komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Endelea kuaminiUnabisha?
Endelea kuaminiUnabisha?
Nazungumzia TZ, hata kupata locally authorized forex brokers bado ni ngumu.😂😂😂😂 Mko 25 years nyuma. Dunia inasonga mbele mbio nyinyi wavivu bado munapatiana excuses, eti ni utamaduni. 🤣🤣🤣🤣Hapa ☝️ unaizingumzia Kenya au.? 😂😂
Nyie wenye KMs nyingi za barabara za vumbi vipi uko.? You have only 9k KMs of tarmac roads .. alaf upo hapa kupiga kelele 😂😂😂
KEY WORDS...'cause we're not all painted with one big broad brush.
As I've already told you, Jumia didn't understand our market well, it's their problem. We have local companies that do well in that industry as my brother coodip1 puts it nicely here;
Purchasing power my ass, you guys can't even build 1km of rail with your own money. You're just a broke ass country with a big mouth.
Bonge la nchi, the size of Nigeria na ikona road network ya 80k. Bado munapita kwa vichaka kama mifugo. 🤣🤣🤣🤣Hapa ☝️ unaizingumzia Kenya au.? 😂😂
Nyie wenye KMs nyingi za barabara za vumbi vipi uko.? You have only 9k KMs of tarmac roads .. alaf upo hapa kupiga kelele 😂😂😂
sawa dogo, nimesikia kilio chako, hauna uwezo wa kunyoosha mtu yeyote wewe 😂 😂 😂, ni kwa vile haujui ukweli na hampendi ukweli., kwa domo domo hapo itakua ni sawa, wewe fanya kazi.Hehehehe nimekupiga mpaka umekimbia mada, shida mchana kama hiv nakosa free time kwa sana, nikitulia ntakunyoosha kama kawaida yangu
mm siunanijua vzr 2018😂😂👇👇
HiLo eneo mbele ya CBD lina majengo mengine hayanahata madirisha, kuna picha ya karibu hapo inaelezea kila kitu.Ilikubidi utumie picha nne Ili angalau ujifariji 😂😂😂 then your tiny town and everything with in.. stadiums, airports, railway station, interchanges, CBDs and both of yo Rich and poor neighborhoods👇View attachment 2043567
Hii ni 2017 wewe pimbi?ww unanipa ya 2017 mm nakupa ya 2020🤣🤣🤣
Kenya hakuna barabara yenye urefu wa 1000km yenye lami, Nairobi Lokichoggio ni vumbi tupu na haifiki 1000km, Nairobi to Mandera ni vumbi tupu, Nairobi to Taita Taveta ni vumbi tupu, wacha kudanganya.Actually currently, there's no single town in Kenya that you can't drive to on tarmac road from Nairobi. Mandera ndio ilikuwa haijafikiwa juu ya Wajir Mandera road ambayo haikuwa fully tarmaced but as we speak, tarmacking of the road is in progress. Wacha nikupe distances za Nairobi to all border towns and their states.
Nairobi - Lokichoggio - 1028km - fully tarmarced
Nairobi - Malaba - 450km - fully tarmaced dualing in progress
Nairobi - Mombasa - 477km - fully tarmaced, duallling in progress
Nairobi - Moyale - 777km - fully tarmaced
Nairobi - Mandera - 1026km, Isiolo - Mandera bit under construction, Nairobi - Isiolo bit fully tarmaced
Nairobi - Namanga - 160km fully tarmaced.
@Tony254[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm siunanijua vzr lakini
Hii old CBD Nairobi ni ya mwaka gani mkuu? hapo kando ya KICC sioni jengo flani? na kule mbele sioni UAP tower., UpperHill ilikua bado sana.., inaitwa desperation baada ya ukweli kuanikwa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂HiLo eneo mbele ya CBD lina majengo mengine hayanahata madirisha, kuna picha ya karibu hapo inaelezea kila kitu.
View attachment 2043720
😂😂😂😂 Hii picha ndio watakoma mamaae. The best 007 njoo uku 😂😂😂HiLo eneo mbele ya CBD lina majengo mengine hayanahata madirisha, kuna picha ya karibu hapo inaelezea kila kitu.
View attachment 2043720
Hahahaha, wakenya mpo na matatizo ya Ubongo, James Macharia kila mwaka anasema kwamba SGR inapata hasara, Kuna walevi wanasema inapata faida[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni 2017 wewe pimbi? View attachment 2043727
Hapa hakuna battle, hauoni vile wako desperate hadi mtu ana post nairobi ya 90s anajaribu kujikomboa kutokana na kichapo cha mbwa.., taarifa ya Knight frank leo hii hawataki 😂 😂 😂 😂 😂 ., hapa imekua entertainmaent zone as I watch bongolalaz wakitapatapa tu, wamechoka bana, hawana jibu kwa Nairobi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Upper Hill, one of the areas they are busy comparing with Kijiko ya nyama of linear development
View attachment 2043743View attachment 2043747View attachment 2043748View attachment 2043751View attachment 2043752View attachment 2043754
Bonge la nchi, the size of Nigeria na ikona road network ya 80k. Bado munapita kwa vichaka kama mifugo. 🤣🤣🤣🤣
Knight frank anaijua tz kuliko serikali ya Tanzania 😂😂😂 ila wew sidhani kama upo timamu .. eti hii 👇 ni picha ya 90sHapa hakuna battle, hauoni vile wako desperate hadi mtu ana post nairobi ya 90s anajaribu kujikomboa kutokana na kichapo cha mbwa.., taarifa ya Knight frank leo hii hawataki 😂 😂 😂 😂 😂 ., hapa imekua entertainmaent zone as I watch bongolalaz wakitapatapa tu, wamechoka bana, hawana jibu kwa Nairobi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