Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ulitaka watujengee bure? Bro, Kenya sio kama Tanzania where everything is either a donation or grant.
nijibu kwa ufasaha kwani mungewalipa pesa wasingejenga?? 🤣🤣 kwann wajenge wao alaf ushuru wa kutumia barabara mulipe nyie alaf mchina achukue pesa na ajira zenu apeleke china
 
Hili Flyover ya Bandarini Gerezani inaonekana itapita juu ya Daraja la Bandari na inatokea usawa wa level ya kitu hiki cha mwendokasi ukipinda Kushoto kidogo maana udogo wamejaza Hasa.

IMG_3459.jpg

IMG_3455.jpg

IMG_3454.jpg

IMG_3456.jpg

IMG_3457.jpg

IMG_3458.jpg

IMG_3466.jpg

Hili ni daraja lingine Reli inapita chini.

IMG_3474.jpg

IMG_3475.jpg

IMG_3476.jpg
 
Hili Flyover ya Bandarini Gerezani inaonekana itapita juu ya Daraja la Bandari na inatokea usawa wa level ya kitu hiki cha mwendokasi ukipinda Kushoto kidogo maana udogo wamejaza Hasa.

View attachment 2054763

View attachment 2054764
View attachment 2054765
View attachment 2054766
View attachment 2054767
View attachment 2054768
View attachment 2054769
Hili ni daraja lingine Reli inapita chini.

View attachment 2054771
View attachment 2054772
View attachment 2054773
You got the BRT right.good investment
 
nijibu kwa ufasaha kwani mungewalipa pesa wasingejenga?? 🤣🤣 kwann wajenge wao alaf ushuru wa kutumia barabara mulipe nyie alaf mchina achukue pesa na ajira zenu apeleke china
Utaendelea kulia wakati wakenya wanaenjoy the beauty and efficiency of the expressway. Alafu uje tuongee after Tanzania imepata hata 500 meters of elevated road🤣🤣
 
Wacha ushamba mzee. Nchi zote first world zina toll roads. Kama hujui basi nimekufunza kitu hapo. Huwezi kutegemea serikali ijenge barabara zote nchini. Lazima private sector ihusike kujenga barabara na ports na airports na powerplants na railways. Kwanza Marekani wanapenda sana hii PPP model. Nchi yoyote ya kikapitolisti lazima ihusishe private sector katika ujenzi wa miundo mbinu.
sio ushamba hzo nchi unazotaja wanajenga wenywe na hzo toll zinaajiri watu wao na kodi zinaneda kwenye serekali zao

kenya ndio nchi pekee ajira za toll zote zitaenda kwa wachina na pesa zote za toll zitaenda kwa wachina kwa miaka 30 😂😂😂

unaposema america au europe nchi zao zinajenga kwa pesa zao na kodi zinaenda kwa nchi zao wenyewe pamoja na ajira
 
never ever majengo huku ni mengi kiasi kwamba dar alone ina density kubwa ukusanye nairobi+ mombasa + kisumu combined ndio mutafkia nusu yake

Hizo rangi za kwenye ngazi ndio rangi yake na Jengo ni jipya, au udongo kutoka Site ya Expressway .
 
Back
Top Bottom