THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Kabisa kaka!!! Tanzania tuko vizuri ndo maana hata mgeni akija kuanzisha biashara yoyote ni lazima awe na partner mbongo si hivi hivi tu!!! Lazima Mtanzania au Tanzania ifaidike kwa namna moja ama nyingine!!!okay hii inaakisi maoni yangu kwamba tuna ignore ppp na 'mfumo tuliochagua ni mzuri ingawa tunachelewa
ppp ni ushubwada tuu kama haihusishi local registered.... ina manipulate mambo mengi ya msingi kwa wananchi
