Hapa ni ukweli tu[emoji1787][emoji1787]JKIA sio kama JNIA ambayo imebanwa na slums pande zote hakuna hata room for expansion.
Umeangalia kigezo gani?Sawa genius. Naona wewe ni mwerevu sana. HAHA. The education system in TZ is much worse than the Kenyan system.
High quality and finished buildings along JNIAFully of low quality and unfinished buildings
Enyewe wewe ni kichwa malenge tu hahahamajengo ya kwapi hapo bro au mm kipofu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2054523
Anafaa amiliki IST ama? Na zile pesa ndefu tunampee za Kenya?
Unajidanganya ya distance kutoka kwa mpiga picha.High quality and finished buildings along JNIAView attachment 2054541
sasa umepanic budaa😂😂😂Enyewe wewe ni kichwa malenge tu hahaha
🤣🤣🤣 aloo unahasira sana leoAnafaa amiliki IST ama? Na zile pesa ndefu tunampee za Kenya?
Kigiriama umekiskia wapi wewe, km hujui kitu si unyamaze tu..Hahahaha, Kigiriama hakifanani kabisa na Kiswahili, kidogo kiduruma na kidogo kwa mbali Sana ndio vinafanana na Kiswahili, lakini ukija huku Tanzania, Unguja na Pemba hawana lugha zao za asili zaidi ya Kiswahili, kwa upande wa Tanzania bara, wasegeju, wadoe, wakwere na wazaramo, lugha zao 40% ni Kiswahili. Kiswahili ni lugha ya Tanzania, wachana na hao wakenya wanaoandika ktk Wikipedia, dunia nzima inajua Kiswahili ni lugha ya Tanzania.
Monkey likes bananas[emoji1787][emoji1787][emoji1787] selling us bananas, that's what you're capable of.
Alright.my point is nairobi ni mji mdogo sana tena sana ndio point yangu 😂😂
ni poa sana