Propaganda iko kwa matumizi na sio picha per'se wewe kilaza, fikra zako ni finyu sana kuelewa jambo rahisi tatizo π π π π, unachosha ., jamaa kachukua picha ya zamani, yenye muonekano wa kizamani, ili apotoshe eti nai ya sasa iko vile, yaani mnajaribu kujikomboa lakini wapi, kila mti mnakwea unateleza tu π π π π , baba levo kafika akajionea., na wewe tumia youtube ukajionee Nairobi ya sasa, na clips za 2021 pia ziko, mbona tuandike kwa mate na wino upo.., πͺ π π π kazi kwako kilaza