 KE

2. Suala la BRT naona umejipendelea 😂😂😂, you only have two bus stops U/C while Tz BRT phase1 is functioning with more than 170 buses, and the 2nd is expected to be completed next year .. hapa marks ni TZ 10-1 KE.

3. Suala la uwanja jamaa unanichekesh sana 😂😂😂.uache Roho mbaya, owky sipo hapa kukusuta Ila kukukumbusha tu.. this is TZ's stadium 👇uko na capacity ya watu 60k na hio ni kutokana na idadi ya viti vyote uwanjani
Tanzania_National_Main_Stadium_Aerial.jpg

IMG_20211209_140140_185.jpg

Vs your so called international stadium 👇
kasarani-1024x675.jpg
An-Aerial-view-of-Kasarani-Stadium.jpg
tofauti zao kE uwanja wenu ni out of fashion+watu wanakaa kwenye concrete (hakuna viti) sijui hiyo capacity ya watu 60k pp umeipataje au ulikadiria watu watakao jipanga kwa concrete 😂😂😂😂.. kwahyo hapa marks will be TZ 10-5 KE.. ni aibu kutaka kulinganisha hivi vitu viwili..

kuhusu indoor Arena ya taifa ni kitu kingine kabisa.. na jibu ni kwamba KE iko na Indoor Arena moja tz nill, kwahiyo marks will be KE 10-0 Tz

4. Ukisema International airport unazungumzia ile infrastructure kwaajili ya ndege kutua na kupaa kimataifa (nyinyi mko nazo na sisi pia tuko nazo) lakini tukisema modern International airport maana yake inahusianisha na muonekano wa kisasa, ambapo JNIA ni modern compared to yours au kwa maneno mengine naweza kusema JNIA iko na muonekano mzuri ukilinganisha na Airport yenu.. heb ona 👇 JNIA
Tanzania-Step-Up-Airspace-Security-With-New-Radars.png
DRYbwqLol94O6oix2QMP.jpg
jnia3_20201019_0120-min buggage claim.jpg
EGQ1if8XkAAXGFC.jpg
10._dsc_5696-616-1559909449645744022.jpg
p_20190820_191935_48f3f98772d48e0f2fe0263099a5728420b57d8a.jpg
9_f9f12f4acdecf926f757e0625fbed09dbfa8cb8b.jpg
vs your international airport
kenyan-woman-pic-data.jpg
nbo-nairobi-terminal-forecourt.jpg
jkia-1.jpg
jkia2.jpg
Jomo-Kenyatta-International-Airport.jpg
Buggage-Service1-600x350.jpg
my take: macho yangu hapa yanaona world class infrastructure ulioyojaribu kulinganisha na Airport yenu ya JKIA .. ukizingumzia u busy sawa mnashinda, ila kuzungumzia muonekano wa majengo then ntakucheka sanaaa 😂😂😂😂 Halafu ntakudharau pia.. hapa napo marks will be TZ 10-7 KE.. CASE CLOSED
 
Jamaa unaropokaga sana, alafu eti unasema tz no domodomo tu 😂😂😂 Owky mimi nipo hapa kukuelimisha.. tuanzie kwenye reli.. this is TZ's high speed rail roads 👇View attachment 2053305vs kenya SGRView attachment 2053306hizo picha hapo juu zinajieleza .. kwahyo hapo mzee ni gape tumewapiga tayari, endeleeni kuota ni lini mtaweka umeme kwa reli yenu.. TZ 10-7 KE

2. Suala la BRT naona umejipendelea 😂😂😂, you only have two bus stops U/C while Tz BRT phase1 is functioning with more than 170 buses, and the 2nd is expected to be completed next year .. hapa marks ni TZ 10-1 KE.

3. Suala la uwanja jamaa unanichekesh sana 😂😂😂.uache Roho mbaya, owky sipo hapa kukusuta Ila kukukumbusha tu.. this is TZ's stadium 👇uko na capacity ya watu 60k na hio ni kutokana na idadi ya viti vyote uwanjaniView attachment 2053318
View attachment 2053320
Vs your so called international stadium 👇View attachment 2053324View attachment 2053326tofauti zao kE uwanja wenu ni out of fashion+watu wanakaa kwenye concrete (hakuna viti) sijui hiyo capacity ya watu 60k pp umeipataje au ulikadiria watu watakao jipanga kwa concrete 😂😂😂😂.. kwahyo hapa marks will be TZ 10-5 KE.. ni aibu kutaka kulinganisha hivi vitu viwili..

kuhusu indoor Arena ya taifa ni kitu kingine kabisa.. na jibu ni kwamba KE iko na Indoor Arena moja tz nill, kwahiyo marks will be KE 10-0 Tz

