chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,309
- 45,110
Unageuza Bus Uber 🚗Aisee hata mm nitafanya hivyo.
Unageuza Bus Uber 🚗Aisee hata mm nitafanya hivyo.
Kpa wanaplan kujenga hq yao to be very tallWako na picha yao ya Dar sehemu yenye majengo mengi kama hii, yaani an angle tu, wanaitumia kusema eti Dar iko na density.., huwa nawaambia Mombasa ni size yao wananuna, watu wa density wako wapi, battle over., Mombasa imebakia tu BRT na gorofa tatu mchezo kwisha, ikija SGR, mabarabara, flyovers na tunnels Mombasa wanazo.,![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2052566
View attachment 2052584
View attachment 2052585
View attachment 2052586
View attachment 2052580
View attachment 2052581
View attachment 2052587
View attachment 2052588
View attachment 2052589
View attachment 2052591
Pambaneni na maghorofa cc tunajenga inclusive infrastructures alafu mtaona nani mwenye akili, yn cc tunajenga miundombinu ambayo itarahisisha watu kujenga huo upuuzi mnaodhani una maana lkn nyie mko bize kujenga upumbavu.Kpa wanaplan kujenga hq yao to be very tall
lini imekua white elephant ??😂😂😂 au ndio maumivu yamezidiJNHPP huitaki tena sio🤣🤣🤣🤣
hii ndio density 🤣🤣🤣 alooo nivichekesho yani mukiombwa density ndio munaleta huu ushuzi na mkiambiwa density hii hamutakia nayo mpaka dunia inasimama mm niliwah kukwambia hvi mombasa hata mwanza iko modern zaidi na mpaka sasa unabisha tu 😂😂😂😂Wako na picha yao ya Dar sehemu yenye majengo mengi kama hii, yaani an angle tu, wanaitumia kusema eti Dar iko na density.., huwa nawaambia Mombasa ni size yao wananuna, watu wa density wako wapi, battle over., Mombasa imebakia tu BRT na gorofa tatu mchezo kwisha, ikija SGR, mabarabara, flyovers na tunnels Mombasa wanazo., 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2052566
View attachment 2052584
View attachment 2052585
View attachment 2052586
View attachment 2052580
View attachment 2052581
View attachment 2052587
View attachment 2052588
View attachment 2052589
View attachment 2052591