NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Leta kipande cha centimeter 5 nikupe zawadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ChongChung Master , unapiga Vitasa balaaa[emoji1787]. Wewe sasa ni 师傅[emoji106][emoji41]
Leta kipande cha centimeter 5 nikupe zawadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!mji upo hovyo kweli walai, hyo nayo city
Yah, Sumitomo kama ckosei.kuna interchange inajengwa pale na kampuni kutoka japan kama sikosei
Naona mabalozi kwa ss wanashindana kuleta pesa nyumbani, safi sana, hyo ndio creativity tuliyoikosa toka kwa mabalozi kabla ya Magu.
Sasa usirudi tena humu.HUU MJADALA TUSHAUFUNGA.....MMOJA WENU KESHA KUJA KENYA NA KUTHIBITISHA YA KUWA MNAHITAJI MIAKA KAMA 25 ILI MUIFIKIE KENYA.....BYEEEEEE
 ShivooChongChung Master , unapiga Vitasa balaaa[emoji1787]. Wewe sasa ni 师傅[emoji106][emoji41]
Bado 6 nyingine, unawapunja mkuu  ShivooUjue hiyo ya pembeni namba mbili hapo ndio Upper Hill, CBD nyingine matata ya Nairobi [emoji1787]
View attachment 2044128
Wakenya hawana akili mkuu.Nairobi ni katikati ya Kenya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado 6 nyingine, unawapunja mkuu  Shivoo
U/C, kigamboni teinaaaa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Lokitoung is in Turkana County. The guy thinks there's no paved road from Mombasa to Turkana county [emoji23] [emoji23]
Hata hiyo 60% ishafahamika kwamba mliongopa, kitu kipo kwenye 90% now.So imetoka 60% sasa ni 90%. Desperation ni mbaya jamani
Alafu cc matajiri ujue sema basi tu hatupendi sifa za kijinga.
Kasehem kana gorofa mbili eti ni CBD 😂 😂 😂Ujue hiyo ya pembeni namba mbili hapo ndio Upper Hill, CBD nyingine matata ya Nairobi [emoji1787]
View attachment 2044128
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujue hiyo ya pembeni namba mbili hapo ndio Upper Hill, CBD nyingine matata ya Nairobi [emoji1787]
View attachment 2044128
Lungalunga hadi Mombasa sio Kenya?, Kenya barabara nyingi ni mbovu, wacha bangi zako kusifia failed state.sasa hiyo map yenye nimekuchorea hizo njia unadhani ni kama hiyo Lunga Lunga yako? wewe ni kilaza nini? tumia google earth, tazama kila eneo nimekutajia, zoom and see, dunia ya leo mtu hakudanganyi, na mimi sio mwehu kama mlivyo wengi wenu.., prove me wrong ba mzee..,
Jibu hoja wacha ukenge, barabara iliyotoboka itaonekana kwenye Google map?, au hujui matumizi ya Google map?wewe umeona wapi kilaza? unaumia kweli., mtanyooka roundi hii., na bado, mombasa pekee itawatoa vumbi sijui mtajificha wapi roundi hii?.., mwaga povu hadi basi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Only a person who don't wash his ass after defecation can speak this statement [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine most of their expatriates wakitaka kugive birth they come to aga khan, mp shah ama Nairobi hospital
Bonge la nchi, the size of Nigeria na ikona road network ya 80k. Bado munapita kwa vichaka kama mifugo. 🤣🤣🤣🤣
Kenya hakuna hata barabara Moja yenye urefu wa 5km ambayo ni concrete road, weka ushahidi.Nimeona hongera, ila huyo ndio reporter wa maana tz[emoji23][emoji23] anakera man, ila hizi barabara we started building in 2005, quality and expensive.