4. Ukisema International airport unazungumzia ile infrastructure kwaajili ya ndege kutua na kupaa kimataifa (nyinyi mko nazo na sisi pia tuko nazo) lakini tukisema modern International airport maana yake inahusianisha na muonekano wa kisasa, ambapo JNIA ni modern compared to yours au kwa maneno mengine naweza kusema JNIA iko na muonekano mzuri ukilinganisha na Airport yenu.. heb ona 👇 JNIAView attachment 2053340View attachment 2053342View attachment 2053343View attachment 2053344View attachment 2053345View attachment 2053347View attachment 2053348vs your international airportView attachment 2053373View attachment 2053374View attachment 2053375View attachment 2053376View attachment 2053377View attachment 2053383my take: macho yangu hapa yanaona world class infrastructure ulioyojaribu kulinganisha na Airport yenu ya JKIA .. ukizingumzia u busy sawa mnashinda, ila kuzungumzia muonekano wa majengo then ntakucheka sanaaa 😂😂😂😂 Halafu ntakudharau pia.. hapa napo marks will be TZ 10-7 KE.. CASE CLOSED
Yani sasa umejibu?., ulisoma nilicho andika ama pia na wewe umekurupuka tu ovyo ovyo? unatazama muonekano ama unafafanua neno kisasa? 😂 😂 ., JKIA sio league yenu dogo.., Tz terminal zote ndani ya godown ndio unaanika hapa vipicha kwa angles za kupendeza kisha unapiga kifua😂 😂 😂 ., aiport moja tu., unajua ata umbali wa terminals za JKIA ziko vipi?, pili, ume post tu kiwanja cha mpira kasarani., wapi aquatic stadium? indoor arena? yaani unaokota vipicha utumie kueneza fikra zako za kipropaganda, unajitekenya na kucheka 😂 😂 ngojeni 25 years.., Standard guage rail supports high speed train.., bado haukuelewa..,niondolee your ignorance dogo, it is infectious! 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Jamaa unaropokaga sana, alafu eti unasema tz no domodomo tu 😂😂😂 Owky mimi nipo hapa kukuelimisha.. tuanzie kwenye reli.. this is TZ's high speed rail roads 👇View attachment 2053305vs kenya SGRView attachment 2053306hizo picha hapo juu zinajieleza .. kwahyo hapo mzee ni gape tumewapiga tayari, endeleeni kuota ni lini mtaweka umeme kwa reli yenu.. TZ 10-7 KE

2. Suala la BRT naona umejipendelea 😂😂😂, you only have two bus stops U/C while Tz BRT phase1 is functioning with more than 170 buses, and the 2nd is expected to be completed next year .. hapa marks ni TZ 10-1 KE.

3. Suala la uwanja jamaa unanichekesh sana 😂😂😂.uache Roho mbaya, owky sipo hapa kukusuta Ila kukukumbusha tu.. this is TZ's stadium 👇uko na capacity ya watu 60k na hio ni kutokana na idadi ya viti vyote uwanjaniView attachment 2053318
View attachment 2053320
Vs your so called international stadium 👇View attachment 2053324View attachment 2053326tofauti zao kE uwanja wenu ni out of fashion+watu wanakaa kwenye concrete (hakuna viti) sijui hiyo capacity ya watu 60k pp umeipataje au ulikadiria watu watakao jipanga kwa concrete 😂😂😂😂.. kwahyo hapa marks will be TZ 10-5 KE.. ni aibu kutaka kulinganisha hivi vitu viwili..

kuhusu indoor Arena ya taifa ni kitu kingine kabisa.. na jibu ni kwamba KE iko na Indoor Arena moja tz nill, kwahiyo marks will be KE 10-0 Tz

4. Ukisema International airport unazungumzia ile infrastructure kwaajili ya ndege kutua na kupaa kimataifa (nyinyi mko nazo na sisi pia tuko nazo) lakini tukisema modern International airport maana yake inahusianisha na muonekano wa kisasa, ambapo JNIA ni modern compared to yours au kwa maneno mengine naweza kusema JNIA iko na muonekano mzuri ukilinganisha na Airport yenu.. heb ona 👇 JNIAView attachment 2053340View attachment 2053342View attachment 2053343View attachment 2053344View attachment 2053345View attachment 2053347View attachment 2053348vs your international airportView attachment 2053373View attachment 2053374View attachment 2053375View attachment 2053376View attachment 2053377View attachment 2053383my take: macho yangu hapa yanaona world class infrastructure ulioyojaribu kulinganisha na Airport yenu ya JKIA .. ukizingumzia u busy sawa mnashinda, ila kuzungumzia muonekano wa majengo then ntakucheka sanaaa 😂😂😂😂 Halafu ntakudharau pia.. hapa napo marks will be TZ 10-7 KE.. CASE CLOSED
Rudi darasani hapa 👇 👇 👇 soma uelewe., fuatanisha mwenzako alitaka nini., fikra za kijingajinga niondolee., kukosa uelewa🤣🤣🤣🤣🤣, mnatia huruma.., watu wa vipicha, hakuna tofauti kati yako na yule mtangazaji alie kua anajibizana na baba levo.., eti mataa yaliwaka kwa bridge.., raaaa! reasoning iko nje, yaani wapi na wapi! idiots🤣🤣🤣🤣😂😂

