Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa genius. Naona wewe ni mwerevu sana. HAHA. The education system in TZ is much worse than the Kenyan system.
Education ya Tz ndiyo hyo inayojenga majengo yasiyo poromoka, na ndiyo iliyozalisha viongozi mashuhuri Africa kama Museveni et al I think u know.
 
Nyang'au acha uongo. Nchi yenu ni masikini sana. With populations of nearly 60m people ni watu million 3 tu wako kwenye ajira rasmi. Na Kati Yao karibu nusu wanalipwa mshahara wa takribani laki 6 za kitanzania. It's a shame ni watu duni sana nyie.


Hebu wadau fungulieni uzi hiyo tulinganishe mishahara na Hawa wakunya. Yani wanaolipwa more than 2 million huko kwao hawafiki watu elfu 5...it's a shame. Hakuna maisha kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ni Mavi.
 
When we were $75 you were $52. Wacheni kujiliwaza. The gap has been increasing steadily.




Here is your GDP 5 years ago. You keep telling yourselves lies to comfort yourselves.
View attachment 2054153
GDP ya Tz ni $135b unaweza kuona mwenyewe wala sikufokei.
JamiiForums-571630931.jpg
JamiiForums716715328.jpg
JamiiForums716715328.jpg
JamiiForums1829398628.jpg
JamiiForums1871682699.jpg
IMG_20211223_181857_581.jpg
IMG_20211223_181758_763.jpg
IMG_20211223_181725_693.jpg
IMG_20211223_181717_473.jpg
 
Acha kujitoa ufahamu wewe tumekua tukitajwa na GDP ya $65 B ni mwaka wa tano sasa, swali la kujiuliza, ni je uchumi wetu haukui kila Mwaka while tunafanya miradi mikubwa kuliko fala yeyote hapa EA.?
Chanzo chako cha taarifa ni kipi?maana mimi hupitia taarifa za WB, IMF Na BOT hatujawahi kifikia GDP ya $65B kwa miaka mitano iliopita...iyo tumeifikia mwaka huu ambapo ilikadiriwa $67b kabla ya uviko...yani unataka tuwe na GDP ya $100b kwa lipi serikali imeshindwa hata kuongeza mishahara kwa miaka 6 sasa na bado tunakopa hadi hela za kujenga madarasa na x-rays machine...
Awamu ya tano ilipoamua kujenga sgr ikijua kabisa %kubwa ya mizigo inasafirishwa na barabara na nyingi bado ziko vibaya hapo ndio ujiulize iyo impact ya ku shoot GDP itatikeaje ghafla ivyo na sgr bado haijaanza kazi...vivyo hivyo JNHED Hadi ianze kazi ndio GDP yaweza panda zaidi
 
SSH anaweza kuboresha maisha ya watanzania fursa za kibiashara zinaongezeka siku hadi siku...baada ya miaka mitano watu wanaweza shuhudia ila wasiwasi wangu ni kwenye matumizi sahihi ya fedha za umma tu...JPM aliweza kuweka nidhamu sana yeye ataweza?
 
Back
Top Bottom