Chanzo chako cha taarifa ni kipi?maana mimi hupitia taarifa za WB, IMF Na BOT hatujawahi kifikia GDP ya $65B kwa miaka mitano iliopita...iyo tumeifikia mwaka huu ambapo ilikadiriwa $67b kabla ya uviko...yani unataka tuwe na GDP ya $100b kwa lipi serikali imeshindwa hata kuongeza mishahara kwa miaka 6 sasa na bado tunakopa hadi hela za kujenga madarasa na x-rays machine...
Awamu ya tano ilipoamua kujenga sgr ikijua kabisa %kubwa ya mizigo inasafirishwa na barabara na nyingi bado ziko vibaya hapo ndio ujiulize iyo impact ya ku shoot GDP itatikeaje ghafla ivyo na sgr bado haijaanza kazi...vivyo hivyo JNHED Hadi ianze kazi ndio GDP yaweza panda zaidi