1. Wacha nikutoe ushamba; any standard gauge rail system can handle high speed trains., up to 350km/h or more.., SGR sio train, ni rail nyambaff., wacha nitumie lugha ya chekechea; kwa mfano, Expressway ama superhighway sio gari ni barabara., mtu anaweza kununua ferari na mwingine akanunua probox, yote yanapita kwa same road speed tofauti., so electric train ni a mere powering system ya train na kuna yenye is powered by diesel na inaweza kukua upgraded anytime ukipenda, sio kitu cha ajabu, nikama mimi ninunue electric Honda C., na mwingine anunue ya petrol, zote zinatumia njia moja tu.., alafu stations zenu ni ugly though, hapo mlichemsha 😂 😂

2. BRT is a road system with designated lanes solely for rapid buses just for uninterrupted seamless flow., it's just a type of road infrastructure, Nairobi is creating such lanes along Thika road and some will be along Mombasa road and Lang'ata road., hakuna cha ajabu pia., zero reasoning 😂 😂 😂 hapa Dar 10 Nairobi 6.., (kwa vile mko na running BRT), though coverage ni small in comparison na size ya mji., mko na mwendo.,

3. Eti uwanja wa kisasa, Nairobi ilijenga stadium ya 60,000 seating capacity 1986, na ujue ni a sports complex, Dar ni kiwanja tu ya mpira na pengine riadha, Nairobi ni sports complex, with aquatic stadium na indoor games arena., hapa nasema Nairobi 10 Dar 5.., (Dar has just a single sporting facility), Nairobi has a sports complex na Nyayo stadium 😂 😂 😂 😂

4. Airport ya kisasa eti, unajau maana ya neno kisasa? ama ulikua unamaanisha muonekano? yaani hiyo godown yenu unaita ya kisasa eti? 😂 😂 , "umekufa wewe!"., (kwa maneno ya Levo, baada ya kufika JKIA).., Haya Nairobi has three airports, Moi Airbase, Wilson Airport na JKIA, Dar moja.., so nasema Nairobi 10 Dar 5.., wacheni kujitekenya kisha mnacheka wenyewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Eti hana tamaaa...hebu nenda gikombaa ujionee wachagaa wanavyo hemea hela....
Halafu hapo kwa moyo wa huruma ..uongo mtupu....mi nshakuwa tz...na i was so discriminated apart from one mzee kibiringi...abarikiwe sana... lakini kwa wengi wenu...mkiona mgeni mnadhani ame come kuwanyanganya kidogo mlicho nacho...toka lini tajiri akaibia maskini?
Kwenye suala la hela,lazima uwe aggressive jirani!
Aafu wakunya ndo huaga mnabaguliwa East Africa nzima Huoni labda MNA shida? Mbona warundi,wakongamani,wanyarwanda,wacomoro na waganda etc wanakaa bongo kwa Amani! Wakunya mnatabia mbaya !
 
Rudi darasani hapa 👇 👇 👇 soma uelewe., fuatanisha mwenzako alitaka nini., fikra za kijingajinga niondolee., kukosa uelewa🤣🤣🤣🤣🤣, mnatia huruma.., watu wa vipicha, hakuna tofauti kati yako na yule mtangazaji alie kua anajibizana na baba levo.., eti mataa yaliwaka kwa bridge.., raaaa! reasoning iko nje, yaani wapi na wapi! idiots🤣🤣🤣🤣😂😂

1. Wacha nikutoe ushamba; any standard gauge rail system can handle high speed trains., up to 350km/h or more.., SGR sio train, ni rail nyambaff., wacha nitumie lugha ya chekechea; kwa mfano, Expressway ama superhighway sio gari ni barabara., mtu anaweza kununua ferari na mwingine akanunua probox, yote yanapita kwa same road speed tofauti., so electric train ni a mere powering system ya train na kuna yenye is powered by diesel na inaweza kukua upgraded anytime ukipenda, sio kitu cha ajabu, nikama mimi ninunue electric Honda C., na mwingine anunue ya petrol, zote zinatumia njia moja tu.., alafu stations zenu ni ugly though, hapo mlichemsha 😂 😂

2. BRT is a road system with designated lanes solely for rapid buses just for uninterrupted seamless flow., it's just a type of road infrastructure, Nairobi is creating such lanes along Thika road and some will be along Mombasa road and Lang'ata road., hakuna cha ajabu pia., zero reasoning 😂 😂 😂 hapa Dar 10 Nairobi 6.., (kwa vile mko na running BRT), though coverage ni small in comparison na size ya mji., mko na mwendo.,

3. Eti uwanja wa kisasa, Nairobi ilijenga stadium ya 60,000 seating capacity 1986, na ujue ni a sports complex, Dar ni kiwanja tu ya mpira na pengine riadha, Nairobi ni sports complex, with aquatic stadium na indoor games arena., hapa nasema Nairobi 10 Dar 5.., (Dar has just a single sporting facility), Nairobi has a sports complex na Nyayo stadium 😂 😂 😂 😂

4. Airport ya kisasa eti, unajau maana ya neno kisasa? ama ulikua unamaanisha muonekano? yaani hiyo godown yenu unaita ya kisasa eti? 😂 😂 , "umekufa wewe!"., (kwa maneno ya Levo, baada ya kufika JKIA).., Haya Nairobi has three airports, Moi Airbase, Wilson Airport na JKIA, Dar moja.., so nasema Nairobi 10 Dar 5.., wacheni kujitekenya kisha mnacheka wenyewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
hawa watanzania wanafaa kukulipa karo ya kuwasomesha
 
Jamaa unaropokaga sana, alafu eti unasema tz no domodomo tu 😂😂😂 Owky mimi nipo hapa kukuelimisha.. tuanzie kwenye reli.. this is TZ's high speed rail roads 👇View attachment 2053305vs kenya SGRView attachment 2053306hizo picha hapo juu zinajieleza .. kwahyo hapo mzee ni gape tumewapiga tayari, endeleeni kuota ni lini mtaweka umeme kwa reli yenu.. TZ 10-7 KE

2. Suala la BRT naona umejipendelea 😂😂😂, you only have two bus stops U/C while Tz BRT phase1 is functioning with more than 170 buses, and the 2nd is expected to be completed next year .. hapa marks ni TZ 10-1 KE.

3. Suala la uwanja jamaa unanichekesh sana 😂😂😂.uache Roho mbaya, owky sipo hapa kukusuta Ila kukukumbusha tu.. this is TZ's stadium 👇uko na capacity ya watu 60k na hio ni kutokana na idadi ya viti vyote uwanjaniView attachment 2053318
View attachment 2053320
Vs your so called international stadium 👇View attachment 2053324View attachment 2053326tofauti zao kE uwanja wenu ni out of fashion+watu wanakaa kwenye concrete (hakuna viti) sijui hiyo capacity ya watu 60k pp umeipataje au ulikadiria watu watakao jipanga kwa concrete 😂😂😂😂.. kwahyo hapa marks will be TZ 10-5 KE.. ni aibu kutaka kulinganisha hivi vitu viwili..

kuhusu indoor Arena ya taifa ni kitu kingine kabisa.. na jibu ni kwamba KE iko na Indoor Arena moja tz nill, kwahiyo marks will be KE 10-0 Tz

4. Ukisema International airport unazungumzia ile infrastructure kwaajili ya ndege kutua na kupaa kimataifa (nyinyi mko nazo na sisi pia tuko nazo) lakini tukisema modern International airport maana yake inahusianisha na muonekano wa kisasa, ambapo JNIA ni modern compared to yours au kwa maneno mengine naweza kusema JNIA iko na muonekano mzuri ukilinganisha na Airport yenu.. heb ona 👇 JNIAView attachment 2053340View attachment 2053342View attachment 2053343View attachment 2053344View attachment 2053345View attachment 2053347View attachment 2053348vs your international airportView attachment 2053373View attachment 2053374View attachment 2053375View attachment 2053376View attachment 2053377View attachment 2053383my take: macho yangu hapa yanaona world class infrastructure ulioyojaribu kulinganisha na Airport yenu ya JKIA .. ukizingumzia u busy sawa mnashinda, ila kuzungumzia muonekano wa majengo then ntakucheka sanaaa 😂😂😂😂 Halafu ntakudharau pia.. hapa napo marks will be TZ 10-7 KE.. CASE CLOSED
hehehe.......the problem with tanzanians is that if they build some glassy structure they think thats the end of life....JKIA has underpasses and flyovers right inside it and international parking structures and many logistic companies including high end hotels.......
 
Today on things that never happened.............................

PS............no Kenyan has ever said, our best land is used to grow flowers. (Flowers in Kenya are grown in arid areas) That's a statement I only hear from JF Bongolalas. lol.

Unadhani mimi ntabishana na wewe? Nasubiri tu mwakani mwezi wa tisa tisa hivi muanze kutembeza bakuri la miayo…..alafu tutawaambia si mkachume maua mle?
 
Back
Top Bottom